Marvel studios chini ya Hollywood inawaandaa watu kisaikolojia juu ya ujio wa Mpinga Kristo

Denvers

Denvers

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
21,894
Points
2,000
Denvers

Denvers

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
21,894 2,000
Do not underestimate nguvu kubwa iliyopo kwenye movie industries, nakumbuka mambo (hasa tecknologia) niliyokua nayaona kwenye movie za miaka ya 80 na 90 Leo hii yapo dhahiri kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa kuliona hilo nadhani uzi huu utaushi hata baada ya miaka 10 ijayo.. Mambo yatakua wazi

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Humorous Junior

Humorous Junior

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2018
Messages
1,050
Points
2,000
Humorous Junior

Humorous Junior

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2018
1,050 2,000
Salute..

Kwa wale wapenzi wa muvi zinazotengenezwa na studio za Marvel. Marvel ipo chini ya rais wake Kevin Fiege ambae nae ni Illuminati Freemason mwenye 33 Degrees mtakubaliana na mm hili naloandika. Hasa kama umefuatilia filamu za Avangers .. toka Avangers Assemble hadi Infinity war mwaka kesho pia Ikitoka Avangers Endgame.

Hapa nitazungumzia muvi mbili ya Doctor Strange na Avangers infinity war.

●Avanger Infinity War
Kama umeiangalia hii muvi hii utaona jinsi Thanos (Josh Brolin) akimwakilisha mpinga kristo alivyopunga population ya watu duniani baada ya kuzipata infinity stones. Kama mmesoma kitabu cha Ufunuo utaona ilitabiriwa kua siku ile yule mpinga kristo atakapokuja ndio kitakachotokea lakini pia ukiangalia wachezaji wa muvi ya Avangers wana Avangers tatoo ambazo zina All Seeing Eye (Eye of Osris) pia kuna pentagoni hapo na Kichwa cha yule mnyama..
Ipo hivii
Namba 6 ni moja kati ya namba 666 ambayo ni alama ya mnyama basi sasa Avangers waigizaji sita ambao ni Hulk (Mark Ruffalo) Captain America (Chris Evans ) Black widow (Scarlet Johnson) Iron Man (Robert Downey Jr) Thor (Chris Hamosworth) Hawkey (nimemsahau jina lake halisi) Lakini katika hao sita mmoja tu ambae ni Hulk ndio alikataa kuchora lakini tunamuhesabu kama hapa angechora. Namba 666 inatoka kwenye kitabu cha ufunuo 13:18 ambapo namba 13 ambayo ni namba ya kuzaliwa upya na 18 inawasilishwa kwa 6+6+6 ikiwakilisha degrees za vyama vingi vya siri kama Mason, , illuminatin etc
jionee..●Doctor Strange

Benedict Cumberbatch as Dr Stephen Strange.
Ukiangalia action za Mystic Art zinazotumika kwenye muvi ya Doctor Strange utona kuna viashiria vyote vya alama za Illuminati. Doctor Strange hua anavaa cheni ambayo inaitwa Eye of Aggamato ambayo kiuharisia ni jicho la linaloona yote (All Seeing Eye) la Osris. Ambalo ndio lile liko kwenye noti ya Dola.
Pia wakati muvi hoyo inazinduliwa aliulizwa anajisikiavipi kucheza nafasi hiyo katika studio kubwa za Marvel alijibu "… I’m excited to see where the
Illuminati and whatever else might happen, how that works, and where
it ends up. So, yeah, I’m aware of his place within the comic pantheon
of it all, the Marvelverse."
Eye of AggamatoUpande wangu niseme kweli hakuna muvi nazopenda kama hizi za Comics na number one fan supehero ni Doctor Strange but ukweli ndio uko hivo Hollywood iko chini ya illuminati na inatumia studio za Marvel kuwaandaa watu kiakili yanayokuja kutokea mbele huko ile siku ikifika.. nawaonea huruma madogo wadogo kama Tom Holland (spiderman) wanauza nafsi zao kwa shetani for the sake of money and Fame.Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
elimu inaanzia pale pale ulipoishia, ukiwa mvivu kujielimisha huwezi jua kuwa nawe ni miongoni mwa wafuasi wa shetani! NI HAYO TU NDUGU ZANGU!
 
Mtayarishaji

Mtayarishaji

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
301
Points
250
Mtayarishaji

Mtayarishaji

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
301 250
Ahsante.Hiyo Eye of Aggamato nitaipata wapi? ninaihitaji sana.
 
Mwamba028

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Messages
4,000
Points
2,000
Mwamba028

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2013
4,000 2,000
Ila Thanos miyeyusha sana aisee,, km ni kwel jamaa wa illuminati wana mpango wa kudiminate nafsi zetu mi naamini hawatoshinda,,tunazo nguvu kuzidi wao
 
shungurui

shungurui

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2008
Messages
3,298
Points
2,000
shungurui

shungurui

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2008
3,298 2,000
Tusiishi kama wanyama porini they don't care whether kuna mtego, hunters au predators as long wana survive wao inatosha lakini mwishowe wanafall kuwa victims, information is power itakusadia kufanya maamuzi sahihi, that's why bible and other books, wameandika kutuonya, ni lazima umjue adau yako na njinsi anafanya kazi ili uweze kujihamu, na ndio maana Yesu akatupa tahadhari mpaka kwa wale wanaovaa ngozi2ya kondoo kumbe ni simba.

Tutawajua kwa matendo yao, sasa usipochunguza matendo yao utawajua vipi, tena mpaka alama ya 666, tumepewa na tunaambiwa kwa akili zako tu za kibinadamu utawajua.
Kutatambua kuwepo kwa mtego haukuzuii kunaswa na mtego au kuwindwa na hunter.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kilwakivinje

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Messages
2,701
Points
2,000
kilwakivinje

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2014
2,701 2,000
Naomba nikueleze kidogi kama dondoo.
Wanaabudu sanamu, wanamwabudu mungu jua. Kama unabisha nipiem jioni nikiwa nyumbani hapa natumia sim siwezi weka data. Mi kiburi mpaka kwenye pc.
Msabato umekuja kuharibu uzi tayari dah
 
Cole Williams

Cole Williams

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2016
Messages
32,093
Points
2,000
Cole Williams

Cole Williams

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2016
32,093 2,000
Dogo unakuwa consumed na non realistic issues mpaka unaogopa na kuogopesha watu. Hizo symbols na hayo mambo ni imaginary tu wala hayana relevance kwenye dunia hii.

do not take everything so serious da vinci
Mimi pia siwaelewi wanaozingatia hizi bla bla lakini ndiyo binadamu tunatofautiana
 
kibhopile

kibhopile

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2010
Messages
1,458
Points
1,500
kibhopile

kibhopile

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2010
1,458 1,500
Unajua ni nini, sometimes kama kuna joto unachukua maji kwenye friji unakunywa au kama kuna baridi unavaa sweater then unatoka nje, unatembea kidogo u meet people u smile a little. For once in your life just try to do something that make your mind at easy. Ukifatilia kila kitu katika hii digital world hutaishi. Life is too short mengine acha yakupite tu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ArchAngel

ArchAngel

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2015
Messages
4,244
Points
2,000
ArchAngel

ArchAngel

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2015
4,244 2,000
Hollywood is satan's cradle.

Sent using Sukhoi Su-57
 

Forum statistics

Threads 1,343,069
Members 514,915
Posts 32,772,686
Top