Marriage Confessions.....ungamo la kweli...

Curvyminx

Senior Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
194
Reaction score
262
1. kuna siku zingine nakuwa nimechoka akili, mwili na nafsi afu anataka mechi! fake orgasm amalize nilale anafurahi kwakweli, mi nawaza kulala tu

2. kuna siku zingine sijisikii kwenda ukweni japokuwa hawajawahi kunitendea ubaya wowote anahisi siwapendi ila napenda kukaa tu mwenyewe (me time)

3. i think boobs are awesome...no...am not a lez ila Mungu kaumba bwana

4. kuna wakati nilihisi simpendi mme wangu ila nikagundua nampenda sana

5. ila ndoa ina kazi, embu fikiria having sex na mtu mmoja tu maisha yako yote, yooooote!

6. natamani ningekuwa na mahusiano mengi kidogo kabla sijaolewa labda nisingekuwa na akili chafu kama hii (hihihi)

7. i have a dirty mind... nilijaribu kumwambia kuwa nimeboreka try something new in the bedroom ati he want to treat me like a queen...ah sikatai but i be a lady in the street and a freak in the...nigga sez no! ngachoka...

8. naipenda familia yangu sanaaa, ila sometimes nachoka kuwa mtafutaji/mama/mke/majukumu najua naonekana kama sina shukrani ila nahitaji kupumua, recharge ili akili yangu ikae sawa, mambo yaende, natamani niende kokote mbali na mji hata nusu siku nile, nilale....exhale...mwenyewe

9. sometimes natamani a cheat and watch... afu kuna kadem kanamnyemelea...

10. sina tatizo kuvaa majukumu yake akiwa anaseti mitambo yake, najawa na furaha kuona kila kitu kinaenda sawa nyumbani japokuwa inamkwaza kama mwanaume, nampa moyo all will be well, na sina tatizo kutimizia hayo, nikifikiria alivojinyma kwa ajili ya familia, ni theluthi tu, ila loh cha moto nakiona kumbe ni stressful hivi? nawauliza nyie wanaume, hii ndio sababu inawafanya mkae bar mnywe mlewe mrudi mlale? au uwe na mchepuko wa kupunguza msongo wa mawazo? khaaa! maana kuna siku zingine sitamani kurudi nyumbani....hela inatoka kama maji na vile napenda pesa kuliko mangi!

haya...plz endeleza ungamo lako na wewe hapo chini....najua mnayo mengi

afu mawe yenu mnayonirushiaga walaaaa this is me exhaling...at least....
 
This is for those who are in marriage, ok [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Aisee, Mimi nadhani ni kawaida kujisikia hivyo.Hata Mimi huwa nahisi bora ningekuwa mzinzi sana kabla ya kuoa.Cha msingi usivuke mipaka.
Sidhani kama wife huwa anatamani nitoke nje ya ndoa,maana akihisi tu kuwa nina mawasiliano yasiyo ya kawaida na jinsia ke huwa moto wake ni mkubwa.
Kumbatia ndoa hiyo,nje kuna majuto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Am due any time.... Am out of my bed room for a while.... Eti anatamani hivohivo kisa ni ya motooo!!! Hajui tu natamani IWE once per week.
 
Mie hiyo Hali iliisha baada ya kugundua ameachana na mzazi mwenzie for good!

mwanzoni niliwaza Huyu kanitolea bikra yangu bureee.. Bora nisingejitunza ila kwa sasa No more regrets.

ila jamani from the bottom of my heart may Lord bless all women with real love to their families...
 
1. kuna siku zingine nakuwa nimechoka akili, mwili na nafsi afu anataka mechi! fake orgasm amalize nilale anafurahi kwakweli, mi nawaza kulala tu

2. kuna siku zingine sijisikii kwenda ukweni japokuwa hawajawahi kunitendea ubaya wowote anahisi siwapendi ila napenda kukaa tu mwenyewe (me time)

3. i think boobs are awesome...no...am not a lez ila Mungu kaumba bwana

4. kuna wakati nilihisi simpendi mme wangu ila nikagundua nampenda sana

5. ila ndoa ina kazi, embu fikiria having sex na mtu mmoja tu maisha yako yote, yooooote!

