Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

mbona povu linawatoka wakuu??nimekaa huko miaka 6 nawajua vizuri wabongo hawana ishu zaidi ya kuuza sembe kama unataka njoo nikupeleke hatulopoki mzeebaba...mnalala porini we endelea kulala tu huko porini si unapambana na hali yako!!usifikiri kila mtu anatafuta hela ktk mazingira ya taabu..
Hizi akili zako za kuvukia barabara, nenda na wew ukasukume ngada kama ni simple kama unavyo dhani wewe teh teh wabongo bhana husda zitawauwa...
 
Kiasi watanzania tusiende mbele kimaendeleo,bila hata watu kumjua huyu dogo tayari wameshaijua kazi anayofanya,tayari wameshampa jina la muuza unga,...kesho kutwa polisi watakwenda nyumbani kwake kumpekua kama hawajamuona na kitu watamuwekea kidhibiti,ndio maisha ya Dogo yatakuwa yamemalizia hapo,,,,juhudi zake zote za kupambana ndio zitakuwa zimemalizika na kusahaulika..!!

Kwanini Watanzania tuko hivi,kuanzia Raisi wetu mpaka mtanzania wa maisha ya chini kabisa mawazo yetu yanafanana,tuko na chuki,wivu,choyo,uhasidi..!!

kwanini hatumuombei tu huyu Dogo azidi kufanikiwa,tujiombee na sisi vile vile tufanikiwe ili tusonge mbele katika masiha yetu ya kawaida pamoja na tunaowapenda zikiwemo na familia zetu
Aisee, waswahili hao washammaliza jamaa .
Dogo atajua kwanini kina katunzi,pappa msofe,pdg ndama walikimbia huku.
Polis watakua wageni zake na marafiki tu.
 
Hizi akili zako za kuvukia barabara, nenda na wew ukasukume ngada kama ni simple kama unavyo dhani wewe teh teh wabongo bhana husda zitawauwa...
sasa kuuza ngada kuna ugumu gani??ni vile tunathamini maisha ya watu kuliko pesa..!!kwa nini niuze unga wakati nna ishu zingine halali kabisa zinazoniingizia hela??afu jitahidi usitoe povu take it easy...
 
jamani hadi ivyo vipikipiki navyo umeweka...simjui ndio kwanza namjua kupitia Uzi huu...tupe CV yake mkuu tujue upambanaji wake
 
nimetazama post zake nikamuona shemeji yake mondi mzee wa kuungaunga kwa watu wenye hela petitman wakuache jamaa atakua nazo maana meji yake mondi kwa kupenda slop
 
Unaweza kuta ni mwizi wa magari maana namba za msumbiji na south zimejaa tupu kwenye hayo mapicha yake...akikosa kwenye wizi kwenye biashara yetu pendwa ile hawezi kosa
 
MBONA ANA UKARIBU NA PETIT MAN? PETIT NAYE NA NYANDU TOZI WANAENDA SANA SOUTH,PIA NIMEONA YUPO CLOSE SANA NA JAMAA MMOJA NA YEYE YUPO SOUTH MUBI777 WOTE NDIO TYPE HIZO HIZO.....BIASHARA ZA WABONGO SOUTH HUWA NI ZA MASHAKA WENGI WANA UNDUGU NA BAKHRESA WANASUPPLY UNGA.
 
Mubi777 ni jina la mtu au id ya insta? Sasa mtu hata jina lake hulijui umeshajua kazi zake tukuamini vipi
 
Kiasi watanzania tusiende mbele kimaendeleo,bila hata watu kumjua huyu dogo tayari wameshaijua kazi anayofanya,tayari wameshampa jina la muuza unga,...kesho kutwa polisi watakwenda nyumbani kwake kumpekua kama hawajamuona na kitu watamuwekea kidhibiti,ndio maisha ya Dogo yatakuwa yamemalizia hapo,,,,juhudi zake zote za kupambana ndio zitakuwa zimemalizika na kusahaulika..!!

Kwanini Watanzania tuko hivi,kuanzia Raisi wetu mpaka mtanzania wa maisha ya chini kabisa mawazo yetu yanafanana,tuko na chuki,wivu,choyo,uhasidi..!!

kwanini hatumuombei tu huyu Dogo azidi kufanikiwa,tujiombee na sisi vile vile tufanikiwe ili tusonge mbele katika masiha yetu ya kawaida pamoja na tunaowapenda zikiwemo na familia zetu
Daah! Mkuu kiukweli hiki kizazi kina shidaaaa sana katika kutafakari yale yanayotekea katika maisha na kuyatolea ufafanuzi, hichi kizazi chetu wanachojua ni kuhukumu tu. Kiukweli huwa nachoka kabisa pale ambapo kila aliye na mafanikio anahusishwa kwamba amepata vitu hivyo kwa njia haramu.
 
hahahaaaa nafsi yangu siitimiziii ndio nitaitimizia ya mwenzangu "" ??!! sema hapo kwa watoto mkuu jitahidi tu uwape vyao hiyo nihaki yao ...maana hawakukuomba uwazae "" niwewe na migenye genye yako ndio iliyosbabisha kuwaleta ...so watengenezee maisha tafadhali
Hii si haki yao, hii ni mali yangu mimi, nina jeuri ya kufanya lolote, mirathi ni wema wa mzazi kwa watoto si kitu cha lazima, ni kweli

nimewazaa kwa nyege zangu na ndio maana najitahidi kuwapa elimu bora na kila kitu muhimu ili kuwarahisishia kufikia kilele cha mafanikio, mie hata nikisema nauza nusu naenda kuwapa yatima nusu nawapa wao si ajabu na hakuna wa kunihoji sababu ni mali yangu, mie sikurithi sh 10 toka kwa marehemu father wangu na wala sijawahi kumnung'unia hata kidogo, haya masuala ya kurithi ndio maana watoto wanauwa wazaz wao..

Wanangu nawafunza kutafuta, na mirathi si lazima kwao ila ni wema wangu kwao, vitu vya lazima ni kiwalea toka mimba, utoto, kuwapeleka shule na huduma nyingine muhimu, chakula, matibabu, nakuwafanya wafurahie maisha, zaidi ya hapo sina mkataba nao
 
QUOTE="Southern Highland, post: 26595217, member: 423739"]Naona wewe tayari umetoa details. Na umerudi instagram kuendelea kulike pic za mchizi[/QUOTE]
Si umezielewa ndo maana umecomment....sishobokagi kiivyo wewe.
 
Kiasi watanzania tusiende mbele kimaendeleo,bila hata watu kumjua huyu dogo tayari wameshaijua kazi anayofanya,tayari wameshampa jina la muuza unga,...kesho kutwa polisi watakwenda nyumbani kwake kumpekua kama hawajamuona na kitu watamuwekea kidhibiti,ndio maisha ya Dogo yatakuwa yamemalizia hapo,,,,juhudi zake zote za kupambana ndio zitakuwa zimemalizika na kusahaulika..!!

Kwanini Watanzania tuko hivi,kuanzia Raisi wetu mpaka mtanzania wa maisha ya chini kabisa mawazo yetu yanafanana,tuko na chuki,wivu,choyo,uhasidi..!!

kwanini hatumuombei tu huyu Dogo azidi kufanikiwa,tujiombee na sisi vile vile tufanikiwe ili tusonge mbele katika masiha yetu ya kawaida pamoja na tunaowapenda zikiwemo na familia zetu
Tatizo tumerithi kwa baba yetu,kama baba hataki kuona mtu ameendelea unategemea nin?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom