'Masalia' wa CHADEMA wako hoi kisiasa!!

'Masalia' wa CHADEMA wako hoi kisiasa!!

Nakushukuru sana mkuu Mwita Maranya.Nimekusoma sana ushauri wako vinginevyo ningeanza kujaribu silaha zangu za maangamizi dhidi ya Masalia.

Kamanda Molemo kitu kimoja wasichokijua masalia ni kwamba wanapoishia ndiko sisi tunapoanzia.
Watajuta kukubali kutumika kuhujumu ustawi wa chama na huyo prezzo wao hatoweza kuwanusuru kuangukiwa na kitu chenye ncha kali.
Afu wakimsikia au kumuona Ben Saanane wanashikwa na kihoro. Imagine hadi mkuu wao anamuogopa Ben sasa inakuwaje kwa hao walioshikiwa akili zao?
 
Last edited by a moderator:

Kamanda Mwita Maranya yaani Prezoo akimsikia Kamanda Ben Saanane anatetemeka mwili mzima.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Precise pangolin umemaliza niliyotaka kusema.Vinginevyo kipindi Kamanda mkuu Ben Saanane alivyowaanika wahalifu wa PM7 nisingekuwa kifungoni ningeweza kutumia silaha za maangamizi na nina uhakika zingenipa Life Ban.

Waooo! Nimefurahi sana kukuona tena kamanda Molemo JF! Karibu sana kamanda wangu kwani umekuja wakati muafaka ambapo pro-CHADEMA wa JF tukiongozwa na kamanda jemedari Ben Saanane tumekuwa na new OPERATION inayoitwa "CHAKAZA MASALIA NA CCM JF" (CMC) ambapo matunda yake yameonekana ijapokuwa tunahofia usalama wa panya wetu majumbani kwetu lakini fear not kwani tumeapa kukilinda chama yaani DIE or LIVE.

Shardcole@Tabora1
 
Last edited by a moderator:
Tunazijua mbinu zenu za kumchafua zzk. Hakika Mungu atasimama juu yake na aibu kubwa. Kama mnataka kuuaminisha umma kwamba ili Mtu apate uongozi CDM lazima awe mchaga itakula kwenu na chama chenu cha ukoo.
 
Wewe mbona mvivu wa kufikiri? Au na wewe umekula kiapo kwa sangoma nn?
 
we laki saba unaziona nyiiiiiiiiiiiiiiingi eti nayo ni tuhuma.vijsenti huvioni? pesa za uswisi huzioni? EPA n.k huoni .Jiulize ufisadi huo unalingana vipi na hiyo laki 7 unayoisema
 
Wewe hauna bei ila wenzako wanabei acha ubaguzi wewe.

Kama wana bei ni kuwa wamekwisha jibagua wenyewe na si mimi ninayewabagua. Mimi fikra zangu ni kuwa natanguliza uzalendo mbele kwa mawazo kuwa watoto na wajukuu wangu wanufaike na si mimi kuhongwa mlo mmoja tu alafu nisaliti kizazi chote kijacho. Siendani nao kimawazo kwani wao wameshajipambanua wenyewe kutanguliza tumbo mbele.
 
Ila imefika wakati nae Dr Slaa aachie kiti kupisha uchunguzi maana yawezekana shutuma walizotoa masalia ni za ukweli. Dr kama chadema tumekuwa tunatoa matamko mbalimbali pale shutuma dhidi ya viongozi wa CCM zinapotokea na kuwataka wajiuzuru ili kulinda heshima ya Dr slaa inabidi akae pembeni na uchunguzi ufanyike kwenye shutuma hizi:
Dr Slaa ni mbaguzi uchunguzi ufanyike ili kujua kama ni kweli au la. Maana kiongozi mzuri ni yule anayeunganisha watu wanaompinga na wale wasiompinga na daima kuna usemi usemao "I IS KNOWN BY NONE I" Wanaomkubali DR tunaweza sema Dr slaa yupo safi lakini wanaompinga wanahoja pia wasikilizwe.
Shutuma ya UFISADI wa karatu na viwanja vya mabwepande achunguzwe maana mficha maradhi kifo humuumbua hizi ni hoja zitakazotumiwa na CCM 2015 tuchunguze sasa ili kujua ukweli wa mambo.
Pia shutuma ya kuvunja katiba na kumpa bwana Heche TSH LAKI SABA kinyume na scale ya chama. Hili nalo achunguzwe maana kama anavunja katiba ya chama akiwa Raisi itakuaje?
Wito wangu Dr Slaa aachie kiti ili uchunguzi ufanyike dhidi yake au ajiuzuru.Maana daima ukweli umueka mtu awe huru kama ukweli ukipatikana Dr slaa, Masalia etc watakuwa huru na hawata shutumiana tena.
Angalizo si kila anayempinga Slaa ni masalia maana "Dr Slaa si Chadema" hivyo Dr slaa nae ni mtu anafanya makosa kama wayafanyayo akina Zitto, Lowasa etc

