Marylin Mashiba

Jafar

JF-Expert Member
Nov 3, 2006
1,136
52
Hivi naomba kuuliza huyu Marilyn Mashiba ni nani mpaka JK ahudhurie send-off yake?

Source: Michuzi blog
 
Hata mimi nilikuwa najiuliza maswali kama wewe maana hata Mama Tunu Pinda ndani...Wadadisi wa mambo labda watatupa jibu.
 
Extended families za kiafrika hizi jamani...Utakuta ni mtoto wa mdogo wa binamu!..huh!
 
Hata mimi nilikuwa najiuliza maswali kama wewe maana hata Mama Tunu Pinda ndani...Wadadisi wa mambo labda watatupa jibu.

Lazima atakuwa waziri maana mkubwa kala nae rhumba....mbona Pinda hayupo mkewe yupo?.....JK kaniacha hoi sana leo
 
Hivi naomba kuuliza huyu Marilyn Mashiba ni nani mpaka JK ahudhurie send-off yake?

Source: Michuzi blog

Dah.....This is too low jama.....Kwani JK na mama Tunu Pinda hawana haki ya kuhudhuria sherehe(harusi,sendoff n.k) za ndugu na jamaa zao?????........Cha ajabu kipi hapa jama mpaka maswali yawe meeeeeeeeeeengi......JK ni binadamu kama wengine,ana haki ya kuhdhuria sherehe yoyote ya ndugu,jamaa na marafiki jamani.

Ni mtazamo tu.............
 
Huenda ni binti ya Dr ERNEST MASHIMBA CHIEF GOVERNMENT CHEMIST! Nimelinganisha majina tu!
 
Dah.....This is too low jama.....Kwani JK na mama Tunu Pinda hawana haki ya kuhudhuria sherehe(harusi,sendoff n.k) za ndugu na jamaa zao?????........Cha ajabu kipi hapa jama mpaka maswali yawe meeeeeeeeeeengi......JK ni binadamu kama wengine,ana haki ya kuhdhuria sherehe yoyote ya ndugu,jamaa na marafiki jamani.

Ni mtazamo tu.............

Tatizo ameripotiwa kuhudhuria kama rais na sio JAKAYA......
 
Mimi naamini ni curiosity ya kawaida tu! Hata mimi nilipoisoma hiyo habari (kwa Michu), akili yangu ilikuwa inajiuliza huyu ni nani hata President ahudhurie harusi yake? Ni kweli jibu linaweza kuwa jepesi tu (ndugu, famly friend or just anybody!) lakini naamini any logical mind ikisoma hiyo habari lazima itadai reason!
 
Tatizo ameripotiwa kuhudhuria kama rais na sio JAKAYA......

Kwani Rais naye si ana ndugu,jamaa na marafiki bana.......Kwa hiyo hata kama ndugu,jamaa ama rafiki ana shughuli(sherehe) Rais hapaswi kuhudhuria pale bali ni JK ndo anapaswa kuhudhuria siyo?.......Binafsi sioni tatizo lolote kwa Rais kuhudhuria sendoff ya binti Marylin Mashiba....Rais ni binadamu bana......ana haki ya kuhudhuria sherehe,misiba n.k......Sidhani kwamba ni kosa mazee
 
oma swali kwanza ulielewe, mwuulizaji aliuliza hakusema ana tatizo na uhudhuriaji wa raisi
 
Nimesoma na kulielewa babu/bibi.....So imefikia kipindi rais lazima tujue kila mtu ambaye rais atahudhuria shughuli yake....lol
 
kweli mtu ukiisoma kwa Michu unabaki na maswali kibao na ukienda kwenye comment hakuna details za huyu binti ila sio jambo lakushangaza kwa rais kuhudhuria sema watu wanataka kupata connections zake na huyo binti..kuna jibu mmoja nimelipenda huenda ni mfanyakazi wa IKULU so yupo kwenye party ya staff mwenzake!!
 
Nimesoma na kulielewa babu/bibi.....So imefikia kipindi rais lazima tujue kila mtu ambaye rais atahudhuria shughuli yake....lol

ndio, ulikuwa hujui? tumemwajiri, tunamlipa mshahara tukitaka kujua anafanya nini ni haki yake. Besides, can't help it if the the mind wonders... You are being defensive where no defense is needed
 
Nakuwa defensive kivipi babu.........ukweli ni kwamba hii thread haina mashiko.....Ukweli ni huo(japo unauma)...........
 
Back
Top Bottom