The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,060
Mkuu nimekukubali aisee nakumbuka hilo tukio kitambo sana,kizazi cha Sasa hawawezi jua unaongelea Nini mkuu.
Sasa hivi zama zao za dijitali mkuu. Lakini yale magazeti yalikuwa na burudani sana.
Mkuu nimekukubali aisee nakumbuka hilo tukio kitambo sana,kizazi cha Sasa hawawezi jua unaongelea Nini mkuu.
Kipepe alifanya party bush ma brathermen kutoka town walidata msosi unaseviwa na wadada machuchu nje na yote saa sita mchana
You have made my day
You have made my day
Mkuu bila chapati voucher ya kuingilia JF itatoka wapi?Mtani hivi leo na hili giza itakuaje, chapati zipo?
Dr. Love Pimbi, zamani raha sanaYule aliyetengeneza Fruit na Juice ya ajabu ndo alikuwa msela kwa sana....mpaka ndumilakuwili aliota VUNDEZI la maana......
Kama mnakumbuka lakini!
Kipepe na pimbi hawajawahi kukamilisha malengo ya mishe zao!Rungu la Kipepe halikosi shabaha
R.I.P JOHN KADUMA[/QUOTE Hata Christopher ndunguru alishatutoka tena alitutoka akiwa yanki tu age 24 ilikua mwaka 1986
Hivi ile ni Passo ama bito?Lodilofa ndio noma ni kile kipasso chake!
Zena ndio alikua mpenzi wakeHajawahi kupiga mambo huyu jamaa
Ugomvi wa Zena na Betina,mama Betina ndio kocha na kamati ya ufundi ya BetinaNimekumbuka kitabu cha sani
Mapacha na baba yaoUgomvi wa Zena na Betina,mama Betina ndio kocha na kamati ya ufundi ya Betina
Walipoteza mbuzi machungoni,zilipigwa ngumi wanarudi nyumbani kwa baba yao wote wana nunduMapacha na baba yao
Kwahiyo kwa Zena ndio alikua anafanikisha kupiga ile show za nje zilikua zinagoma?Zena ndio alikua mpenzi wake
Wanavichogo virefuuuMapacha na baba yao