Jesuitdon
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 3,154
- 2,657
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Unataka Uämbarutiweeee
Ila wale jamaa walishika watu maskio hatariiiHauna tofauti na mashekh wanaoimba ufreemason kwenye vi-CD vya 1000 wakati wao wanatumia device hizohizo wanazopinga vita kutafutia hizo taarifa na kuzi-burn!
Sent using Jamii Forums mobile app
ndo nn??????Oyaaa nitawadumda.
Game of throne inatoka lin.....?Yes haya makito na cartoon the the simpsons zimejaa ushetani ushetani, ila mimi haya makitu ya u super hero sijawahi yapenda toka niwe mtu mzima mwenye miaka 18.
Ila ukifuatilia kila movie ina ushetani hata into the badlands yani hakuna pa kukimbilia mimi naendelea tazama tu into the badlands na the game of thrones
Mwaka huu mwez wa tano na ndo ya mwisho kabisa sasa sijui itakuwaje maana iliisha John Snow anammega mother of dragons kumbe ni ndugu so John Snow ndiye anabidi arithi kiti cha ufalme
Sikuwahi na sitawahi waelewa ingawa tunashea imani.Ila wale jamaa walishika watu maskio hatariii
But kuna ile mizimu imevamia cityMwaka huu mwez wa tano na ndo ya mwisho kabisa sasa sijui itakuwaje maana iliisha John Snow anammega mother of dragons kumbe ni ndugu so John Snow ndiye anabidi arithi kiti cha ufalme
Do not underestimate nguvu kubwa iliyopo kwenye movie industries, nakumbuka mambo (hasa tecknologia) niliyokua nayaona kwenye movie za miaka ya 80 na 90 Leo hii yapo dhahiri kabisaHapo watu wanaweza kukuelewa maana watu hua wanadhani kua marvel hulala ba kuamka kisha wanatuletea hizi muvi. Sio wajinga wanajua wanachofanya.. mfano mashindano ya Olympic watu wanazani yalitokea tuuuu
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Nashukuru kwa kuliona hilo nadhani uzi huu utaushi hata baada ya miaka 10 ijayo.. Mambo yatakua waziDo not underestimate nguvu kubwa iliyopo kwenye movie industries, nakumbuka mambo (hasa tecknologia) niliyokua nayaona kwenye movie za miaka ya 80 na 90 Leo hii yapo dhahiri kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app