Masha atoweka na samani za ofisi ikiwemo picha ya rais!

Masha atoweka na samani za ofisi ikiwemo picha ya rais!

Ningefurahi kama ningejua hvo vitasa alienda kuvifunga wapi au kuviweka wapi! he must be very stupidy!
 
zote hizo hasira kukataliwa kubaya mwacheni aangaike
 
Please inatosha jamani mbona mambo mengi ya kuzungumzia yapo......ni ubinadam tu mtu yeyote anawezafanya makosa na sio kumsema kiasi hiki kama kujutia kosa tayari jamani inasikiitisha kumsema mtu mwenzetu kwa kosa alilofanya kutokana na kuutokujua madhara yake tumsamehe tu! haya maneno hayatasaidia kitu ishatokea....sometimes tuwe na ubinaadam sawa kakosea lkn ni mtz mwenzetu alifanya hivyo kwakutokujua maana kuwa waziri sio issue unabaki kuwa binadam na hakuna binadam asiye kosea. .
 
du chichiem nomaaaaa,kura waibe/wachakachue na samani za ofisi nazo vivyo hivyo,,,,,jaamani kwa mwendo huu siku Dr wa ukweli akiwa anaenda ikulu asije kuta peupeee kwa madai chichiem wameondoka na samani zao ..kazi kweli kweli
 
Masha ukimpangisha kwenye nyumba yako utajuta kuzaliwa ataiba bomba feni vitasa sockets etc!!
 
Mara nyingi huwa najiuliza akili za mawaziri wetu mtu hadi unaaminiwa kushika wadhifa huo still unakuja kufanya vituko vya kijinga namna hii, naviita vya kijinga kwa sababu kitasa ni sh. ngapi ukilinganisha utu wako, sasa huyu ndiye tuliyemtegemea kushughulikia ID za taifa angetupeleka wapi, bora amepigwa chini.

Hiyo ndio huka ya viongozi wengi wa CCM, wako pale kwa maslahi yao tu, maslahi yakikosekana ndipo utaona rangi zao halisi.
 
Kweli kusoma sio kuelimika; nadhani cha msingi hapa ni kumfunglia mashtaka kwa kuiba bali ya umma.
Kweli cheo ni dhamana juzi tu alikuwa mkuu wa Polisi(Mambo ya ndani) leo anataka kupelekwa kulekule LOL!
 
Duh jamani hawa jamaa wanaongea mno na vyombo vya habari. Sasa kama issue ndogondogo hivi zinashindwa kumalizwa kimya kimya, je complex issues itakuwaje?

Hayo masuala ya vitu vidogo vidogo! Waandishi wa habari kama wanataka habari wanapewa za ukweli!..Kung'oa mpaka kitasa na picha ya Rais nihasira hizo kaka, watu wazima hawafanyi hivyo-ni aibu.
 
Na wenje nae basi anunue vyake na akiondoka nae aondoke navyo...

tunapenda sana vineno-vineno,
Acid

Nafikiri kinachoangaliwa hapa na kujadiliwa si kung'oa kitasa tu bali ni hulka ya viongozi tulionao utawala bora, uongozi bora na utawala wa sheria.
 
Huyo kaaga jumla,kwa mtindo huo inamaana ya kuwa hatagombea tena Ubunge 2015
Kuna mwalimu wangu aliniambia usinyee kambi kwa vile hujui siku ya kurudi, Masha haelewi kuwa anaweza kugombea tena akiulizwa kwa nini alifanya hivyo sijui kama atakuwa na jibu la kuwaridhisha wapiga kura, in short kajiharibia.
 
Yes Mzee Mwanakijiji, tumpe nafasi ya kunufaika na mashaka yetu kuwa vitasa ni vyake, alikuwa na shida navyo, akaving'oa kuvichukua kwa matumizi yake.

Hii benefit of doubt inatumika sana mahakamani wakati wa kuestablish mensrea dhidi ya actus reus ya dhamira ya mtenda tendo tendo kabla hatatenda tendo husika. Hivyo tuasume Masha ameyatenda hayo in good faith, kuichukua kitasa chake alichokinunua ili akakitumie.
Pasco hiyo benefit of doubt unataka kuitumia vibaya mtu anabaka unampa benefit of doubt eti labda alikuwa na msongo kwa wakati huo is wrong, by the way tuweke ustaarabu pembeni ambao Masha kaupoteza kama alitoa pesa yake kuvinunua je alivyovikuta viko wapi au alipoingia mlango haukuwa na kitasa.
 
Hii iwe fundisho kwa viongozi, kiongozi hana jambo dogo hivyo fikiria mara 2 kabla ya kutenda! Si rahisi kuelewa kwanini aliamua kuchukua samani hizo au ndio kusema zilikuwa za Gold kama zile za Sadam Hussein. Hii imenikumbusha wimbo wa TAARAB wenye kibwagizo " Kanunua simu kampa demu walipoachana kampokonya, ariri ariri Mchumu MWAAAAA!"
 
hata hizi atasema ni zake binafsi

13.jpg

1214116275_salha_masha.jpg
Kila kitu chake duh! Huyu jamaa kiboko.Halafu bado ujana unamsumbua,na huyu ni wake?? inabidi aondoke naye!! Lol!
 
Alichokifanya Masha si kigeni ni akili walizo nazo CCM. Kama mtakumbuka hata Zanzibar uchaguzi wa 1995 na 2000 walipoona hamkani hali si shwari na CUF wanaweza kuchukua nchi kwa nguvu ya umma walihamishia Hazina yote ya fedha Dar. Ili kama CUF wakiingia watafute fedha zao. Huu ndiyo mtazamo wa viongozi wengi wa CCM wanashindwa jua kuwa wao ni stewards tu, wenye mali ni watanzania. Tusije shangaa huyuhuyu Masha tukasikia kapewa ukuu wa mkoa. These people are not for pro bono at all.
 
masha ni MZINZA wa kijiji cha Nyamatongo wilayani sengerama, mama yake masha ndo tapeli mkubwa huku mwanza ......... anashirikiana na '' mke hewa'' wa marehemu Claus mmiliki wa vivuko vya kamanga ferry.....

baba yake ni dk Fortunatus Lwanyantika Masha... ndo hwa walifukuzwa na mzee wetu MWL miaka ileee ya 1961....

kwa kifupi Lawrence masha ni jizi

Nirisha semaga hapo mwanzo hiri riLau na madingi wake ni nukusi kabisa.
Rinamjigambo ya kijinga kweri, wazi wake nao warikwendaga marekani kuishi kama wakimbizi wa kisiasa.
Mwee jamani! Unaripa rungu ra dora jambasi???

 
Back
Top Bottom