Marylin Mashiba

Yaani mpaka sasa ni bila-bila (yaani hakuna anayejua? siamini !!!!)
 
Dah.....This is too low jama.....Kwani JK na mama Tunu Pinda hawana haki ya kuhudhuria sherehe(harusi,sendoff n.k) za ndugu na jamaa zao?????........Cha ajabu kipi hapa jama mpaka maswali yawe meeeeeeeeeeengi......JK ni binadamu kama wengine,ana haki ya kuhdhuria sherehe yoyote ya ndugu,jamaa na marafiki jamani.

Ni mtazamo tu.............

Mkuu,

Natumaini haumo katika "wadhamini" 250 wa JK - for presidency 2010?

USA hata Raisi anavyotafuna "Baga" magazeti yanaandika, sembuse kuingia kwenye send-off?

Hivi unafahamu ki-protocali Raisi napokuwa sehemu kama "hiyo" kunakuwapo na wasaidizi wake wangapi?

Every move the president makes - costs the taxpayers "dearly"! Ndiyo maana tunataka justification!

Kikwete ni Raisi , Pinda ni Waziri Mkuu - Hawatakiwa kwenda sehemu kwa gharama yetu bila sababu za msingi!
 
Hapana.....Ni binti ya Mashiba......Msaidizi wa karibu wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete

Mkuu,

Kwahiyo ni "send-off" ngapi ataudhuria Kikwete mpaka 2015? Maana hata binti wa Salva atakuwa amefikia umri wa ku-sendiwa come 2014
 
Mkuu,

Kwahiyo ni "send-off" ngapi ataudhuria Kikwete mpaka 2015? Maana hata binti wa Salva atakuwa amefikia umri wa ku-sendiwa come 2014

Dah..........kwa hiyo ulitakaje......asihudhurie ama.......Rais ni binadamu kama ulivo wewe...Yaani unataka ajifungie Ikulu tu.............lol
 
Mkuu,

Natumaini haumo katika "wadhamini" 250 wa JK - for presidency 2010?

USA hata Raisi anavyotafuna "Baga" magazeti yanaandika, sembuse kuingia kwenye send-off?

Hivi unafahamu ki-protocali Raisi napokuwa sehemu kama "hiyo" kunakuwapo na wasaidizi wake wangapi?

Every move the president makes - costs the taxpayers "dearly"! Ndiyo maana tunataka justification!

Kikwete ni Raisi , Pinda ni Waziri Mkuu - Hawatakiwa kwenda sehemu kwa gharama yetu bila sababu za msingi!
Mhhhhhhhhhhh makubwa....yashakuwa hayo ya udhamini tena!!!!!!!!!!!!!!!............lol

Kwa hiyo unataka Rais awe anahinda nyumbani tu na hata akilikw kwenye sherehe zaa ndugu,jamaa na rafiki zake aisende kisa kuepuka gharama za walipa kodi!!!!!!!!!.....Kuna namna ya kuepuka gharama za walipa kodi babu lakini si kihivo...Kumbuka Rais ni binadamu/mtanzania kama walivyo binadamu/wantanzania wengine....anahitaji kuhudhria sherehe,misiba au hata matukio yanayowahusu ndugu jamaa na kwa nafasi yaake kama Rais dharama hazikwepeki

Kumbuka kwamba Mashiba ni mtu wa karibu sana wa Rais kikazi(ni kkama ndugu yake) so si vibaya kwa rais khudhuria sendoff au hata harusi ya Marylin binti Mashiba
 
Home B Obuntu anapoint pale msome pole pole!

Nimemuelewa sana aisee.....si lazima Rais ahudhurie sendoff/harusi ya kila mtu....Ila kuna watu wale ambao they are so close to the Prezidaa(kikazi) Mashiba ni mmojawapo...So binafsi namuunga mkono 100% mhishimiwa sana Prezidaa kwa khudhuria Sendoff party ya Marylin binti Mashiba
 
Kama ni msaidizi wake shwari! Ila wapiga kura wangependa kuhoji wakisikia JK amehudhuria send off ya bint wa Masanilo na Mzenji, halafu niwe siko kwenye sphere yeyote! Maana raisi wetu ni Mkwere huenda hata alizamia lol
 
Hakuna cha ajabu JK kuhudhuria send off ya Marylin. Kwani nyie mlimwalika kwenye sherehe zenu akakataa kuhudhuria? ( Baba yake Marylin anafanya kazi ikulu kama mnataka kujua connection)....
 
