Marufuku: Tabia zifuatazo kwa mwaka 2024

Kwa mamlaka niliyojipa ninapiga marufuku tabia zifuatazo kwa mwaka 2024;
1. Kufungua threads za kuwasimanga single mothers.

2. Kukopa ovyo bila mpangilio na mwisho wa siku kujikuta kwenye matatizo yasiyo ya lazima. Waalimu wengi mzingatie sana hili.

3. Wanawake kuwapa kipaumbele viongozi wenu wa kiroho kuliko waume zenu. Huu upumbavu sitaki kuuona wala kusikia kwa 2024. Kama una baba wa kiroho acha mara moja.

4. Kwenda kula vinono migahawani huku nyumbani kwako wakishindia dagaa. Wanao na mke pia wanapenda zile chapati mbili na supu ya mbuzi. Hakikisha na wao wanakula unachokula wewe. Pumbav sana.

5. Kuishi kistaa mijini huku kijijini kwenu wazazi wakiwa wanaishi kifukara kwenye mbavu za mbwa. Unajisikiaje kuishi pazuri ukisukuma ndinga kali town huku familia yako ikiishi kifukara? Huu upumbavu mwishi ilikuwa 2023.

6. Kuendekeza mambo yasiyokuongezea thamani kwa mwaka mzima kama vile kufuatilia sana mechi za mpira. Fuatilia mambo ya burudani ila jiongezee thamani. Kama mhasibu huna CPA fanya uitafute mwaka huu. Wale wa IT kuna zile professional certifications pambaneni mzipate.

7. Wale mnaouza utu na kutojali maadili kisa pesa muache mara moja. Kibaya zaidi akijitokeza mtu kukemea na kukosoa upuuzi mnadhihaki kwa kumwambia "Acha makasiriko tafuta hela"... acheni kuabudu pesa kwa mwaka 2024.

Ongeza tabia nyingine unayoona haifai kuwepo kwa mwaka huu.
Marufuku baadhi ya maofisa wa serikali kula haki za watumishi wa serikali kama vile pesa za likizo, matibabu,uhamisho kutaka rushwa ili utoe huduma.
 
Kuna mtu namdai hela nyingi sana aisee,, nilijisemea moyoni nimemsamehe maana hadi leo ni mwaka wa pili umeingia na hana mpango wa kunipa..Lakini kila nikionana nae naumia na sina chakumfanya kwasababu ni mtu wangu wa karibu sana
Some people are so heartless… ukaribu wenu sio wa kuhalalisha utapeli, maana mtu anakuzungusha mpk unaanza kuona hana tofauti na tapeli.
Unatamani siku zirudi nyuma ili usahishe kosa la kumuamini.
 
Kwakweli sijawahi kum-entertain mtu kwenye hela yangu nikiwa namdai.. Tatizo huyu ni ndugu nashindwa kumfanyia kitu kibaya nisije kusemwa na ukoo mzima.,, Yaani naona likizo haiishi waondoke nibaki na amani moyoni
 
watu wanafunza wenzao tabia mbaya, mtu ukibadilika waanze kushangaa kwanini umebadilika.

Tena bora mdaiwa usiwe unamuona, ukimuona ndo kisukari kinapanda.
Mungu atutetee watulipe tu tuachane kwa amani.
 
Sema pia watu wengine kwenye kudai huwa wanajitoa ufahamu na kujifanya wendawazimu. Nilimkopa mtu kama 15m kwa riba ya 20% nikaanza kumlipa kila mwezi 3m lengo nimlipe kwa 6 months ila bahati mbaya sana ilipofika mwezi wa 4 kukatokea ugumu kwenye biashara nikawa nimechelewesha sehemu ya rejesho kama wiki. Kabla jamaa hajaanza kunipigia nikaona acha nimwahi kumpigia na kumweleza hali halisi ili tuone kama tunaweza kubaliana upya kuhusu kiwango cha urejeshaji. Ile kuanza tu kujieleza jamaa akaniambia yeye hajali lolote kuhusu mkwamo wangu wa biashara anachotaka ni hela yake na hataki maelezo yoyote. Nikakata simu na kujiambia hii sasa ni vita.. mtu nina hela yake na hataki kunisikiliza LAZIMA AJUTIE. Na hadi muda huo nilisharejesha 10m. Nikaamua kukausha na kupambana biashara ikae sawa ndo nirudi tena..... kulitokea vitisho vikali sana kwa miezi kadhaa ila baadae jamaa akajishusha tukaongea na kukubaliana kiasi cha kulipa. Baada ya kumaliza lile deni nimejiambia sitaki tena mikopo ya watu binafsi wala hizi taasisi ambazo sio benki.
 
