Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,503
- 145,905
Kwa hesabu za fasta kuna pepo anakunyemelea. Pepo za zinaa.
Usikubali kuwa bored kwenye ndoa yako hun. Usikubali mazoea na mume wako.
Do fun things, go on vacays leave the kids behind. Start a project earn more money....
The thing is tumezoeshwa eti sisi wanawake wa Kiafrika hatuwezi chukua time alone tukajitoa out tukaenda vacations alone. That by itself is very boring.
Choose to be happy.
Kama anaakili atakuelewa ...lkn km ndo hawa wanaoolewa kisa waonekane wanaishi na mwanaume Hawezi kukuelewa.Kwa hesabu za fasta kuna pepo anakunyemelea. Pepo za zinaa.
Usikubali kuwa bored kwenye ndoa yako hun. Usikubali mazoea na mume wako.
Do fun things, go on vacays leave the kids behind. Start a project earn more money....
The thing is tumezoeshwa eti sisi wanawake wa Kiafrika hatuwezi chukua time alone tukajitoa out tukaenda vacations alone. That by itself is very boring.
Choose to be happy.
Kama anaakili atakuelewa ...lkn km ndo hawa wanaoolewa kisa waonekane wanaishi na mwanaume Hawezi kukuelewa.
Kama nyinyi ndo mlipaswa muijaze dunia yetu.
*I shall kindly Knee to leave my Pride*
Umeniacha na wakat mgumu wa kuelewa ulichokiandika.Kindly read #10, any who there's a lot that goes into a marriage, its not as easy or rosey or as black and white as it seems but it can also be beautiful friendship/love/union when you got each other's back and be each other's shoulder and support system coz Life happens and interferes my friend.
Good you have spoken mkuuKindly read #10, any who there's a lot that goes into a marriage, its not as easy or rosey or as black and white as it seems but it can also be beautiful friendship/love/union when you got each other's back and be each other's shoulder and support system coz Life happens and interferes my friend.
Umeniacha na wakat mgumu wa kuelewa ulichokiandika.
Nmejaribu kusoma post zako za nyuma. Nikagundua pia "Unaendeshwa na Sex sanaaaa "..... Sasa ukichanganya nahaya mawazo yako ya kuhoji, " inawezekana vipi kusex na mtu mmoja maisha yako yote"....
Mchana mwema aseee.
*I shall kindly Knee to leave my Pride*
miminimkulimaakachekasananimecheka sana! don't worry much about me, am in my zone and living it, don't try to understand me am a complicated human....am still figuring me out, maybe my age allows me kuendeshwa na sex sana....question is can you?....10.15, 20 yrs into a marriage? hilo jibu baki nalo mwenyewe.
Sema ndo ivo endelea kula vitu vitamu buaaananimecheka sana! don't worry much about me, am in my zone and living it, don't try to understand me am a complicated human....am still figuring me out, maybe my age allows me kuendeshwa na sex sana....question is can you?....10.15, 20 yrs into a marriage? hilo jibu baki nalo mwenyewe.
Ndio Maana Nachelea Kuoa, Nikifikiria Ya Kulala Na Kuamka Na Mtu Maisha Yako Yote, Mi Miezi tu, Namuona wa Kawaida, Hata kama Alikua Mzuri Vipi!1. kuna siku zingine nakuwa nimechoka akili, mwili na nafsi afu anataka mechi! fake orgasm amalize nilale anafurahi kwakweli, mi nawaza kulala tu
2. kuna siku zingine sijisikii kwenda ukweni japokuwa hawajawahi kunitendea ubaya wowote anahisi siwapendi ila napenda kukaa tu mwenyewe (me time)
3. i think boobs are awesome...no...am not a lez ila Mungu kaumba bwana
4. kuna wakati nilihisi simpendi mme wangu ila nikagundua nampenda sana
5. ila ndoa ina kazi, embu fikiria having sex na mtu mmoja tu maisha yako yote, yooooote!
6. natamani ningekuwa na mahusiano mengi kidogo kabla sijaolewa labda nisingekuwa na akili chafu kama hii (hihihi)
7. i have a dirty mind... nilijaribu kumwambia kuwa nimeboreka try something new in the bedroom ati he want to treat me like a queen...ah sikatai but i be a lady in the street and a freak in the...nigga sez no! ngachoka...
8. naipenda familia yangu sanaaa, ila sometimes nachoka kuwa mtafutaji/mama/mke/majukumu najua naonekana kama sina shukrani ila nahitaji kupumua, recharge ili akili yangu ikae sawa, mambo yaende, natamani niende kokote mbali na mji hata nusu siku nile, nilale....exhale...mwenyewe
9. sometimes natamani a cheat and watch... afu kuna kadem kanamnyemelea...
10. sina tatizo kuvaa majukumu yake akiwa anaseti mitambo yake, najawa na furaha kuona kila kitu kinaenda sawa nyumbani japokuwa inamkwaza kama mwanaume, nampa moyo all will be well, na sina tatizo kutimizia hayo, nikifikiria alivojinyma kwa ajili ya familia, ni theluthi tu, ila loh cha moto nakiona kumbe ni stressful hivi? nawauliza nyie wanaume, hii ndio sababu inawafanya mkae bar mnywe mlewe mrudi mlale? au uwe na mchepuko wa kupunguza msongo wa mawazo? khaaa! maana kuna siku zingine sitamani kurudi nyumbani....hela inatoka kama maji na vile napenda pesa kuliko mangi!
haya...plz endeleza ungamo lako na wewe hapo chini....najua mnayo mengi
afu mawe yenu mnayonirushiaga walaaaa this is me exhaling...at least....
Jukumu lake sio kucheat nikumuonesha mkeo kwamba unaviziwa na wanawake wengine ni mhm sana hicho kitu...Aisee, Mimi nadhani ni kawaida kujisikia hivyo.Hata Mimi huwa nahisi bora ningekuwa mzinzi sana kabla ya kuoa.Cha msingi usivuke mipaka.
Sidhani kama wife huwa anatamani nitoke nje ya ndoa,maana akihisi tu kuwa nina mawasiliano yasiyo ya kawaida na jinsia ke huwa moto wake ni mkubwa.
Kumbatia ndoa hiyo,nje kuna majuto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Across the border.Swafi kabisa.
Umepotelea wapi?
Across the border.
its not as easy to vacay when you're a mom and working, i have 3 projects on the side, a job and a family. But yes, its important to destress. I will do so. nilikuwaga sijali sana macho ya watu ila sijui imekuwaje siku izi, i don't have a problem kwenda capetown fish market kukaa mwenyewe kunywa cocktail yangu as the sun sets ila naambiwa nitaonekana kama emeenda kudanga! while honestly i just want some peaceful time to myself!