........Huyu dada kitchen party yake ilikuwa bomba wake wa viongozi wengi tu walihudhuria hata mama Salma Kikwete alikuwepo. Yaani rais akienda kwenye sherehe tu inakuwa tabu.........watanzania bana kwani mnafikiri rais sio binadamu? Mmezidi kuhoji msimuone Kikwete kwenye sherehe inakuwa tabu.
 
Hakuna cha ajabu JK kuhudhuria send off ya Marylin. Kwani nyie mlimwalika kwenye sherehe zenu akakataa kuhudhuria? ( Baba yake Marylin anafanya kazi ikulu kama mnataka kujua connection)....

Hivi Ikulu pana wafanyakazi wangapi? Hivi Kikwete anao watu wa karibu wangapi?

Sijui kipi kinatufanya tupende kuendelea kufarahia haiba ya JK na motto ya "Mtu wa Watu"!

JK anaudhuria Ubatizo, Kipaimara, Send-Off, Harusi, Maulid, Hitima, Arobaini, ... hapo hapo ana-cruise all around the world kutafuta "wawekezaji" hapo hapo nazunguuka kupiga Kampaini ... DAR-BKB-Sumbawanga...

Huyu JK uwa anapumzika saa ngapi na kufikiria mustakabali wa Nchi hii?

Give me a Break please - yo:khaa: mweeh:jamani!!!!!!!!!!!!!!!
 
........Huyu dada kitchen party yake ilikuwa bomba wake wa viongozi wengi tu walihudhuria hata mama Salma Kikwete alikuwepo. Yaani rais akienda kwenye sherehe tu inakuwa tabu.........watanzania bana kwani mnafikiri rais sio binadamu? Mmezidi kuhoji msimuone Kikwete kwenye sherehe inakuwa tabu.

Hii mbona cha mtoto. Kuna siku JK alipigwa picha akimpa dogo mmoja peremende acha watu humu wamkomalie koo...ooh eti ni aibu kwa raisi kumpa dogo peremende oooh raisi alitakiwa awe anafanya kazi za kutatua umaskini...yaani ili mradi tu. That is very petty in my opinion. Sasa le kahudhuria sijui send off imekuwa nongwa and somebody is gonna bit.ch and moan about it. But, all of this comes with the territory. Na kitu ninachomsifu JK ni kwamba he has a thick skin. Sidhani vi petty criticism kama hivi vinamkosesha usingizi.

Sasa subirini siku atakapoanza kucheza golf na yeye muone watu watakavyofuka....
 
Hivi Ikulu pana wafanyakazi wangapi? Hivi Kikwete anao watu wa karibu wangapi?

Sijui kipi kinatufanya tupende kuendelea kufarahia haiba ya JK na motto ya "Mtu wa Watu"!

JK anaudhuria Ubatizo, Kipaimara, Send-Off, Harusi, Maulid, Hitima, Arobaini, ... hapo hapo ana-cruise all around the world kutafuta "wawekezaji" hapo hapo nazunguuka kupiga Kampaini ... DAR-BKB-Sumbawanga...

Huyu JK uwa anapumzika saa ngapi na kufikiria mustakabali wa Nchi hii?

Give me a Break please - yo:khaa: mweeh:jamani!!!!!!!!!!!!!!!

Hebu tueleze..Tangu mwakahuu uanze amehudhuria ngapi so far(unazozijua wewe).....Labda tutapata pa kuanzia
 
wakuu muuliza swali alitaka tu kujua huyo amirlyn mashiba ni nani.. na ameshapata jibu!!! BASI HAYO MENGINE TUYAACHE...

tbh HATA MIMI NILIKUA INTERESTED KUMJUA HUYO BINTI BAADA YA KUONA AKILISHWA KEKI NA RAIS NA MAMA YAKE TU, NA SIKUONA AKIMLISHA BABA YAKE... KWA HIYO NIKAWA NA INTEREST YA KUMJUA

TENA NA DENSI JUU...

TUMESHAJUA BABAKE ANAFANYA IKULU, INATOSHA
 
Back
Top Bottom