raw rubbish,
 
I really like your comment, coz no body is perfect in this world and Hor dr Slaa is not an angel

Pigeni kazi vijana, pigeni kazi vijana, kumtetetea Mlosi Zitto Mzee wa Matunguri , Pigeni kazi sana tu.
 
Tunazijua mbinu zenu za kumchafua zzk. Hakika Mungu atasimama juu yake na aibu kubwa. Kama mnataka kuuaminisha umma kwamba ili Mtu apate uongozi CDM lazima awe mchaga itakula kwenu na chama chenu cha ukoo.

Mungu anasimamiaga Wachawi na Walosi?
 
mmm ipo kazi masalia .com wananguvu kama za Lowasa. Hata useme vipi wanaibuka na kingine. Mungu kawaumbua washinde na walegeee
 
Zitto mwanga na mshirikina mkubwa,mnafiki na mzandiki,msaliti na mpokea rushwa kutoka ccm kuiangamiza chadema sifa nyingine ni mbinafsi na mpenda sifa sasa Lema amerudi kama mpango wa Mungu ulivyopangwa hama chama chetu chadema nenda huko tumbo lako uliko lielekezea mnafiki na msaliti wewe.
 
Ndugu
zangu wana Jf, Happy Boxing Day.

Nianze kwa kuwaomba ebu tuwapuuze masalia.Wakileta uzi wowote juu ya Dr
Slaa au mh Mboe au kamanda mpambanaji mwingine yeyote
tuwapuuze,tusiwajibu.Namna yoyote ile kuendelea kujibizana na masalia
kutawafanya waongezewe mshahara maana kazi yao itakuwa imefanikiwa

Lakini tukiwapuuza sio tu tutakuwa tumewakosesha mshahara(maana kazi
itakuwa hakuna)lkn pia tutakuwa tumeliua lengo lao la kufanya watu waone
ndani ya chama kuna mpasuko wakati hakuna kitu kama hicho bali
wao(masalia)ndio wamepasuka.Hivyo wataenda kwa maboss wao kuwaambia kazi
yenu imetushinda.Dawa ya mpuuzi ni kumpuuza na ng'oma haipigwi bila
wachezaji hivyo tusicheze ng'oma za mashetani

Tuna mambo mengi ya kujadili yenye manufaa kwa mtz na uhai wa chama
chetu.Wakati tunajibizana na masalia huko twiga wetu wanazidi
kuisha,madini yetu yanazidi kuisha na kuachiwa mashimo ambayo kamwe
hatuwezi tena kuyafukia maana hata udongo wanabeba,viongozi wetu
wanawambia wtz waupigie kura mlima kilimanjaro kuwa ajabu saba la dunia
wakati kuna ajabu kubwa sn limeachwa,la vijana wetu kufaulu kwenda
sekondari wakati hawajui kusoma wala kuandika.

CHADEMA kimetangaza 2013 ni mwaka wa NGUVU YA UMMA,hivyo nguvu na macho
yetu tuelekeze huko.Lkn pia mh Mnyika ameishatoa taarifa juu ya jambo
hili hivyo tuwape muda masalia ngano na makapi vitajulikana.Wanataka
tuache mambo ya msingi tujadili juu ya uuaji wao wa panya,uendaji wao
kwenye mapango kula viapo nk.TUWAPUUZE.
Nawasilisha.

MUNGU IBARIKI TANZANIA

MUNGU IBARIKI CHADEMA

MUNGU MBARIKI DR SLAA
 
Back
Top Bottom