Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

Mkuu niwe mkweli kabisa mimi sitafuti pesa ili nimtulize mwanamke, hata wanangu wakikua nitawachana wapambane wasitegemee kurithi kwangu, ndio sembuse mwanamke, mpaka hapa nilipofika ama maisha niliyonayo namshukuru mwenyezi mungu, naongeza kutafuta mkwanja kukidhi haja/matamanio ya nafsi yangu tu, nafsi yangu siitimizii 100% ndio nitatimizia nafsi ya mwenz
angu!!

acha ubinafsi na roho mbaya wanao wasiporithi mali nani unatka arithi? au ndyo ile staili ya "kwa kuwa mi nimesota sana wacha na wao wasote"
 
Na picha tu don’t mean shit!

Wengi tu wanaweza kupiga picha na magari.

Kupiga picha na magari haimaanishi ndo unayamiliki.

Heck, hata kuendesha tu gari haimaanishi ndo unalimiliki.
NN hapa umeyumba ....siwaona mpka usajili wa hayo magari plate number zake zina majina gani ??
 
Kiasi watanzania tusiende mbele kimaendeleo,bila hata watu kumjua huyu dogo tayari wameshaijua kazi anayofanya,tayari wameshampa jina la muuza unga,...kesho kutwa polisi watakwenda nyumbani kwake kumpekua kama hawajamuona na kitu watamuwekea kidhibiti,ndio maisha ya Dogo yatakuwa yamemalizia hapo,,,,juhudi zake zote za kupambana ndio zitakuwa zimemalizika na kusahaulika..!!

Kwanini Watanzania tuko hivi,kuanzia Raisi wetu mpaka mtanzania wa maisha ya chini kabisa mawazo yetu yanafanana,tuko na chuki,wivu,choyo,uhasidi..!!

kwanini hatumuombei tu huyu Dogo azidi kufanikiwa,tujiombee na sisi vile vile tufanikiwe ili tusonge mbele katika masiha yetu ya kawaida pamoja na tunaowapenda zikiwemo na familia zetu
 
Ukiongelea kijana mwenye magari makali bongo wengi watakuambia Diamond ila wachache sana hawajui mondi hayupo hata kwenye top 100 ya vijana wakali wa town kwa mandinga makali.

Huyu hapa ni kijana Marley dollars ukiacha jumba lake la maana ana miliki ndinga za maana sana mjini. View attachment 738210View attachment 738211View attachment 738212View attachment 738213View attachment 738214View attachment 738215View attachment 738216View attachment 738217View attachment 738218View attachment 738219View attachment 738220View attachment 738221View attachment 738223
mbona picha za kitambo sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom