'Masalia' wa CHADEMA wako hoi kisiasa!!

'Masalia' wa CHADEMA wako hoi kisiasa!!

Kwa hiyo mkuu kumsema Slaa vibaya ni makosa? Aachwe tu hata kama anakosea? mimi nadhani co vibaya kumsema vibaya kiongozi mkubwa ktk chama isipokuwa ni njia gani unayotumia kumsema vibaya pindi anapokosea!!?

Malunkwi kwa umri wako na nafasi uliyonayo ktk ccm,hupaswi kuuliza swali hilo.Dr Slaa anaheshima yake.hata watu wa Izimbili na usoke wanajua hilo
 
Kamanda Molemo karibu tena JF. Kuna mijitu hapa jamvini kazi yao ni kutafutia watu ban, jitahidi kujiepusha nayo, ikishindikana cheza nayo kwa step.
 
Last edited by a moderator:
Nilisha wahi kusema na nina endelea kusema!wasije fanya mchezo hata kidogo na hisia zetu,wasitake kuhujumu chama kwa masilai yao'tupo macho na tunaona kinacho endelea.mwisho wao nikwenye makaburi kabla ya 2015 wote,na nina wahakishia hata baki ata mmoja.
 
lema-chopper.jpg
 
Watu wengi tulikuwa kwenye ban pia namshukuru Mungu kwasababu wakati mkuu Ben Saanane alivyofukua vile vigagula ningepata ban ya mwaka kwasababu Matusi yangekuwa ni mazito mno

Una matatizo sana unajisifia kwa matusi kweli Chadema mna kazi.
 
Last edited by a moderator:
Molemo is back! hatimae umefutiwa mashtaka na kuachiwa huru! waambie mods watalipa fidia bila kusamehewa!

Mkuu MTAZAMO nakushukuru sana.Mkuu wangu kwa kifupi tu niseme Pamoja na mashtaka yote yaliyoniandama lakini bado niko Imara sana kwa Mapambano na kundi la Masalia.
 
Last edited by a moderator:
Watu wengi tulikuwa kwenye ban pia namshukuru Mungu kwasababu wakati mkuu Ben Saanane alivyofukua vile vigagula ningepata ban ya mwaka kwasababu Matusi yangekuwa ni mazito mno

Mkuu Precise pangolin umemaliza niliyotaka kusema.Vinginevyo kipindi Kamanda mkuu Ben Saanane alivyowaanika wahalifu wa PM7 nisingekuwa kifungoni ningeweza kutumia silaha za maangamizi na nina uhakika zingenipa Life Ban.
 
Last edited by a moderator:
Napenda kutoa TAHADHARI kwa vijana wote wanaotumika kutaka kukivuruga CHADEMA. Kuna sababu nyingi sana za kutoa tahadhari.

1.chama sasa nikikubwa sana hivyo kufanya chama kuwa na watu wengi sasa huwezi kuwa unataka kuhalibu chama chenye watu wengi alafu wewe ukawa salama hivyo kuvuruga chama ni kuhatarisha hata usalama wa wewe mwenyewe ndio maana nikasema kwanza tahadhari.

2. kwakuwa wapinzani tulikumbwa na wimbi la kuhujumiana mwaka 1994 chama cha wananchi CUF. mwaka 1996 hadi 1999 chama cha NCCR-mageuzi ilikumbwa na migogoro mingi mikubwa sasa ukianza kuvuruga chama watu tunajua kuwa endapo tutawaacha kitatokea kitugani sasa je sisi tutakubari nyie mtuhalibie chamahuku tunawangalia.

3. wale ambaondio watendaji wazuriwa chamakama dr.silaa, john heche na wengine nyie ndiomaadui wenu huku watuambao hawana faida yoyote katka chama nyie ndiomna waona wazuri hivi mnafikiri kama kweli nyiemna nianjema na chademakweli mngemsema vibaya dk.slaa.

Je? Sisi tutawacha tu nyie mtuhalibie chama mimi nawatahadhalisha ACHENI.
hata mimi nilikuwa nafikiria hivyo hivyo kuwa hawa watu wanaotumika kuvuruga chama,tuwafute kwenye uso wa dunia,serious!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
NAWASHUKURU; makamanda wote walio unga mkono hoja hii pia nawaomba tusaidiane kujua hawa waovu wanaishi wapi majina yao kama una mjua yeyete towa taarifa nimepewa taarifa mmoja ana ishi kata ya mabibo mtaa wa farasi kule loyola bado hatuja pata simu yake na namba ya nyumba, naomba mwenye kujua atupe haki yetu haiwezi kuvurugwa sisi tunaangalia . watu hawana ulinzi wowote kwanini watusumbue mimi natangaza jihad. naomba msaada wa kujuwa maeneo yao. kama tukimtoa mguu au jicho ccm hawawezi kumrudishia.
 
Kamanda Molemo karibu tena JF. Kuna mijitu hapa jamvini kazi yao ni kutafutia watu ban, jitahidi kujiepusha nayo, ikishindikana cheza nayo kwa step.

Nakushukuru sana mkuu Mwita Maranya.Nimekusoma sana ushauri wako vinginevyo ningeanza kujaribu silaha zangu za maangamizi dhidi ya Masalia.
 
Last edited by a moderator:
hakuna sehemu hata moja iliyoonyesha zitto ameonekana kukaa pamoja na hao PM7 meza moja na kupanga mikakati na hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuwa hao masalia wanakihujumu chadema ila mbowe na slaa na kuna wanachama weng nch hii ukitoa mbowe na slaa sasa mnataka kutuaminisha bila mbowe na slaa hakuna chadema? To be great u need to be tough but fair try to thnk big as u claim you a great thinker

Ndiyo bila Mbowe na Slaa hakuna Chadema.Sema kingine.
 
Nakushukuru sana mkuu Mwita Maranya.Nimekusoma sana ushauri wako vinginevyo ningeanza kujaribu silaha zangu za maangamizi dhidi ya Masalia.

Kamanda Molemo kitu kimoja wasichokijua masalia ni kwamba wanapoishia ndiko sisi tunapoanzia.
Watajuta kukubali kutumika kuhujumu ustawi wa chama na huyo prezzo wao hatoweza kuwanusuru kuangukiwa na kitu chenye ncha kali.
Afu wakimsikia au kumuona Ben Saanane wanashikwa na kihoro. Imagine hadi mkuu wao anamuogopa Ben sasa inakuwaje kwa hao walioshikiwa akili zao?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom