Hivi jamaa alikuwa anafanikiwaga kweli mishe zake.?Enzi za Dr Love Pimbi
Hajawahi kupiga mambo huyu jamaaHivi jamaa alikuwa anafanikiwaga kweli mishe zake.?
View attachment 742477
Umesahaau zena? Ndio alikuwa bebi mama akeHajawahi kupiga mambo huyu jamaa
Umesahaau zena? Ndio alikuwa bebi mama ake

Hivi kumbe jamaa alishawahi kudate na Zena?Mbona hii kapo ndio ilikuwa talk of the town kana leo hii na nandy na bilinasHivi kumbe jamaa alishawahi kudate na Zena?
Sokomoko alikua mkononi mwake hakosi kua na chupa ya gongo.
Heheheh!! Aisee basi mimi sikua mwenyeji sana wa huo mji alikua anaishi PimbiMbona hii kapo ndio ilikuwa talk of the town kana leo hii na nandy na bilinas



Hahahaa! Ndumila kuwili yeye alikuaga ni tapeli fulani hivi wakati lodi lofa ni tajiri wa kuact mwenye dharau dhara fulani!Kuna siku kafatwa kilabuni na wife akapewa taarifa za ujambazi uliotokea nyumbani, akauliza "..inamaana wamechukua na ile chupa ya gongo iliyokuwa pale kwenye tendegu?" akaambiwa hapana, hiyo haijachukuliwa. Akasema, basi kumbe wizi wenyewe sio mkubwa sana, akarudi kuendelea kugonga mvinyo kilabuni.
Mwenyewe anakwambia "Hili rungu lina uzito wa kilo 1 kuchanganya na hasira nilizonazo linakua kilo 2"Rungu la Kipepe halikosi shabaha
Nguo zake majani hata akitinga town hana normaMwenyewe anakwambia "Hili rungu lina uzito wa kilo 1 kuchanganya na hasira nilizonazo linakua kilo 2"
Kipepe yeye alikuaga mpori pori tu.
mbona hapo ni mrefu?Hivi jamaa alikuwa anafanikiwaga kweli mishe zake.?
View attachment 742477
akiwinda ngiri akimkosa anaamua atafute hata kasungura tuRungu la Kipepe halikosi shabaha
lodi lofa akikupakia kwenye gari lake basi ww ni mtu special, hadi askari polisi walikua wanaambulia vumbi.Hahahaa! Ndumila kuwili yeye alikuaga ni tapeli fulani hivi wakati lodi lofa ni tajiri wa kuact mwenye dharau dhara fulani!
Nimewakumbuka wachoraji wa Sani enzi hizo Ibra radi washokera na Christopher Ndunguru,kitambo sana!
nakumbuka pia nilikua na collection yake, ukiwa bored unaweza kuanza kusoma tena toleo la mwanzo mwanzo hahahaLile jarida lilikuwa kiboko, kweli kila nyakati na mambo yake. Shuleni nilikuwa mfalme kwa kumiliki lile gazeti.
Kuna siku kafatwa kilabuni na wife akapewa taarifa za ujambazi uliotokea nyumbani, akauliza "..inamaana wamechukua na ile chupa ya gongo iliyokuwa pale kwenye tendegu?" akaambiwa hapana, hiyo haijachukuliwa. Akasema, basi kumbe wizi wenyewe sio mkubwa sana, akarudi kuendelea kugonga mvinyo kilabuni.

R.I.P JOHN KADUMAHahahaa! Ndumila kuwili yeye alikuaga ni tapeli fulani hivi wakati lodi lofa ni tajiri wa kuact mwenye dharau dhara fulani!
Nimewakumbuka wachoraji wa Sani enzi hizo Ibra radi washokera na Christopher Ndunguru,kitambo sana!