'Masalia' wa CHADEMA wako hoi kisiasa!!

'Masalia' wa CHADEMA wako hoi kisiasa!!

hapa ndo unakosea kila mmoja ana mchango kwenye chama kwa shutuma hii ya ubaguzi ccm haiwezi kuondoka kirahisi kama unavyoikili wewe.

tunajua lengo la kumgasigasi katibu mkuu wa cdm, hiyo ni harakati za mfa maji,likiisha hili mtakuja na lingine, huwa hamuishiwi ninyi vioja, ukabila-ukanda-udini-ukadi mbili-uviwanja mabwepande-umaji karatu, mtaangaika sana.

mkishakwama kila kona mwaka mtatangaza kumchagua kuwa mgombea urais kwa tiketi ya ccm bila yeye kuchukua fomu, eeh simmeshamripia ada ya uanachama tayari huo mwanzo tu , tufani laja
 
Mkuu hao jamaa wapo hoi sana, kule fcbk naskia kuna mmoja wa masalia kaiblock account yake kwa aibu, pia yule masalia mwenye akili ndogo kuliko wote bw. Mtela Mwampamba naye amewa-unfrend rafiki zake wengi kwenye fb account yake.
Hapa yani wapo hoi maana kamanda Ben anazo hadi audio alizowarekodi kipindi wanapanga mipango yao michafu.
Shardcole,

Aliyefunga account FB ataifungua kujitetea baada ya ukweli kudhihirika.Ni kiwewe tu.

Hata hivyo nampongeza kwa kufunga account yake aliyokua akiitumia kueneza propaganda za CCM

Namshauri sasa ajiuzulu nyadhifa zote na ajiondoe CHADEMA kulinda utu wake.Watafuata wengine
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Daudi Mchambuzi,
Hawa jamaa walishajua kwamba hata bosi wao hawezi kupenya kwenye chekeche la Chama. Sasa wanachofanya ni kutumikia ile kauli ya Pinda ya 'Liwalo na liwe'. Yaani 'bora tukose wote!' Bahati mbaya sana wanakosa wao.

TUMBIRI (Upanga, Dar es Salaam - Tanzania),
tumbiri@jamiiforums.com

Tanzania 2.....Bravo.Bila shaka Tanzania One wa physics alikupika vya kutosha.Sipati picha PCM/PCB ulivyokua ukiwakimbiza debators wa Kilakala(sorry partners) wa HGL.Mzumbe product
 
Last edited by a moderator:
Lakini nae Dr Slaa wa ukweeli anashutuma ya kuvunja katiba na kufanya ubaguzi ndani ya chama hauoni nae anaweza kuwa ibilisi kwenye chama?

kp11122012.jpg
 
Ben saa8 naona upo online,Nilikuwa na mwamini sana zito na wewe,Je ni kweli ulitumwa kumpa sumu???????????????.
Zitto naye huwa anaingia kwenye jamii Je ni kweli nyie masalia mnataka kuleta vurugu ndani ya Chadema????????????

Mnatakiwa Zito na saa8 mfunguke ili tujue mbichi na iloiva; Ni aibu kwa chama kama cdm kuwa na mambo haya..
 
HII NI SHUTUMA ALIYOITOA SHONZA JULIANA ALWAYS"I is known by None I"
uyo Shonza ni miongon mwa wasalit wakubwa, huku JF wanakimbia maswal wanayoulizwa,hapa kwenye huu uz kakimbia mnafik mkubwa.,kama ipo ipo kwa nn ulazimishe hadi ushirikina,m2 kama uyo anatafuta ki2 kwa ushirikana wew atakusaidia nn..
 
Hizo ndizo siasa za ukanda zinazokataliwa. Never trust people from northern zone, hao wanamafungamano na wakikuyu na wajaruo na pia MUNGIKI NI WENGI SANA, tuchukue hatua watatufikisha pabaya ikiwemo viongozi wetu kupelekkwa THE HAGUE. kwa wastani wote ni wahamiaji

wajaruo ndio kabila gani? Mimi nawajua wajaluo.
 
Ila imefika wakati nae Dr Slaa aachie kiti kupisha uchunguzi maana yawezekana shutuma walizotoa masalia ni za ukweli. Dr kama chadema tumekuwa tunatoa matamko mbalimbali pale shutuma dhidi ya viongozi wa CCM zinapotokea na kuwataka wajiuzuru ili kulinda heshima ya Dr slaa inabidi akae pembeni na uchunguzi ufanyike kwenye shutuma hizi:
Dr Slaa ni mbaguzi uchunguzi ufanyike ili kujua kama ni kweli au la. Maana kiongozi mzuri ni yule anayeunganisha watu wanaompinga na wale wasiompinga na daima kuna usemi usemao "I IS KNOWN BY NONE I" Wanaomkubali DR tunaweza sema Dr slaa yupo safi lakini wanaompinga wanahoja pia wasikilizwe.
Shutuma ya UFISADI wa karatu na viwanja vya mabwepande achunguzwe maana mficha maradhi kifo humuumbua hizi ni hoja zitakazotumiwa na CCM 2015 tuchunguze sasa ili kujua ukweli wa mambo.
Pia shutuma ya kuvunja katiba na kumpa bwana Heche TSH LAKI SABA kinyume na scale ya chama. Hili nalo achunguzwe maana kama anavunja katiba ya chama akiwa Raisi itakuaje?
Wito wangu Dr Slaa aachie kiti ili uchunguzi ufanyike dhidi yake au ajiuzuru.Maana daima ukweli umueka mtu awe huru kama ukweli ukipatikana Dr slaa, Masalia etc watakuwa huru na hawata shutumiana tena.
Angalizo si kila anayempinga Slaa ni masalia maana "Dr Slaa si Chadema" hivyo Dr slaa nae ni mtu anafanya makosa kama wayafanyayo akina Zitto, Lowasa etc

wanaompinga Dr. Slaa mbona hawasemi hadharani, tuambiwe sisi wananchi hata kwa mikutano ya hadhara ili tujue hao mnaowataka
 
Shardcole,

Aliyefunga account FB ataifungua kujitetea baada ya ukweli kudhihirika.Ni kiwewe tu.

Hata hivyo nampongeza kwa kufunga account yake aliyokua akiitumia kueneza propaganda za CCM

Namshauri sasa ajiuzulu nyadhifa zote na ajiondoe CHADEMA kulinda utu wake.Watafuata wengine

Kamanda Ben Saanane
nakubali mchango wako sana ktk kuwatoa mafichoni wasaliti.


Long live my hero.
 
Last edited by a moderator:
Inafurahisha sana saizi kuna Chadema mbili halafu utegemee Chadema watashinda uchaguzi.

Chadema ni moja tu mkuu. Uwepo wa vibaraka kwenye chama chochote kikubwa cha siasa ni jambo la kawaida. Ila Mungu ameongoza, vibaraka waliomo ndani ya CDM wamejulikana. Hao wengine si wameshasema wanajipanga kujiunga na chama kingine? Hao bado ni Chadema? Tunawatakia safari njema ili sisi tuendelee kuijenga Chadema yetu.
 
Wamerudi lango kuu la kuzimu kigoma, uko wamenda kurenew matunguri yao, wakirudi wote tuliowachana humu wataua had mende makwetu,.

Nimeipenda hiyo.Lkn Usiogope hata kidogo hapa Kigoma tutawaumbua wakija.Kwa ufupi Mungu yuko pamoja nasi.Kwa wanaotumia Nguvu za Giza tutawashinda kwa nguvu za Nuru inayoangaza na kumulika pande zote. Mungu ni mwema nyakati zote.Hakuna linashindikana mbele za Mungu.Yeremia 32:26-27.Vuguvugu la mabadiliko ni kusudi la Mungu hakuna wa kulikwamishwa hata kwa Roho za kuzimu.
 
Mkuu Daudi Mchambuzi,
Hawa jamaa walishajua kwamba hata bosi wao hawezi kupenya kwenye chekeche la Chama. Sasa wanachofanya ni kutumikia ile kauli ya Pinda ya 'Liwalo na liwe'. Yaani 'bora tukose wote!' Bahati mbaya sana wanakosa wao.

TUMBIRI (Upanga, Dar es Salaam - Tanzania),
tumbiri@jamiiforums.com

Karibu mjini tumbiri na pole na pepa.masali watamaliza na kuanza mwaka katika wakati mgumu sana na future Yao in politics ipo at stake
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom