Marriage Confessions.....ungamo la kweli...

Kwa hesabu za fasta kuna pepo anakunyemelea. Pepo za zinaa.

Usikubali kuwa bored kwenye ndoa yako hun. Usikubali mazoea na mume wako.

Do fun things, go on vacays leave the kids behind. Start a project earn more money....

The thing is tumezoeshwa eti sisi wanawake wa Kiafrika hatuwezi chukua time alone tukajitoa out tukaenda vacations alone. That by itself is very boring.

Choose to be happy.
Choose to be happy..bonge la ushauri asichojua ni furaha yake alii attach na ndoa na kosa ni lake mwenyewe, ajifunze kuwa happy alone akiweza atakuwa na furaha akiwa na mpenzi wake na apunguze mawazo ya ngono [emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sali sana mkuu shetani huyo anakunyemelea

Sent from my TECNO CA7 using Tapatalk
 
Am due any time.... Am out of my bed room for a while.... Eti anatamani hivohivo kisa ni ya motooo!!! Hajui tu natamani IWE once per week.
Once per week?

Did i marry a nun?

Kumbe ndio yaliyomo huko ndani ya ndoa?

I'm scared.

Mnatuogopesha kuingia huko!

- KANA -
 
1. kuna siku zingine nakuwa nimechoka akili, mwili na nafsi afu anataka mechi! fake orgasm amalize nilale anafurahi kwakweli, mi nawaza kulala tu

2. kuna siku zingine sijisikii kwenda ukweni japokuwa hawajawahi kunitendea ubaya wowote anahisi siwapendi ila napenda kukaa tu mwenyewe (me time)

3. i think boobs are awesome...no...am not a lez ila Mungu kaumba bwana

4. kuna wakati nilihisi simpendi mme wangu ila nikagundua nampenda sana

5. ila ndoa ina kazi, embu fikiria having sex na mtu mmoja tu maisha yako yote, yooooote!

6. natamani ningekuwa na mahusiano mengi kidogo kabla sijaolewa labda nisingekuwa na akili chafu kama hii (hihihi)

7. i have a dirty mind... nilijaribu kumwambia kuwa nimeboreka try something new in the bedroom ati he want to treat me like a queen...ah sikatai but i be a lady in the street and a freak in the...nigga sez no! ngachoka...

8. naipenda familia yangu sanaaa, ila sometimes nachoka kuwa mtafutaji/mama/mke/majukumu najua naonekana kama sina shukrani ila nahitaji kupumua, recharge ili akili yangu ikae sawa, mambo yaende, natamani niende kokote mbali na mji hata nusu siku nile, nilale....exhale...mwenyewe

9. sometimes natamani a cheat and watch... afu kuna kadem kanamnyemelea...

10. sina tatizo kuvaa majukumu yake akiwa anaseti mitambo yake, najawa na furaha kuona kila kitu kinaenda sawa nyumbani japokuwa inamkwaza kama mwanaume, nampa moyo all will be well, na sina tatizo kutimizia hayo, nikifikiria alivojinyma kwa ajili ya familia, ni theluthi tu, ila loh cha moto nakiona kumbe ni stressful hivi? nawauliza nyie wanaume, hii ndio sababu inawafanya mkae bar mnywe mlewe mrudi mlale? au uwe na mchepuko wa kupunguza msongo wa mawazo? khaaa! maana kuna siku zingine sitamani kurudi nyumbani....hela inatoka kama maji na vile napenda pesa kuliko mangi!

haya...plz endeleza ungamo lako na wewe hapo chini....najua mnayo mengi

afu mawe yenu mnayonirushiaga walaaaa this is me exhaling...at least....
You have a funny way of expressing your self. Unausemea moyo, which is good.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni dawa, si ndio. i vomit my thoughts sometimes, lands me in hot waters...sometimes.
Don't vomit anywhere. Have some reservations.

Tungekuwa tunasema kila kitu tunachofikiria kwenye vichwa na mioyo yetu, hii dunia isingekalika.

Ungemsikia baba na mama wakisema, ni bora tungefanya abortion kuliko kumzaa. [emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. kuna siku zingine nakuwa nimechoka akili, mwili na nafsi afu anataka mechi! fake orgasm amalize nilale anafurahi kwakweli, mi nawaza kulala tu

2. kuna siku zingine sijisikii kwenda ukweni japokuwa hawajawahi kunitendea ubaya wowote anahisi siwapendi ila napenda kukaa tu mwenyewe (me time)

3. i think boobs are awesome...no...am not a lez ila Mungu kaumba bwana

4. kuna wakati nilihisi simpendi mme wangu ila nikagundua nampenda sana

5. ila ndoa ina kazi, embu fikiria having sex na mtu mmoja tu maisha yako yote, yooooote!

6. natamani ningekuwa na mahusiano mengi kidogo kabla sijaolewa labda nisingekuwa na akili chafu kama hii (hihihi)

7. i have a dirty mind... nilijaribu kumwambia kuwa nimeboreka try something new in the bedroom ati he want to treat me like a queen...ah sikatai but i be a lady in the street and a freak in the...nigga sez no! ngachoka...

8. naipenda familia yangu sanaaa, ila sometimes nachoka kuwa mtafutaji/mama/mke/majukumu najua naonekana kama sina shukrani ila nahitaji kupumua, recharge ili akili yangu ikae sawa, mambo yaende, natamani niende kokote mbali na mji hata nusu siku nile, nilale....exhale...mwenyewe

9. sometimes natamani a cheat and watch... afu kuna kadem kanamnyemelea...

10. sina tatizo kuvaa majukumu yake akiwa anaseti mitambo yake, najawa na furaha kuona kila kitu kinaenda sawa nyumbani japokuwa inamkwaza kama mwanaume, nampa moyo all will be well, na sina tatizo kutimizia hayo, nikifikiria alivojinyma kwa ajili ya familia, ni theluthi tu, ila loh cha moto nakiona kumbe ni stressful hivi? nawauliza nyie wanaume, hii ndio sababu inawafanya mkae bar mnywe mlewe mrudi mlale? au uwe na mchepuko wa kupunguza msongo wa mawazo? khaaa! maana kuna siku zingine sitamani kurudi nyumbani....hela inatoka kama maji na vile napenda pesa kuliko mangi!

haya...plz endeleza ungamo lako na wewe hapo chini....najua mnayo mengi

afu mawe yenu mnayonirushiaga walaaaa this is me exhaling...at least....
Fursa hii ngoja nije
 
umetiririka mpaka baaas.......hilo ndio tatizo la kuitunza bikra..........fanya yako yooooote...ukiingia ndani tulia na myajenge kwa faida ya vizazi vyenu.
 
Back
Top Bottom