Marylin Mashiba

Nimekusoma mkuu...Mi nilidhani Aide-de-camp(Camp Assistant) ni mwanajeshi ambaye ni Lt Col ni personal assistant wa Mkuu wa Kaya(anafanya kazi kama kubeba mikoba ya mkuu wa kaya n.k)......

Pia nilijua Body guards wao wanatoka Kitengo cha ulinzi wa viongozi(kama ilivyo Secret Service kwa US)..

Pamoja

Pia nilijua Body guards wao wanatoka Kitengo cha ulinzi wa viongozi(kama ilivyo Secret Service kwa US)..

Ukweli ni kwamba ADC sio Body guard.......Ni Mpambe tu wa Mkuu wa kaya


Aide-de-camp - Wikipedia, the free encyclopedia
Pamoja
 
wakuu muuliza swali alitaka tu kujua huyo amirlyn mashiba ni nani.. na ameshapata jibu!!! BASI HAYO MENGINE TUYAACHE............TUMESHAJUA BABAKE ANAFANYA IKULU, INATOSHA

Yap! Hiyo connection nadhani tulio wengi ndio tulikuwa tunataka kuijua. Issue ya justification, nadhani tumwachie mwenyewe na watu wake wa protokali.

Hata mimi ningekuwa yeye ningehudhuria hiyo send-off na dansi pia ningelisakata!
 
Pia nilijua Body guards wao wanatoka Kitengo cha ulinzi wa viongozi(kama ilivyo Secret Service kwa US)..

Ukweli ni kwamba ADC sio Body guard.......Ni Mpambe tu wa Mkuu wa kaya

Pamoja

Mkuu nadhani hapo unaongea kinadharia zaidi

ADC na Body Guard wote ni MILITARY OFFICERS - Naomba kwa manufaa ya mtiririko wa hii thread tuishie hapo!
 
Naomba kuuliza swali la kijinga: Hivi enzi za kina Filemon Mgaya kulikuwepo uwezo wa kifedha wa kufanya send off ya kifahari namna hii?
Ni swali la kijinga tu, nimeuliza.
 
Naomba kuuliza swali la kijinga: Hivi enzi za kina Filemon Mgaya kulikuwepo uwezo wa kifedha wa kufanya send off ya kifahari namna hii?
Ni swali la kijinga tu, nimeuliza.

swali la nyongeza kabla kukujibu:naomba unifahamishe hii send off ya ''kifahari'' imecost kiasi gani??
nb:harusi/send off watu wanachangiana.
 
Alikuwawa ADC wa Nyerere enzi hizo. Alioza wanae bila sendoff za kifahari kama tunavyofanya leo.

Say what you want about Nyerere but you can't say that he and his administration didn't uphold the highest of ethical and moral standards.
 
Hii mbona cha mtoto. Kuna siku JK alipigwa picha akimpa dogo mmoja peremende acha watu humu wamkomalie koo...ooh eti ni aibu kwa raisi kumpa dogo peremende oooh raisi alitakiwa awe anafanya kazi za kutatua umaskini...yaani ili mradi tu. That is very petty in my opinion. Sasa le kahudhuria sijui send off imekuwa nongwa and somebody is gonna bit.ch and moan about it. But, all of this comes with the territory. Na kitu ninachomsifu JK ni kwamba he has a thick skin. Sidhani vi petty criticism kama hivi vinamkosesha usingizi.

Sasa subirini siku atakapoanza kucheza golf na yeye muone watu watakavyofuka....

Bado unau-defend u-presidential candyman in the midst poverty as a non-petty issue?
 
Bado unau-defend u-presidential candyman in the midst poverty as a non-petty issue?

I'm rather amazed at the gross pettiness/ small-mindedness shown by the so called creme de la creme of this forum. Grown ups crying, moaning, and bitching about candy and a send off party....socialist please....
 
Hakuna cha ajabu JK kuhudhuria send off ya Marylin. Kwani nyie mlimwalika kwenye sherehe zenu akakataa kuhudhuria? ( Baba yake Marylin anafanya kazi ikulu kama mnataka kujua connection)....

Ndugu...... jaribuni kusoma thread kwa uangalifu na msilete mambo ya Mwananyamala kwa kopa hapa! Waswahili tumelaaniwa? Maneno meeeeeeeeeeeeeeeeeeeengi point zero!
 
Whao!..Send-off nzuri ila badala ya kuwa siku ya Marylin ikawa ya JK kwa jinsi alivyopaishwa wakati ni mhudhuriaji tu au ndo mambo ya itifaki?!..
Sioni tatizo kabisa uwepo wa JK, infakt naolewa karibuni na ningependa kumualika JK!! I hope atakubali kujumuika nami!..

Kelele nyingi na maswali mengi ni kwa sababu jamaa ni kilaza na msanii... hatimizi wajibu wake. Ndiyo maana wengi wananapoona hiyo sura wanakasirika kwani anachofanya hakionekani. Anazuka kwenye sehamu kwa usanii usanii...
 
mwe?! kwni huyu siyo yule mwenye imalaseko? anfanya ikulu siku hizi? au nimekosea jina?lakini huwezijua wengi wanaofanya ikulu hatuwajui wengine wanafanya biashara zao kumbe ni part time state house staff,vinginevyo kama ndiye wa imalaseko si ajabu J K na hata mama Tunu kuhudhuria ni mtu maarufu yule na pengine m,wana mtandao
 
ndio, ulikuwa hujui? tumemwajiri, tunamlipa mshahara tukitaka kujua anafanya nini ni haki yake. Besides, can't help it if the the mind wonders... You are being defensive where no defense is needed


Mh ndivyo ilivyo kwa mwajiri wako? Anajua kuwa unadumisha mila kulee karibu na CHAWOTE?
 
Back
Top Bottom