Kipa-MadengeIle football match ya born town vs bush stars
Mkuu ile ilikuwa Duet sio passo.Lodilofa ndio noma ni kile kipasso chake!
Born Town alikuwepo Pimbi, Sokomoko, ...Kipa-Madenge
Kuna Kizibao, Huihui,kipepe,mzee meko super striker, ndomondo wengne nimesahau... This is Bush stars
Lodilofa, ndumilakuwili,Born Town alikuwepo Pimbi, Sokomoko, ...
zena na mama yakeKipa-Madenge
Kuna Kizibao, Huihui,kipepe,mzee meko super striker, ndomondo wengne nimesahau... This is Bush stars
lodi lofa, ndumilakuwili...Born Town alikuwepo Pimbi, Sokomoko, ...
hahaahaha mkuu umekipa hadhi kile ni ki stalet hahaahhaLodilofa ndio noma ni kile kipasso chake!
Lodi Lofa alikuwa anawashangaa kwanini wanagombania mpira mmoja analeta mipira anamwaga uwanjani kila mtu na wakelodi lofa, ndumilakuwili...
hahaha mzee alikua na dharau yulee,Lodi Lofa alikuwa anawashangaa kwanini wanagombania mpira mmoja analeta mipira anamwaga uwanjani kila mtu na wake
Kuna moja ashaingiza manzi Hadi magetoni, panya tu kaharibu shughuli.Hajawahi kupiga mambo huyu jamaa
walikuwa wachawi sana hawa hadi uwanjaniBush Stars
Kwani mkuu ile ilikiwa passo au vitz?Lodilofa ndio noma ni kile kipasso chake!
Hahah!! Ukiwa na nyota kama ya huyu mwana utakufa na shida zakoKuna moja ashaingiza manzi Hadi magetoni, panya tu kaharibu shughuli.
Mkuu nimekukubali aisee nakumbuka hilo tukio kitambo sana,kizazi cha Sasa hawawezi jua unaongelea Nini mkuu.Kuna siku kafatwa kilabuni na wife akapewa taarifa za ujambazi uliotokea nyumbani, akauliza "..inamaana wamechukua na ile chupa ya gongo iliyokuwa pale kwenye tendegu?" akaambiwa hapana, hiyo haijachukuliwa. Akasema, basi kumbe wizi wenyewe sio mkubwa sana, akarudi kuendelea kugonga mvinyo kilabuni.
Kweli aseee mi siamini kama kweli zena ndo alikuwa ndio kipoozeo chake.Hahah!! Ukiwa na nyota kama ya huyu mwana utakufa na shida zako
Hahah!!Kweli aseee mi siamini kama kweli zena ndo alikuwa ndio kipoozeo chake.