6. natamani ningekuwa na mahusiano mengi kidogo kabla sijaolewa labda nisingekuwa na akili chafu kama hii (hihihi)

7. i have a dirty mind... nilijaribu kumwambia kuwa nimeboreka try something new in the bedroom ati he want to treat me like a queen...ah sikatai but i be a lady in the street and a freak in the...nigga sez no! ngachoka...

8. naipenda familia yangu sanaaa, ila sometimes nachoka kuwa mtafutaji/mama/mke/majukumu najua naonekana kama sina shukrani ila nahitaji kupumua, recharge ili akili yangu ikae sawa, mambo yaende, natamani niende kokote mbali na mji hata nusu siku nile, nilale....exhale...mwenyewe

9. sometimes natamani a cheat and watch... afu kuna kadem kanamnyemelea...

10. sina tatizo kuvaa majukumu yake akiwa anaseti mitambo yake, najawa na furaha kuona kila kitu kinaenda sawa nyumbani japokuwa inamkwaza kama mwanaume, nampa moyo all will be well, na sina tatizo kutimizia hayo, nikifikiria alivojinyma kwa ajili ya familia, ni theluthi tu, ila loh cha moto nakiona kumbe ni stressful hivi? nawauliza nyie wanaume, hii ndio sababu inawafanya mkae bar mnywe mlewe mrudi mlale? au uwe na mchepuko wa kupunguza msongo wa mawazo? khaaa! maana kuna siku zingine sitamani kurudi nyumbani....hela inatoka kama maji na vile napenda pesa kuliko mangi!

haya...plz endeleza ungamo lako na wewe hapo chini....najua mnayo mengi

afu mawe yenu mnayonirushiaga walaaaa this is me exhaling...at least....
Utakuwa Mchaga Wa Kibosho!
Kiruuuu.....!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Am due any time.... Am out of my bed room for a while.... Eti anatamani hivohivo kisa ni ya motooo!!! Hajui tu natamani IWE once per week.
Ni kweli kabisa...sema tu mi uzungu wa kuwa gentle ndio siwezagi so unaweza kudhurika
Ila kama mwana mstaarabu mpe tu.ni ya moto sio kidogo, pia ana kipindi kigumu mbele yake wakati wewe utakua unanuka maziwa n he wont be able to smooche those boobs.MPE YOTE SASA HIVI,MSIUMIZE TU MTOTO NA 'NYEGE' ZENU.
 
Kwa hesabu za fasta kuna pepo anakunyemelea. Pepo za zinaa.

Usikubali kuwa bored kwenye ndoa yako hun. Usikubali mazoea na mume wako.

Do fun things, go on vacays leave the kids behind. Start a project earn more money....

The thing is tumezoeshwa eti sisi wanawake wa Kiafrika hatuwezi chukua time alone tukajitoa out tukaenda vacations alone. That by itself is very boring.

Choose to be happy.
 
1. kuna siku zingine nakuwa nimechoka akili, mwili na nafsi afu anataka mechi! fake orgasm amalize nilale anafurahi kwakweli, mi nawaza kulala tu
Hii dhambi kabisa...I dont f**k sababu mb*** imesimama, it means more than that(kwa nimpendae,ofkoz) so kama hauko in the mood usikubali kufanya kabisa badala ya ku fake.Unamuonea mpiganaji kabisa.

3. i think boobs are awesome...no...am not a lez ila Mungu kaumba bwana
MMMMHHH!!

5. ila ndoa ina kazi, embu fikiria having sex na mtu mmoja tu maisha yako yote, yooooote!
Ndio maana vijana wengi ni mtihani mkubwa kukata hili shauri..........mpongeze sana jamaa.

7. i have a dirty mind... nilijaribu kumwambia kuwa nimeboreka try something new in the bedroom ati he want to treat me like a queen...ah sikatai but i be a lady in the street and a freak in the...nigga sez no! ngachoka...
Mwambie ''upole upole wake mwisho sebuleni" in @evelynsalt's voice...He should be a freak, a monster, a gentleman and everything inbetween kufanya 'usiboreke na chumba'. I really like 'a slut' in my bedroom,damn!

9. sometimes natamani a cheat and watch... afu kuna kadem kanamnyemelea...

Wish ningekua mimi...hiyo fantasy yako ingekua reality in no time dadeki!
 
Back
Top Bottom