'Masalia' wa CHADEMA wako hoi kisiasa!!

'Masalia' wa CHADEMA wako hoi kisiasa!!

Katibu mkuu anashutumia kwa UBAGUZI sie tunabaki kusema Masalia, masalia etc Kiongozi mzuri ni yule anaeunganisha watu si kuwagawa watu. Uchunguzi wfanyike kujua kama ni kweli au la.

Ni hakika kuwa ndani ya Chadema kuna watu wanaohangaika usiku na mchana aidha kwa kutumiwa au kwa maslahi yao binafsi kuhakikisha Chadema inasambaratika! Ni hivi Chadema ni sauti ya wanyonge wengi na sauti za wanyonge wengi ni sauti ya Mungu. Wale wote wanaojisumbua kutaka kukisambaratisha Chadema watasambaratika wao wenyewe. Ukumbukeni mwisho wa msaliti wa Yesu Kristo,huyu ni Yuda Iskariote.! Ni heri chama kibaki na watu wachache wanaohangaikia maslahi ya wananchi na kufuata katiba, kanuni, taratibu na miongozo ya chadema kuliko kuwa na umati wa masalia, wasaliti, mamluki na waleta chokochoko wanaohangaikia matumbo yao!
 
Hahaha! Shard Cole wake block account face book? Hii ni kawaida ya masalia, Mfano Alianza Zitto kuniblock Facebook akaja mchange, akaja Huyu Mwenye akili ndogo zaidi Mtela mwampamba Na sasa Demu wao Juliana shonza.
 
Tatizo watu mnachanganya hapa Dr slaa ni mtu sio Chadema. Vip mungu anapenda watu wabaguane au wapendane?
 
nashukuru kwakukiri kwamba chadema ni ant zitto.

Lady Juli,
Unless you are fulfiling the mission that you are alleged to be after, silence in this situation will increasingly credit you. Just a piece of advice.
 
Tatizo watu mnachanganya hapa Dr slaa ni mtu sio Chadema. Vip mungu anapenda watu wabaguane au wapendane?

Mkuu soma comments zangu vizuri,CDM ina kanuni,taratibu na miongozo kwa ajili ya mafanikio na migogoro ya Chama. Nadhani jambo la muhimu kwa wanachama ni kuelewa wajibu wao na viongozi kutimiza matamanio ya wanachama,that is all,
 
Mkuu soma comments zangu vizuri,CDM ina kanuni,taratibu na miongozo kwa ajili ya mafanikio na migogoro ya Chama. Nadhani jambo la muhimu kwa wanachama ni kuelewa wajibu wao na viongozi kutimiza matamanio ya wanachama,that is all,[/QU
Najua kuwa Chadema inakanuni, taratibu hadi katiba pia lakini kiongozi anaposhutumiwa kuvunja katiba na kufanya ubaguzi ndani ya chama hauoni kama kuna haja ya kufanya Uchunguzi kama chama na kubaini ukweli wa mambo? Tulimwandikia barua Raisi ili alete tume ili ichunguze shutuma zetu kwa jeshi la polisi kwa nini isitumie idea hiyo kuchungunza kiti cha Katibu Mkuu kubagua wanachama na kuwapa watu Mishahara inayovunja katiba ya chama?
 
Lady Juli,
Unless you are fulfiling the mission that you are alleged to be after, silence in this situation will increasingly credit you. Just a piece of advice.

upo sahihi kabisa na ushaur wako aufanyie kaz
 
Inafurahisha sana saizi kuna Chadema mbili halafu utegemee Chadema watashinda uchaguzi.
 
nasikia mtela mwampamba amerudi katika kazi yake ya modeling na kukata mauno kama alivyokua anafanya wakati akiwa chuo, kabla ya kuingia kwy siasa.
 
nasikia mtela mwampamba amerudi katika kazi yake ya modeling na kukata mauno kama alivyokua anafanya wakati akiwa chuo, kabla ya kuingia kwy siasa.

Ni bora kaondokana na siasa za ubaguzi na kuvunja katiba kuvunja katiba ya vyama halafu wanachama mnatetea. Nanukuu "MIE SIO KITOWEO CHA WAJINGA WAJINGA NDIO WALIWAO"
 
Inafurahisha sana saizi kuna Chadema mbili halafu utegemee Chadema watashinda uchaguzi.

Kwa ufinyu wa wigo wa uelewa ndo unaokufanya ufikiri kuna CHADEMA mbili. Pole waswahili husema 'Utamjua mtu kwa umbo au mavazi yake! Sasa picha yako inaonesha jinsi ulivyo Mbulula.
 
Kwa ufinyu wa wigo wa uelewa ndo unaokufanya ufikiri kuna CHADEMA mbili. Pole waswahili husema 'Utamjua mtu kwa umbo au mavazi yake! Sasa picha yako inaonesha jinsi ulivyo Mbulula.

Naona unapingana na ukweli wewe endelea kujifariji na kujiliwaza ukweli unabaki kuwa ukweli....mlivyokuwa na njaa nyie Bavicha tena mnanunulika kirahisi sana.
 
Sis tuna Mungu wao na matungur pamoja na uyo jamaa wao wa mwisho reli.,kama yey maaruf kwel atoke akazishe chama chake hahahahaaaaaaaa
 
sis tuna mungu wao na matungur pamoja na uyo jamaa wao wa mwisho reli.,kama yey maaruf kwel atoke akazishe chama chake hahahahaaaaaaaa

mnamzingizia mungu wa watu yeye amesema tupendane nyie mnashabikia ubaguzi ana uvunjwaji wa katiba chamani?
 
wengine ni Nsanzugwanko wote hao ni wanafiki wa kutupa

Never trust mtu yeyote toka Kigoma. Kigoma zaidi ya 75% ya wakazi ni wahamiaji hivyo hawana uchungu wa kweli na Tanzania zaidi ya kutafutia matumbo yao take a slight example,,, 1. Dr. Amani Waridi Kaburu,,2. Chifu... 3. Zito Kabwe ...4. Kafulila... 5. Msambya etc. Hiyo ndo kigoma na acha masuala ya kuzusha uongo hapo ndo usipime!!!
 
nashukuru kwakukiri kwamba chadema ni ant zitto.

Binti nakumbuka kuwahi kukupa ushauri but narudia tena...Kaa kimya tu mmeshaaibika kama kundi na kadri unavyoendelea kufungua mdomo ndivyo unavyozidi kuuthibitishia umma kuwa we ni Mburula.
Ukimya wako unawezawathibitishia wale wachache ambao bado wana imani na wewe kuwa wanafanya makosa.
 
Inafurahisha sana saizi kuna Chadema mbili halafu utegemee Chadema watashinda uchaguzi.
Mbona CCM zipo tatu yaani Mafisadi, Anti Ufisadi na Usultani na bado tuna uhakika wa Kuwashinda wapinzani.
 
Hahaha! Shard Cole wake block account face book? Hii ni kawaida ya masalia, Mfano Alianza Zitto kuniblock Facebook akaja mchange, akaja Huyu Mwenye akili ndogo zaidi Mtela mwampamba Na sasa Demu wao Juliana shonza.

Mkuu yani jamaa wanatia huruma kabisa.
 
Back
Top Bottom