'Masalia' wa CHADEMA wako hoi kisiasa!!

'Masalia' wa CHADEMA wako hoi kisiasa!!

Hata kama mnatofautiana mitazamo huwezi kumuita mwenzako eti hili jitu bwengesana, ndiyo uonekane una uchungu sana na Chadema, Dr Slaa akiitwa ivyo kutakuwa kuna kosa...jiheshimu halafu wewe ndiyo unataka kugombea ubunge una tofauti gani na Lusinde.
Nenda zako huko wewe Gamba Ritz report kwa mods Kama kawaida yako mnafiki mkubwa wewe unataka kuifanya JF ni Mali ya ccm Kama mlivyofanya TBC hili ni jukwaa huru bwana Kama umeshindwa Nenda kwenye blog za ccm mkasifiane
 
Juliana Shonza awali nilikuwa nakuheshimu sana lakini kujiingiza kwako katika kundi la kutaka kusambaratisha chama nimekupuuza na kukudharau to the maximum.
Kwa ulichofanya nikuhakikishie hutapona na ni lazima ufukuzwe CHADEMA.Mark my words!

.
Binafsi mimi nawasihi chadema wasiwafukuze uanachama hawa wasaliti. Cha kufanya ni kutowashirikisha katika shughuli zozote zile za kichama. Mbona hilo litakuwa ni fimbo kali sana kwao? Ni sawa na mme akimfumania mkeo na mwanamume mwingine na kuamua kukaa kimya bila kumzungumzia neno lolote la heri au la shari, ama ataamua mwenyewe kurudi kwao au atajiua.
.
 
Last edited by a moderator:
Mara tu baada ya mada ya usaliti ndani ya CHADEMA kuandikwa humu mijadala mikali kuhusiana na mada hiyo ilizuka huku kukiibuka makundi makubwa mawili yaani MASALIA(Pro-Zitto) na CHADEMA(Anti-Zitto).

Lakini kwa ufuatialiji wangu inaonekana Kundi la Masalia likiwa kwenye wakati mgumu zaidi kisiasa, kwa sababu ya;

1/KUSALITIWA(Saanane, Mamuya etc)

2/KUANIKWA HADHARANI(Mipango, Wahusika etc)

3/KUDHARAULIKA(Ushirikina, kuhongwa, kutumiwa nk)

*Ni kwa vipi kundi hili la 'Masalia' linaweza kusimama upya kisiasa ili kuweza kushinda mapambano haya(Kurudisha imani kwa watu)?

Umetumwa wewe. Chadema ni moja. hata zito mambo mengi mnayosema yeye mwenyeewe hayumo. rejea mahojiano yake na JF
 
[]
Najua kuwa Chadema inakanuni, taratibu hadi katiba pia lakini kiongozi anaposhutumiwa kuvunja katiba na kufanya ubaguzi ndani ya chama hauoni kama kuna haja ya kufanya Uchunguzi kama chama na kubaini ukweli wa mambo? Tulimwandikia barua Raisi ili alete tume ili ichunguze shutuma zetu kwa jeshi la polisi kwa nini isitumie idea hiyo kuchungunza kiti cha Katibu Mkuu kubagua wanachama na kuwapa watu Mishahara inayovunja katiba ya chama?

Wewe sijui unatumia masaburi kufikiri? Katiba iliyovunjwa ni ipi! na kama hiyo ndiyo hoja ya msingi kwa nini malalamiko yasipelekwe kwenye vikao halali vya chama. Kama nyinyi ni watu wema kwa nini muunde kikundi cha kishetani kukichafua chama mtandaoni?.. Kwa nini mnadandia hoja za ccm na kuzibebea bango?.. Mna uhusiano gani na Zitto?!!.. Mbona kila alalamikiaye kadi ya slaa anamnadi Zitto!.. HUU NI MNARA WA SHETANI TU!
 
Umetumwa wewe. Chadema ni moja. hata zito mambo mengi mnayosema yeye mwenyeewe hayumo. rejea mahojiano yake na JF
Uwezo wako ni mdogo sana.
Hata kusoma umeshindwa kabisa.

Nani kasema Chadema si moja?

Unamsemea Zitto kwani wewe ndio Zitto?
Kama unaweza njoo umtetee kwa hoja na sio kuleta vioja hapa.
 
Nenda zako huko wewe Gamba Ritz report kwa mods Kama kawaida yako mnafiki mkubwa wewe unataka kuifanya JF ni Mali ya ccm Kama mlivyofanya TBC hili ni jukwaa huru bwana Kama umeshindwa Nenda kwenye blog za ccm mkasifiane

Mbona umekuja kama umekurupushwa mpaka umepoteza mwelekeo mpaka ueleweki ulikuwa unataka kusema nini.
 
Ulivyo mnafiki utafikiri ulikuwa hujui kinacho endelea! Hahahahahaha
tufuteni njia nyingine.

Hivi Ben wa saa8 na Mamuya kabila gani? Haaaah! Hao ndio walipotea njia kwenda masalia wakati wao ni wa sebuleni na wakipata sifa za undugu au nyumba ndogo wafike chumbani. So they are just back to where they belong.
 
Daaah kazi ipo!
-Your interests at stake..........!

-First Class Economist but tribal/religious bigotry.Stay away!

-You are not strateggic at all.Mwezi wa Saba ulipokua Mwenyeji wa akina Shonza na Mwampamba Area D Dodoma ulidhani unafanya jambo la akili sana.Haya uliyoandika ndiyo uliyotumia kuyumbisha hawa watu na kuchapisha T-shirt za M4C kwa spinning za ukabila.Bahati mbaya mlimkasirisha kijana wenu aliyekua akiwafanyia kazi James Mwakibinga na kutaka kuwapa kazi hiyo vibaraka wenu CHADEMA.Kaa mbali na CHADEMA.

