Marvel studios chini ya Hollywood inawaandaa watu kisaikolojia juu ya ujio wa Mpinga Kristo

monde arabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Messages
5,241
Points
2,000

monde arabe

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2017
5,241 2,000
Nashukur sana Mkuu,kuna movie nilishawahi kuitazama miaka michache iliyopita kwenye movie hiyo muigizaji anakwenda kwa shetani kuomba utajiri na umaarufu,alitimiziwa mahtaji yake yote na shetani lkn alipigiwa mahesabu kwa muda atakaodumu ktk huo umaarufu na fedha zake kisha atakufa na atakapo kufa mwili wake utahfadhiwa na shetani mahali na viungo vya mwili vitatumika kwa matumizi mengine

Mwishoni,kila kitu kikawa kama vile walivyokubaliana na shetani...hiyo movie siikumbuki kwa jina!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dong yi

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2016
Messages
2,301
Points
2,000

dong yi

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2016
2,301 2,000
mnadhan ishu ya mpinga Kristo iko simple hivyo???........

hao wote kama watakuepo wkt wa utawala wa mpinga Kristo watapitia shuruba zile zile ambazo binadamu wengine watapitia!.......

kifupi, hakuna mwanadamu atakaepona kutokana na mikono ya huyo mpinga Kristo,...........

someni Ufunuo imeelezea kwa uwazi kabisa, kwamba jamaa atawaumiza wengi ndipo watu wataanza kumkubali!, sio eti kisa una chata yake ndio utapona masahibu yake!
 
Denvers

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
22,287
Points
2,000

Denvers

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
22,287 2,000
Unajua ni nini, sometimes kama kuna joto unachukua maji kwenye friji unakunywa au kama kuna baridi unavaa sweater then unatoka nje, unatembea kidogo u meet people u smile a little. For once in your life just try to do something that make your mind at easy. Ukifatilia kila kitu katika hii digital world hutaishi. Life is too short mengine acha yakupite tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Biblia inasema angalieni na kesheni
 
Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
14,813
Points
2,000

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
14,813 2,000
Joined
Jan 27, 2018
Messages
30
Points
95
Joined Jan 27, 2018
30 95
Salute..

Kwa wale wapenzi wa muvi zinazotengenezwa na studio za Marvel. Marvel ipo chini ya rais wake Kevin Fiege ambae nae ni Illuminati Freemason mwenye 33 Degrees mtakubaliana na mm hili naloandika. Hasa kama umefuatilia filamu za Avangers .. toka Avangers Assemble hadi Infinity war mwaka kesho pia Ikitoka Avangers Endgame.

Hapa nitazungumzia muvi mbili ya Doctor Strange na Avangers infinity war.

●Avanger Infinity War
Kama umeiangalia hii muvi hii utaona jinsi Thanos (Josh Brolin) akimwakilisha mpinga kristo alivyopunga population ya watu duniani baada ya kuzipata infinity stones. Kama mmesoma kitabu cha Ufunuo utaona ilitabiriwa kua siku ile yule mpinga kristo atakapokuja ndio kitakachotokea lakini pia ukiangalia wachezaji wa muvi ya Avangers wana Avangers tatoo ambazo zina All Seeing Eye (Eye of Osris) pia kuna pentagoni hapo na Kichwa cha yule mnyama..
Ipo hivii
Namba 6 ni moja kati ya namba 666 ambayo ni alama ya mnyama basi sasa Avangers waigizaji sita ambao ni Hulk (Mark Ruffalo) Captain America (Chris Evans ) Black widow (Scarlet Johnson) Iron Man (Robert Downey Jr) Thor (Chris Hamosworth) Hawkey (nimemsahau jina lake halisi) Lakini katika hao sita mmoja tu ambae ni Hulk ndio alikataa kuchora lakini tunamuhesabu kama hapa angechora. Namba 666 inatoka kwenye kitabu cha ufunuo 13:18 ambapo namba 13 ambayo ni namba ya kuzaliwa upya na 18 inawasilishwa kwa 6+6+6 ikiwakilisha degrees za vyama vingi vya siri kama Mason, , illuminatin etc
jionee..●Doctor Strange

