mlevi sugu
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,981
- 3,875
Kila nkipita kitaa wananizungumzia,yan mdog wako anaoa mbele yako.
Hata humu jukwaan wamenisema vibaya baada ya ule uzi wa bora wa kuwa single,yan hata masela wamenikataa wanasem hawez kaa na mhun hata nyumban wamenikataa,kwa kwel familia n kt ya maana nainatunza heshima.saiv naona ntavuta kadem wa miaka 25,ndio hata kanizalie nisife bila mtoto,maana 46yrs sio mchezo