'Masalia' wa CHADEMA wako hoi kisiasa!!

'Masalia' wa CHADEMA wako hoi kisiasa!!

Nimekupata mkuu,
Nadhani ulimsikia Mh. Zito kwenye Bunge akitoa takwimu kuwa Kigoma kihistoria haikuwa sehemu ya Tanzania na akataka serikali iache kuwakamata wananchi wa kigoma kwa kisingizio cha uraia. Yeye (Mh. Zito Kabwe) alisema kuwa zaidi ya 80% ya wakazi wa Kigoma wana asili ya Burundi na Kongo. Hapa nimenukuu tu baadhi ya data zake sasa kama wewe unazo zilizotofauti na hizo naomba uzitoe. Sijasema kuwa watu wa Kigoma ni wakimbizi hilo umesema wewe!!!

QUOTE=cacasi;5299116]Duh!!!!!! hizo hisia za generalization hazina mashiko , acha kuleta ubaguzi usiokuwa na msingi wowote, wewe ongelea hoja na sio kutukana watu wa mkoa wa kigoma kwa kusema "zaidi ya 75% ya wakazi wa kigoma ni wakimbizi" tunaomba utapatie chanzo cha taarifa yako au research iliyofanya kuthibitisha hilo, kama una huo ni upuuzi wa kubuni data toka kichwani ili kuelezea hasira zako kwa watu wenye msimamo na mtazamo toufauti na wakwako, Ndugu heshimu watu na asili zao[/QUOTE]
 
Sijapata kudhania kama kuna siku moja wafuasi na wanachama wa CHADEMA wanaweza kuchambana ,kutukanana,kukashifiana au kubezana kama inavyotokea sasa,yaani wanashambuliana wao kwa wao..Napata shida sana kwa hali kama hii ikiendelelea hadi 2015 sijui mambo yatakuwaje.Tusubiri tuone yetu macho maana minyukano hii,.teh teh teh teh teh.
 
Mpaka sasa vijana ndani ya chadema wanao taka kuharibu taswira na movie ya ukombozi hawazidi 15. Dua mbaya ziwafikie popote walipo kabla 2012 haija malizika.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kweli mkuu wanaovuruga chama wawajibishwe maana wengine tumeapa hiki kizazi hakitapita mpaka tujikomboe! mambo ya kuogopa mtu kwa kisingizio chochote na mikwara mbuzi ya kuuga kwao hata sisi hatukutoroka nyumbani kwetu! halafu dr na yeye bwana aache mambo ya ajabu mbona kila kashfa yeye tu na zingine zinasound kama za kweli vile? by the way mke wake amekuwa akijiingiza sana kwenye mambo ya chama kama vile na yeye ni kiongozi wa chama! mimi mwenyewe nimeshamshuhudia twice akijisahau kuwa yeye ni mke tu wa katibu mkuu na sio katibu mkuu! mama iga mfano wa mke wa kamanda wa anga,saidia ukombozi indirectly kwa kumtunza vema kamanda wetu!
 
Hivi Ben wa saa8 na Mamuya kabila gani? Haaaah! Hao ndio walipotea njia kwenda masalia wakati wao ni wa sebuleni na wakipata sifa za undugu au nyumba ndogo wafike chumbani. So they are just back to where they belong.
 
Nikisema viongozi wangu wa sasa wa CCM wana mdomo wa kulia ugoro na kichwa cha kufugia nywele tu, hapa nitakuwa sahihi.

Mwigulu Unakaa halafu unaandika mashudu matupu humu JF.

Try to read what you wrote.
 
Hivi Ben wa saa8 na Mamuya kabila gani? Haaaah! Hao ndio walipotea njia kwenda masalia wakati wao ni wa sebuleni na wakipata sifa za undugu au nyumba ndogo wafike chumbani. So they are just back to where they belong.

Na wale masalia unaowalipa ili waivuruge CHADEMA ni wa kabila gani? Nilijua tu kuwa lazima uwatetee Masalia. Nasisitiza tena kuwa PM7 na Masalia wakishughulikiwa itakuwa kilio kikubwa kwa CCM. Gharama ulizotumia zimekwama.. Watafutie kazi vijana wa Masalia unaowatumia. Mwisho wao huku CDM umewadia.
 
Kuna jambo naona huna uhakika nalo ZKK kwanza hawezi kuishiwa kisiasa kwa kuwa yeye haitaji kujionyesha kwako wewe ili kuweza kumpigia kura.

Pili kama zkk atakuwa bado anataka kuwa Mbunge kwenye jimbo lake ataendelea kuwa mtawala mpaka hapo atakapo kufa, kwa kuwa imani kwa wapiga kura wake haifutiki kwa chuki zenu za kikanda.

Tatu hakuna hoja ngumu kwa kuwa zkk ni zaidi ya fikira zenu dudumizi, hata akitoka chadema leo akawa ni mgombea binafsi bado jamii ya watanzania mwenye akili watamkubali ila kwa dudumizi kama wewe ndio unaona zkk amefilisika kisiasa.

Mwisho huwezi mfananisha Zkk na Dr kwa kuwa Dr yeye ni kibaraka asili wa ccm kwa kuwa hadi tunavyo ongea ana miliki kadi ya ccm, hivyo kama kuna mtu anatumika ni yeye kwa kuwa anagawa ushindi wa chadema kwa ccm.

Dr ni virus na wewe ni kidudumizi
 
Hivi Ben wa saa8 na Mamuya kabila gani? Haaaah! Hao ndio walipotea njia kwenda masalia wakati wao ni wa sebuleni na wakipata sifa za undugu au nyumba ndogo wafike chumbani. So they are just back to where they belong.

We kibaka wa majina ya watu unatapika hapa sebuleni bila hata soni?
Hata kama unawafadhili masalia, utambue kwamba mission yenu imefahamika na imeshafeli kabla ya utekelezaji wake.
Kama bado mnaamini kwamba santuri ya udini na ukabila itawasaidia mjue kwamba hiyo ndiyo inawachimbia kaburi magamba na kuwanyanyua juu Chadema.
 
Heshima kwenu wana JF wote;
mwalimu maskini;ni kheri uwe masikini wa mali na fedha kuliko kuwa masikini wa fikra. Unapo sema Dr. Aache mambo ya ajabu ni mambo yapi hayo uwe wazi, na unapodai kila kashfa inamwandama ni kashfa zipi hizo? Either of the following might be true;
Wewe ni mmojawapo wa masalia unayetumiwa na Zitto, pole sana kwani dawa yenu inachemka na tutawanywesha ikiwa ya moto.or
Wewe ni mmojawapo wa magamba unayetumiwa kumshambulia Dr.Slaa kwani ndo' kazi iliyobaki,if that a case kachukue posho yako ya Christmass hapo Lumumba.

Wadau naomba kuwasilisha.
 
Hivi Ben wa saa8 na Mamuya kabila gani? Haaaah! Hao ndio walipotea njia kwenda masalia wakati wao ni wa sebuleni na wakipata sifa za undugu au nyumba ndogo wafike chumbani. So they are just back to where they belong.

-Your interests at stake..........!

-First Class Economist but tribal/religious bigotry.Stay away!

-You are not strateggic at all.Mwezi wa Saba ulipokua Mwenyeji wa akina Shonza na Mwampamba Area D Dodoma ulidhani unafanya jambo la akili sana.Haya uliyoandika ndiyo uliyotumia kuyumbisha hawa watu na kuchapisha T-shirt za M4C kwa spinning za ukabila.Bahati mbaya mlimkasirisha kijana wenu aliyekua akiwafanyia kazi James Mwakibinga na kutaka kuwapa kazi hiyo vibaraka wenu CHADEMA.Kaa mbali na CHADEMA.

Primson pump theory is no longer in your favour Mr.Economist
 
Never trust mtu yeyote toka Kigoma. Kigoma zaidi ya 75% ya wakazi ni wahamiaji hivyo hawana uchungu wa kweli na Tanzania zaidi ya kutafutia matumbo yao take a slight example,,, 1. Dr. Amani Waridi Kaburu,,2. Chifu... 3. Zito Kabwe ...4. Kafulila... 5. Msambya etc. Hiyo ndo kigoma na acha masuala ya kuzusha uongo hapo ndo usipime!!!

Nakuomba utuombe radhi watu wa Kigoma, si wote uliowaorodhesha ni raia halali wa mkoa wa Kigoma. Msambya ana asili ya Kongo (mubembe), Kafulila ni mfipa si muha. Iweje uje na ujumla wa watu wa Kigoma?
Mimi si mnafiki, si muongo na sinunuliki, ni muha halisi ninayejiamini.
 
We kibaka wa majina ya watu unatapika hapa sebuleni bila hata soni?
Hata kama unawafadhili masalia, utambue kwamba mission yenu imefahamika na imeshafeli kabla ya utekelezaji wake.
Kama bado mnaamini kwamba santuri ya udini na ukabila itawasaidia mjue kwamba hiyo ndiyo inawachimbia kaburi magamba na kuwanyanyua juu Chadema.
Anajua anachokifanya na anaendelea kuthibitusha nilichosema mkuu.Hata story zaje za ukabila Bunge lililopita ni story zilizoandikwa na kundi la Masalia akapewa .Spinning za kijinga.Bahati mbaya hata Masalia kwa njaa zao wanamhujumu Dr.Kitila Mkumbo bila yeye kujua.They're done
 
-Your interests at stake..........!

-First Class Economist but tribal/religious bigotry.Stay away!

-You are not strateggic at all.Mwezi wa Saba ulipokua Mwenyeji wa akina Shonza na Mwampamba Area D Dodoma ulidhani unafanya jambo la akili sana.Haya uliyoandika ndiyo uliyotumia kuyumbisha hawa watu na kuchapisha T-shirt za M4C kwa spinning za ukabila.Bahati mbaya mlimkasirisha kijana wenu aliyekua akiwafanyia kazi James Mwakibinga na kutaka kuwapa kazi hiyo vibaraka wenu CHADEMA.Kaa mbali na CHADEMA.

Primson pump theory is no longer in your favour Mr.Economist

Ben, Merry xmass.

Nakufuatilia hatua kwa hatua since the very beginning of this saga. Tupe data brother, i like your unique style of writting. Tiririka mkuu
 
Ila imefika wakati nae Dr Slaa aachie kiti kupisha uchunguzi maana yawezekana shutuma walizotoa masalia ni za ukweli. Dr kama chadema tumekuwa tunatoa matamko mbalimbali pale shutuma dhidi ya viongozi wa CCM zinapotokea na kuwataka wajiuzuru ili kulinda heshima ya Dr slaa inabidi akae pembeni na uchunguzi ufanyike kwenye shutuma hizi: Dr Slaa ni mbaguzi uchunguzi ufanyike ili kujua kama ni kweli au la. Maana kiongozi mzuri ni yule anayeunganisha watu wanaompinga na wale wasiompinga na daima kuna usemi usemao "I IS KNOWN BY NONE I" Wanaomkubali DR tunaweza sema Dr slaa yupo safi lakini wanaompinga wanahoja pia wasikilizwe. Shutuma ya UFISADI wa karatu na viwanja vya mabwepande achunguzwe maana mficha maradhi kifo humuumbua hizi ni hoja zitakazotumiwa na CCM 2015 tuchunguze sasa ili kujua ukweli wa mambo. Pia shutuma ya kuvunja katiba na kumpa bwana Heche TSH LAKI SABA kinyume na scale ya chama. Hili nalo achunguzwe maana kama anavunja katiba ya chama akiwa Raisi itakuaje? Wito wangu Dr Slaa aachie kiti ili uchunguzi ufanyike dhidi yake au ajiuzuru.Maana daima ukweli umueka mtu awe huru kama ukweli ukipatikana Dr slaa, Masalia etc watakuwa huru na hawata shutumiana tena. Angalizo si kila anayempinga Slaa ni masalia maana "Dr Slaa si Chadema" hivyo Dr slaa nae ni mtu anafanya makosa kama wayafanyayo akina Zitto, Lowasa etc
sasa apishe nini kwa kelele za Mitaani?hatajuaje kuwa sio CCM ni wana CDM?Wan CDM wangetumia njia sahihi ktk chama kufikisha malalamiko yao.BY the way Saa8 atawasilisha hoja na report zake ktk vikao vya chama ndipo dr. Atajua rasmi hayo.Na hapo atayajua kwa hawa vijana kuadhibiwa.Ie. OIL CHAFU KUWA FLUSHED AWAY.
 
Molemo is back! hatimae umefutiwa mashtaka na kuachiwa huru! waambie mods watalipa fidia bila kusamehewa!
 
Back
Top Bottom