Wasituletee ujinga wao wa kiembembuziHata hapa Mkuranga,Mwinyi Sr na Mwinyi Jr wote wanamiliki maelfu ya hekari za ardhi.
Watuambie wao wanamilikije!!??
Wao ni wa "Tanganyika",Zanzibar au "Zanzibara"!!???
Wanasema sera yao ni serikali mbili kuelekea moja.Kwani ccm ya bala (Tanganyika) wao wanasemaje?
Hiyo ya zanzibar na bara ni tofauti kabisa.Huku bara kwenye hati ndio itaandikwa ni miaka ni au 33,66,99.na una uhuru wa kujenga chochote kile unachokitaka muda huo ukifika unaenda tu unapewa hati nyingine,lakini kwa zanzibar ni tofauti kabisa kwani unapewa kama muwekezaji lazima uonyeshe unahitaji ardhi hiyo kwa uwekezaji gani!!!?Hata bara, ukipewa ardhi, unamiliki kwa mda maalumu🤷♂️😁ikiisha unaomba tena,, kuna miaka 40 au 99 kama sikosei
Kweli lakini wakiuza watakosa hata pa KuishiWauze ardhi kwa ardhi gani walionayo! Wana ardhi gani pale ya kuuza?
Hawana ardhi wale ya kumuuzia mtu. Unauza kitu ulichonacho. Utauza kitu hauna? Kuna ardhi gani pale?Kweli lakini wakiuza watakosa hata pa Kuishi
Kweli lakini wakiuza watakosa hata pa Kuishi
Wauze ardhi kwa ardhi gani walionayo! Wana ardhi gani pale ya kuuza?
Because kinchi chenyewe ni hekali 20,we unategemea nini?, Nyerere hakua mjinga kukubaliana kuwa ili kulinda zanzibar identity, lazima hivyo,, kuna vitu vilikua considered deeply kabla ya huu muungano,, kwa mtu mwenye akili nyepesi hawezi kuona logic yake🤷🏽♂️Hiyo ya zanzibar na bara ni tofauti kabisa.Huku bara kwenye hati ndio itaandikwa ni miaka ni au 33,66,99.na una uhuru wa kujenga chochote kile unachokitaka muda huo ukifika unaenda tu unapewa hati nyingine,lakini kwa zanzibar ni tofauti kabisa kwani unapewa kama muwekezaji lazima uonyeshe unahitaji ardhi hiyo kwa uwekezaji gani!!!?
Hata athumani.sio farida. Ulitakaje.wenzetu kisiwa kidogo.tena uje upewe 100% wajukuu zao waje kuwa wageni kwwnye aridhi yao?Huu muungano wa viongozi wa CCM hakuna Farida Kwa jamii ya kitanzania
ARDHI SI JAMBO LA MUUNGANO
Wazanzibar nao hawaruhusiwi kumiliki ardhi bara ila wanaweza omba kibali cha ukaazi ama uwekezaji ili wajenge
Sasa kama kamiliki ardhi ujue ni kinyume na masharti ya Mambo yasiyo ya Muungano