Marvel studios chini ya Hollywood inawaandaa watu kisaikolojia juu ya ujio wa Mpinga Kristo

3ffe6c0f8e244a845b62df5805230907.jpg


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
:confused:
 
na kitu cha Avengers: Endgame kipo kwa njia, by April ivi CAM version itakua kwa hewa
 
Yes haya makito na cartoon the the simpsons zimejaa ushetani ushetani, ila mimi haya makitu ya u super hero sijawahi yapenda toka niwe mtu mzima mwenye miaka 18.
Ila ukifuatilia kila movie ina ushetani hata into the badlands yani hakuna pa kukimbilia mimi naendelea tazama tu into the badlands na the game of thrones
Game of throne inatoka lin.....?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini bado unaenda kuwachangia kwa kununua au kwenda theathre kuangalia hizo mov zenye maadili ya kishetani.
 
Hapo watu wanaweza kukuelewa maana watu hua wanadhani kua marvel hulala ba kuamka kisha wanatuletea hizi muvi. Sio wajinga wanajua wanachofanya.. mfano mashindano ya Olympic watu wanazani yalitokea tuuuu

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Do not underestimate nguvu kubwa iliyopo kwenye movie industries, nakumbuka mambo (hasa tecknologia) niliyokua nayaona kwenye movie za miaka ya 80 na 90 Leo hii yapo dhahiri kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Do not underestimate nguvu kubwa iliyopo kwenye movie industries, nakumbuka mambo (hasa tecknologia) niliyokua nayaona kwenye movie za miaka ya 80 na 90 Leo hii yapo dhahiri kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa kuliona hilo nadhani uzi huu utaushi hata baada ya miaka 10 ijayo.. Mambo yatakua wazi

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom