Marlaw afunga ndoa na Besta

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050
....Msanii wa Bongo fleva, Marlaw, jumamosi iliyopita alimuoa msanii mwenzake, Besta. kila la heri ktk maisha mapya ya ndoa


Marlaw_TZ_.jpg

....NDANI YA JUMBA AKA SUTI KALI!

marlaw%2Bring.jpeg

....KIDOLE CHA MARLAW KWA SASA KIKO BUSY...PETE YA NDOA....!

Marlaw.jpg

 
Ishu hii ilifanyikia Arusha, na ilikuwa nzuri sana!~

Bado nawashangaa waandaaji ambao walikuwa wachache sana, lakini walifanya kitu kilichoenda shule, na kwa hakika kitabakia kwenye kumbukumbu za wengi kwa muda mwingi ujao!

Tunawatakia kila la heri katika maisha yao mapya!
 
Mhhhh, Marlow Besta anafugika kweli?

Naomba Mungu awajalie maisha mema yasio na vikwazo manake kuoana wote masupastaa bongo iahitaji moyo na pesa isiyokauka mfukoni.
 
Kuna mtu mmoja humu JF namlaumu daima kwa kunibania huyu totozi back then.....poa tu
 
Hongera sana Marlaw na Besta, Mungu awabariki na mipango yenu, ngoja tuwapishe njia
 
Samahani sana Wajamani.

Mie huyu jamaa huwa namkumbuka kwa wimbo huu tu hapa chini.....

Sidhani kama ntakuwa FAN wake tena..............

Nina imani WATAMCHAKACHUA na yeye ili awajue CCM ni nini......

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom