Marlaw afunga ndoa na Besta

ila ka kiatu ka Marlaw kadogo,sie tunaopenda kuangaliza size ya kiatu cha mwanaume hapa inakuwaje???:tape::tape:
 
Vipi Mheshimiwa..mbona binti ametulia sana...hana makuu kabisa.nawatakia maisha marefu yenye amani,upendo na baraka
Usiogope usupastaa mkuu...ni tabia za wachache huleweshwa na usupasta na mwisho wake unakuwa mbaya
Mhhhh, Marlow Besta anafugika kweli?

Naomba Mungu awajalie maisha mema yasio na vikwazo manake kuoana wote masupastaa bongo iahitaji moyo na pesa isiyokauka mfukoni.
 
Hongera kwao,kiukweli mastaa wengine wanatakiwa wajifunze kwao wamewezaje kudumu hadi leo,sio wengine harusi za mbwembwe nyingi afu wiki mbili tu ndoa chali
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom