Yacht club na Capri cabana enzi hizo

Yacht club na Capri cabana enzi hizo

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
3,987
Reaction score
6,102
Enzi hizo zilikuwa moto sana , mbona sizisikii sikuhizi, wadautulumbushane miaka ya 2000 , kwenye hizi location za starehe
 
Dar es Salaam Yatch(yoti) Club iko Masaki baada ya kuhama toka Forodhani ambapo sasa wapo Marine Police, klabu hiyo imepungua umaarufu wake kutokana na kupungua wazungu wakaazi ambao ndiyo wenye ari ya kununua majahazi kwa ajili ya michezo ya mbio za majahazi na kuvua samaki kwa kutumia ndoano, jambo lingine baya ni kuwa waandishi wetu wa michezo hupenda kuandika kuhusu mpira wa miguu tu hivyo kushindwa kuleta habari za michezo mingine, lakini Yatch(yoti) Club ipo.
 
Dah hatari sanq
 
Hizi club club ni nzuri sana kwa ajili ya networking. Humo ndo kwenye mirija ya pesa na utajiri.

Japo mimi sio member wa club yeyote hapa kwenye nchi ya Venezuela ila wenye nia ya kutengeneza network ya utajiri humo ndo kwenyewe.

Deals nyingi zinafanyika humo. Mfano mzuri ni golf clubs, humo unaweza kukutana na ma CEO wa mabenk na ma afisa wakubwa, sasa kama una kibiashara chako unaweza kupata fursa ya ku pitch idea yako na kupata hata mikopo. Ndio namna watu wanavyonufaika nazo hizi club.
 
hivyo ni viwanja vya bata kwa wale waliowahi kupita mwanza aka the rock city enzi zile kimsingi kulikuwa na bakulutu aka rhumba balaa sana RIP Dj Kessy .wapi jackob usungu aka young milionea hatari sana , kabla hatujaona kinyaa nchini mwetu na kuja kubeba boksi huku.
 
Dj kesay, NB yachi ziko mbili ya mwanza na dsm, pia cloud fm alizitangaza sana
 
Back
Top Bottom