Primson pump theory is no longer in your favour Mr.Economist
 
Umetumwa wewe. Chadema ni moja. hata zito mambo mengi mnayosema yeye mwenyeewe hayumo. rejea mahojiano yake na JF

Maneno yaliyondani ya red yangekuwa yanatoka mioyoni mwenu hata shutuma dhidi yenu na ZITTO kama yangekuwepo. Sisi si wageni na vijana walio ndani ya kambi ya zitto. Tupo nao mtaani, wengine tumesoma pamoja na maneno yao tunayasikia. Mwambieni ajirudi na kutafuta umoja na mshikamano, si kuwatumia vijana wasiona ajira kuvuruga chama.
 
hakuna sehemu hata moja iliyoonyesha zitto ameonekana kukaa pamoja na hao PM7 meza moja na kupanga mikakati na hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuwa hao masalia wanakihujumu chadema ila mbowe na slaa na kuna wanachama weng nch hii ukitoa mbowe na slaa sasa mnataka kutuaminisha bila mbowe na slaa hakuna chadema? To be great u need to be tough but fair try to thnk big as u claim you a great thinker
 
Kweli wanachadema hawataki ubabaishaji, wanachotaka wao ni uwajibikaji. nakuhakikishia kama unawajibika kukijenga chama watakulinda kwa hali na mali kama ilivyokuwa kwa ZZK enzi za uhai wake katika chama hebu soma hapa ujikumbushe. Lakini ukileta mchezo watu hawakufumbii macho, wanakueleza ukweli bila kumung'unya maneno. SASA kijana mwenzetu nadhani umepotea, umelewa sifa kiasi cha kudhani kwamba bila wewe CHADEMA itakufa, nakusihi badilika, kumbuka umoja ni nguvu sasa wewe unataka ututenge, Umetumwa nini? wewe ulichotakiwa upambane kikamanda kwa kufanya kazi za chama kikamilifu halafu sisi ndio tungekukingia kifua kutokana na bidii yako na siyo kutuletea habari za mara sangoma, oooh mimi nimeaga, umeaga kwenda wapi, kufanya nini? wenzako walioaga wanaenda uswiss au na wewe umeshajiwekeza huko. BADILIKA PUPA HAIFAI, UTAPOTEA KABISA KISIASA KAMA HUTA BADILikA.
 
Katibu mkuu anashutumia kwa UBAGUZI sie tunabaki kusema Masalia, masalia etc Kiongozi mzuri ni yule anaeunganisha watu si kuwagawa watu. Uchunguzi wfanyike kujua kama ni kweli au la.

Huyu Zitto ambaye kundi lake liko kiguu na njia kuchafua chama mitandaoni, kwenye vyombo vya habari kupitia makala na matamko ya ki-CCM, na kufanya mikutano ya hadhara (kama uliofanywa na EDDO na Mtela - Mwanjelwa) kutukana viongozi wa mkoa wa mbeya na wa kitaifa wanaleta umoja?!!!!!... Hivi na wewe unajiita mwanachama wa CHADEMA?
 
Kweli wanachadema hawataki ubabaishaji, wanachotaka wao ni uwajibikaji. nakuhakikishia kama unawajibika kukijenga chama watakulinda kwa hali na mali kama ilivyokuwa kwa ZZK enzi za uhai wake katika chama hebu soma hapa ujikumbushe. Lakini ukileta mchezo watu hawakufumbii macho, wanakueleza ukweli bila kumung'unya maneno. SASA kijana mwenzetu nadhani umepotea, umelewa sifa kiasi cha kudhani kwamba bila wewe CHADEMA itakufa, nakusihi badilika, kumbuka umoja ni nguvu sasa wewe unataka ututenge, Umetumwa nini? wewe ulichotakiwa upambane kikamanda kwa kufanya kazi za chama kikamilifu halafu sisi ndio tungekukingia kifua kutokana na bidii yako na siyo kutuletea habari za mara sangoma, oooh mimi nimeaga, umeaga kwenda wapi, kufanya nini? wenzako walioaga wanaenda uswiss au na wewe umeshajiwekeza huko. BADILIKA PUPA HAIFAI, UTAPOTEA KABISA KISIASA KAMA HUTA BADILikA.
 
Last edited by a moderator:
Karibu mjini TUMBIRI na pole na pepa. Masalia watamaliza na kuanza mwaka katika wakati mgumu sana na future Yao in politics ipo at stake

Mkuu KOMBAJR,
Nashukuru sana Kamanda. Nimekuja kwa mapumziko ya Xmas na Mwaka mpya. Pamoja.

TUMBIRI(Upanga, Dar es Salaam - Tanzania),
tumbiri@jamiiforums.com
 
Last edited by a moderator:
paka sasa hivi hakuna hata kimoja kilichofika Tanzania, habari kutoka Uingereza zinasema kuwa ilikuwa ni usanii wa Lema hakuna chochote.

600.jpg

26_27_ambulance_cutaway.jpg

lema-chopper.jpg
 
Hata kama mnatofautiana mitazamo huwezi kumuita mwenzako eti hili jitu bwengesana, ndiyo uonekane una uchungu sana na Chadema, Dr Slaa akiitwa ivyo kutakuwa kuna kosa...jiheshimu halafu wewe ndiyo unataka kugombea ubunge una tofauti gani na Lusinde.

Wewe na Mwigulu wote akili zenu zinafanana. Tunafahamu magamba akili zenu mmeziacha lumumba hapa JF mnatumia masaburi kufanya mijadala.

Jitu lolote linaloshabikia udini ama ukabila mimi naliona ni bwegetu hakuna jina jingine linalofaa zaidi ya hilo.
 
Back
Top Bottom