Benedict Cumberbatch as Dr Stephen Strange.
Ukiangalia action za Mystic Art zinazotumika kwenye muvi ya Doctor Strange utona kuna viashiria vyote vya alama za Illuminati. Doctor Strange hua anavaa cheni ambayo inaitwa Eye of Aggamato ambayo kiuharisia ni jicho la linaloona yote (All Seeing Eye) la Osris. Ambalo ndio lile liko kwenye noti ya Dola.
Pia wakati muvi hoyo inazinduliwa aliulizwa anajisikiavipi kucheza nafasi hiyo katika studio kubwa za Marvel alijibu "… I’m excited to see where the
Illuminati and whatever else might happen, how that works, and where
it ends up. So, yeah, I’m aware of his place within the comic pantheon
of it all, the Marvelverse."
Eye of AggamatoUpande wangu niseme kweli hakuna muvi nazopenda kama hizi za Comics na number one fan supehero ni Doctor Strange but ukweli ndio uko hivo Hollywood iko chini ya illuminati na inatumia studio za Marvel kuwaandaa watu kiakili yanayokuja kutokea mbele huko ile siku ikifika.. nawaonea huruma madogo wadogo kama Tom Holland (spiderman) wanauza nafsi zao kwa shetani for the sake of money and Fame.Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
yan katka vtu vinavyonichanganya mpk Leo hii n ukwel halis kuhusu hawa wanajiita Freemason illuminati coz kila mtu ninaye muuliza au anayeleta mada hua anawazungumzia hawa jamaa kwa njia yake..
lkn najiulzaga hivi hawa n nan haswa??!
lengo lao n nn??
wanahusika na kaz gan??! na maswal mengne meng
so kama unaelewa zaid kuhusu hawa jamaa utuelezee zaid kwa proof.IVO TU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BenKaile

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Messages
389
Points
500

BenKaile

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2014
389 500
THANK YOU FOR YOUR N
Salute..

Kwa wale wapenzi wa muvi zinazotengenezwa na studio za Marvel. Marvel ipo chini ya rais wake Kevin Fiege ambae nae ni Illuminati Freemason mwenye 33 Degrees mtakubaliana na mm hili naloandika. Hasa kama umefuatilia filamu za Avangers .. toka Avangers Assemble hadi Infinity war mwaka kesho pia Ikitoka Avangers Endgame.

Hapa nitazungumzia muvi mbili ya Doctor Strange na Avangers infinity war.

●Avanger Infinity War
Kama umeiangalia hii muvi hii utaona jinsi Thanos (Josh Brolin) akimwakilisha mpinga kristo alivyopunga population ya watu duniani baada ya kuzipata infinity stones. Kama mmesoma kitabu cha Ufunuo utaona ilitabiriwa kua siku ile yule mpinga kristo atakapokuja ndio kitakachotokea lakini pia ukiangalia wachezaji wa muvi ya Avangers wana Avangers tatoo ambazo zina All Seeing Eye (Eye of Osris) pia kuna pentagoni hapo na Kichwa cha yule mnyama..
Ipo hivii
Namba 6 ni moja kati ya namba 666 ambayo ni alama ya mnyama basi sasa Avangers waigizaji sita ambao ni Hulk (Mark Ruffalo) Captain America (Chris Evans ) Black widow (Scarlet Johnson) Iron Man (Robert Downey Jr) Thor (Chris Hamosworth) Hawkey (nimemsahau jina lake halisi) Lakini katika hao sita mmoja tu ambae ni Hulk ndio alikataa kuchora lakini tunamuhesabu kama hapa angechora. Namba 666 inatoka kwenye kitabu cha ufunuo 13:18 ambapo namba 13 ambayo ni namba ya kuzaliwa upya na 18 inawasilishwa kwa 6+6+6 ikiwakilisha degrees za vyama vingi vya siri kama Mason, , illuminatin etc
jionee..●Doctor Strange

Benedict Cumberbatch as Dr Stephen Strange.
Ukiangalia action za Mystic Art zinazotumika kwenye muvi ya Doctor Strange utona kuna viashiria vyote vya alama za Illuminati. Doctor Strange hua anavaa cheni ambayo inaitwa Eye of Aggamato ambayo kiuharisia ni jicho la linaloona yote (All Seeing Eye) la Osris. Ambalo ndio lile liko kwenye noti ya Dola.
Pia wakati muvi hoyo inazinduliwa aliulizwa anajisikiavipi kucheza nafasi hiyo katika studio kubwa za Marvel alijibu "… I’m excited to see where the
Illuminati and whatever else might happen, how that works, and where
it ends up. So, yeah, I’m aware of his place within the comic pantheon
of it all, the Marvelverse."
Eye of AggamatoUpande wangu niseme kweli hakuna muvi nazopenda kama hizi za Comics na number one fan supehero ni Doctor Strange but ukweli ndio uko hivo Hollywood iko chini ya illuminati na inatumia studio za Marvel kuwaandaa watu kiakili yanayokuja kutokea mbele huko ile siku ikifika.. nawaonea huruma madogo wadogo kama Tom Holland (spiderman) wanauza nafsi zao kwa shetani for the sake of money and Fame.Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
THANK YOU FOR YOUR NARRATIVES. BUT IT'S TOTAL NUISANCE.
 
Forum statistics

Threads 1,344,954
Members 516,083
Posts 32,840,863
Top