Bora nyie maanake mliandikishana na mlipeana terms kabisa namna ya kumlipa, hiyo hata mtu akizingua rahisi hata kuchukuliana hatua,,, nimejifunza kitu hapa
 
Kwa mamlaka niliyojipa ninapiga marufuku tabia zifuatazo kwa mwaka 2024;
1. Kufungua threads za kuwasimanga single mothers.

2. Kukopa ovyo bila mpangilio na mwisho wa siku kujikuta kwenye matatizo yasiyo ya lazima. Waalimu wengi mzingatie sana hili.

3. Wanawake kuwapa kipaumbele viongozi wenu wa kiroho kuliko waume zenu. Huu upumbavu sitaki kuuona wala kusikia kwa 2024. Kama una baba wa kiroho acha mara moja.

4. Kwenda kula vinono migahawani huku nyumbani kwako wakishindia dagaa. Wanao na mke pia wanapenda zile chapati mbili na supu ya mbuzi. Hakikisha na wao wanakula unachokula wewe. Pumbav sana.

5. Kuishi kistaa mijini huku kijijini kwenu wazazi wakiwa wanaishi kifukara kwenye mbavu za mbwa. Unajisikiaje kuishi pazuri ukisukuma ndinga kali town huku familia yako ikiishi kifukara? Huu upumbavu mwishi ilikuwa 2023.

6. Kuendekeza mambo yasiyokuongezea thamani kwa mwaka mzima kama vile kufuatilia sana mechi za mpira. Fuatilia mambo ya burudani ila jiongezee thamani. Kama mhasibu huna CPA fanya uitafute mwaka huu. Wale wa IT kuna zile professional certifications pambaneni mzipate.

7. Wale mnaouza utu na kutojali maadili kisa pesa muache mara moja. Kibaya zaidi akijitokeza mtu kukemea na kukosoa upuuzi mnadhihaki kwa kumwambia "Acha makasiriko tafuta hela"... acheni kuabudu pesa kwa mwaka 2024.

Ongeza tabia nyingine unayoona haifai kuwepo kwa mwaka huu.
Afadhali hujataja ulozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Kufungua threads za kuwasimanga single mothers.
🤔🤔🤔
 
Sema pia watu wengine kwenye kudai huwa wanajitoa ufahamu na kujifanya wendawazimu. Nilimkopa mtu kama 15m kwa riba ya 20% nikaanza kumlipa kila mwezi 3m lengo nimlipe kwa 6 months ila bahati mbaya sana ilipofika mwezi wa 4 kukatokea ugumu kwenye biashara nikawa nimechelewesha sehemu ya rejesho kama wiki. Kabla jamaa hajaanza kunipigia nikaona acha nimwahi kumpigia na kumweleza hali halisi ili tuone kama tunaweza kubaliana upya kuhusu kiwango cha urejeshaji. Ile kuanza tu kujieleza jamaa akaniambia yeye hajali lolote kuhusu mkwamo wangu wa biashara anachotaka ni hela yake na hataki maelezo yoyote. Nikakata simu na kujiambia hii sasa ni vita.. mtu nina hela yake na hataki kunisikiliza LAZIMA AJUTIE. Na hadi muda huo nilisharejesha 10m. Nikaamua kukausha na kupambana biashara ikae sawa ndo nirudi tena..... kulitokea vitisho vikali sana kwa miezi kadhaa ila baadae jamaa akajishusha tukaongea na kukubaliana kiasi cha kulipa. Baada ya kumaliza lile deni nimejiambia sitaki tena mikopo ya watu binafsi wala hizi taasisi ambazo sio benki.
Ngoja nilisemee kama mdai pia. Kuna kukwama yes, lakini kuna mikwamo mtu ukiicheck vizuri unaona kama umefanyiwa dharau., mtu kakuchukulia unazo za kugawa.

Mpk ulikopeshwa 15M means huyo mtu ni top level. Afu mpaka na riba ya 20% means huyo mtu ni anafanya biashara.

Lakini pia katika hayo, ye mwenyewe anakuwa na mambo yake, mlikubaliana tar fulani, unakuta na yeye ana plan ile tar afanye yake. Wewe ikifika hiyo tar umbadilishie malengo, mkuu inakwaza kinoma noma.

wanasema kopesha kiasi unachoweza samehe’ sio fair hii. mm na ww ni washkaji, unakuja kunieleza yanayokusibu. Nafunga macho nakuamini, hujui nilidokoa saving ya wapi nikakusaidia afu uje ulete stori kwenye kurudisha? Inakata haina maelezo
 
Kama hujui kuna kukwama usikopeshe. Very simple. Watu wengine huwa mnatengeneza wenyewe mazingira ya kudhulumiwa. Kukimbilia kuona unadharauliwa ni kutojiamini. Sio watu wote wanapenda dhuluma ila wanalazimika kutokana na udhalilishaji kisa mtu unamdai.
 
Back
Top Bottom