Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,126
huyu ni mary gani? au ndio zile hela zetu za nhif? omg!
saSa kama waziRi wa eRiMu ni Mr. muluGO hajui chochote unategemea SiSi wengine TUTakuwaje!!!!!!!!
Yeah mkuu, true kabisa. Hii ni bajeti ya Tanzania kwa miaka kama mitano hivi
Ukiwaeleza Watanzania kwamba elimu yetu ni ndogo, watakataa. Lakini ukweli ni kwamba huu hapa ndiyo ushahidi wenyewe. Ukiandika Shilingi 700,000,000 ni tofauti kabisa na kuandika Shilingi milioni 700,000,000. Kama alivyosema huyu ndugu niliyemkoti, kuandika hivyo ni sawa na kusema 700,000,000 zidisha mara 1,000,000. Matokeo yake ni 700,000,000,000,000 (Kwa hiyo hii ni trilioni 700). Hakuna anayeweza kuiba kiasi hicho cha fedha. Hata Mobutu hakufikia rekodi hiyo!
Mkuu, bajeti ya Tz kwa mwaka huu ni trilioni 15. Kwa mwendo huu, hizi trilioni 700 ni bajeti ya mika zaidi ya 40
!
Sio trilion jaman ni million 700 hebu someni vizuri.
Thread yako nzuri ila umakini katika somo la hisabati ndiyo umekupiga chenga
Kiingereza sahihi ungeuliza hivi "Did this happen in Tanzania?" Ama sivyo ungeuliza kwa kiswahili tu. Wenyewe husema titi ya mama ni tamu hata kama ni la mbwa!
saSa kama waziRi wa eRiMu ni Mr. muluGO hajui chochote unategemea SiSi wengine TUTakuwaje!!!!!!!!
fumua fumua ndo nini?
Sent from my blackberry 9700 using jamiiforums
is this happened in tanzania?
saSa kama waziRi wa eRiMu ni Mr. muluGO hajui chochote unategemea SiSi wengine TUTakuwaje!!!!!!!!