Hili kundi halikuwa limesimama hata kwa dakika moja. Nasema hivyo kwa sababu Members wengine wote wa PM7 walijifunga nazi vichwani na kumtegema
Ben Saanane kwa mikakati na utekelezaji. Walilokuwa kuwa na uwezo nalo ni kuanzisha mawazo ya uovu tu lakini wasijue mbinu na harakati sahihi za kuyatekeleza. Kuondoka kwa
Ben Saanane ni kifo cha jumla kwa Masalia. Utaona kweli
Ben Saanane ndiye alikuwa na uwezo mkubwa wa kulifanya kundi ama liishi au life. Haya yanajodhihirisha katika ushauri/maelekezo ya
Kitila Mkumbo kwa
Ben Saanane kuliua kundi baada ya kubaini kuwa na watu wenye uwezo mdogo na waropokaji kama
Mchange.