Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Kwa maelezo haya, polisi hajafanya kosa kabisa kufyatua risasi he
Tufanye uko sawa,kutumia smg kupiga risasi hewani kwa mkono mmoja? duuh!! Halafu rapid umeiona ile recoil kidogo ajipige mwenyewe au raia..hii inaonyesha uzembe! uzembe! ukosefu weledi yeye ni askari amepanic mwenzake yuko well trained and displined anamuamua mwenzake hii inaleta taswira za ajabu good cop and bad cop.
 
Mimi nilijua tu ipo siku hawa majijembe sijui nani watazua balaa. Kwani, hizi manispaa hazina akili nyingine mpaka kulazimisha mapato kwa visheria vya kipuuzi?

Yaani siku hizi kuwa na gari ni kero, utatozwa weeeeee, maana mpk kufungulia redio kwenye gari lako sasa itakuwa fine.
Serikali ndio inakusanya mapato hivyo! Lengo lao ni kutangaza matrilioni kila mwezi
 
huyo polisi atakuwa hana vyeti
Watanzania tumezoea kuongea kwa fashion ya upepo wa kisiasa.

Kwa mtazamo wa haraka haraka wananchi walipomzingira mtu walijua ni mwizi na wangeweza kumuua sasa polisi kupiga risasi juu ni kwa nia ya kutawanyisha watu ili kuepusha kifo cha jamaa.
Fashion zingine zinatuvua nguo ni vema tukaachana nazo.

Tazama heading ya hii habari, risasi zarindima! Katika maelezo risasi moja ndiyo imepigwa hewani sasa risasi zirizolindima ni ngapi na ziko wapi katika maelezo?

Mwanzoni mwa habari, mleta mada anasema kumekuwepo na majibizano ya risasi, mwishoni anasema risasi moja ndiyo imefyatuliwa hewani, sasa hayo majibizano ya risasi ni baina ya polisi na nani? ikiwa mmiliki wa gari hakua na silaha na wananchi hawakua na silaha!
 
Watanzania tumezoea kuongea kwa fashion ya upepo wa kisiasa.

Kwa mtazamo wa haraka haraka wananchi walipomzingira mtu walijua ni mwizi na wangeweza kumuua sasa polisi kupiga risasi juu ni kwa nia ya kutawanyisha watu ili kuepusha kifo cha jamaa.
Fashion zingine zinatuvua nguo ni vema tukaachana nazo.
hapana mkuu mi nifanya joke tu usijali .. ni kweli walitakiwa watumie hata baruti
 
Mchana huu pamesikika milio ya risasi maeneo ya Masaki karibu na Double tree Hotel.
Yalikuwa ni majibizano kati ya Majembe Auction Mart waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata gari lilokuwa limeegeshwa pembeni ya barabara hali ya kuwa Dereva yupo ndani.

Inasemekana gari lilikuwa la Mwanae Kighoma Malima aliyeenda IOM kufatilia ishu zake.

Mtu wa Majembe akavamia gari hilo na alipodaiwa kuonyesha vitambulisho aligoma kutoa ndio wananchi walipolizingira gari wakitaka kumpiga wakijua ni jambazi.

Polisi aliingilia kati na katika majibizano akafyatua risasi juu kumtishia ndugu Malima aliyekuwa hana hata silaha wala hakukuwa na mwananchi aliyekuwa na silaha.
Taarifa nzuri ila umeileta kiumbeya zaidi
 
Umeangalia hizo clips hapo juu kulikuwa na ulazima gani kufanya vile, tena amepanda kwenye gari tayari anashuka kupiga risasi ili iweje?
Ukiwa hapa jf kila kazi unaweza kusema unaiweza.
Nakushauri nenda ukawe polisi maana hata wewe ni mtanzania ili uwafundishe huo weledi wako
 
Back
Top Bottom