Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

Atakuwa Kapiga Picha Kwenye Mali Za Watu Maana Watanzania Wakishaenda South Africa Chakwanza Nikuuza Sura Kwenye Mali Za Watu Then Unasema Zako Kama Hamuamini Nisemacho Ngoja Afe Ndo Mtajua Kama Vionekanavyo Hapo Juu Vyake
 
Mkuu niwe mkweli kabisa mimi sitafuti pesa ili nimtulize mwanamke, hata wanangu wakikua nitawachana wapambane wasitegemee kurithi kwangu, ndio sembuse mwanamke, mpaka hapa nilipofika ama maisha niliyonayo namshukuru mwenyezi mungu, naongeza kutafuta mkwanja kukidhi haja/matamanio ya nafsi yangu tu, nafsi yangu siitimizii 100% ndio nitatimizia nafsi ya mwenzangu!!
hahahaaaa nafsi yangu siitimiziii ndio nitaitimizia ya mwenzangu "" ??!! sema hapo kwa watoto mkuu jitahidi tu uwape vyao hiyo nihaki yao ...maana hawakukuomba uwazae "" niwewe na migenye genye yako ndio iliyosbabisha kuwaleta ...so watengenezee maisha tafadhali
 
Acheni wivu chapeni kazi sikuzote yule mtafutaji ambae haogopi umande ndio huongezewa zaidi so tafuta hela sio kusema wenzenu .
Na kuwasifia.
 
naona gari zake zimeandikwa GP=Gauteng province south hiyo mzeebaba hapo ngada lazima inahusika..
Hizi akili ni noma jamani hahaha!!

Mtanzania yoyote anaetumia gari na kumiliki gari za S.Africa ni muuza ngada?

Sasa kama diamond anamiliki nyumba huko s.africa tusemeje sasa?

Tafuta kijana endelea kukalia jungu... Wanaume wenzako wanalala porini
 
Hizi akili ni noma jamani hahaha!!

Mtanzania yoyote anaetumia gari na kumiliki gari za S.Africa ni muuza ngada?

Sasa kama diamond anamiliki nyumba huko s.africa tusemeje sasa?

Tafuta kijana endelea kukalia jungu... Wanaume wenzako wanalala porini
mbona povu linawatoka wakuu??nimekaa huko miaka 6 nawajua vizuri wabongo hawana ishu zaidi ya kuuza sembe kama unataka njoo nikupeleke hatulopoki mzeebaba...mnalala porini we endelea kulala tu huko porini si unapambana na hali yako!!usifikiri kila mtu anatafuta hela ktk mazingira ya taabu..
 
Dogo wa kawaida sana mtu peace tu wala hana fujo kivile.
Kaipataje hela mi hainihusu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom