GE2025 Maridhiano yaliyoahidiwa yanahusu nini?

GE2025 Maridhiano yaliyoahidiwa yanahusu nini?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
CCM inaanzisha fujo,kutokuelewana na maovu mengine mengi ili baada ya watu kuumia ndiyo walete usanii wa maridhiano.Huo ni upuuzi kama ujingaujinga mwingine tu.Unawaumiza sasa ili baadaye uwape peremende wanyamaze?Anayekubaliana na huo ujinga hana tofauti na muanzisha ujinga.
Wapo wengi tu watakubaliana na huu ujinga,kuna vyama rafiki kama vinavyoshiriki uchafuzi viko tayari
 
Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan amesikika kwenye hotuba ya ufunguzi wa kampeni zake akiahidi kuwepo kwa mazungumzo ya maridhiano katika siku 100 za utawala wake mpya.

Nataka sasa awaeleze waTanzania maana ya maridhiano hayo ni nini, ikiwa wakati ahadi hiyo ikitolewa hatua za maovu ya utawala wake bado zinaendelea kwa kasi kubwa!

Mtu mwenye kutaka maridhiano ange eleweka endapo wakati huu pangekuwepo na juhudi za kweli za kuachana na maovu ambayo yatajutiwa wakati wa mazungumzo ya maridhiano.

Utaahidi vipi maridhiano wakati nchi inaendelea kuvurugika wakati huu tukielekea kwenye matumizi makubwa ya nguvu na kutenda maovu ili abaki madarakani.
Ina maana matendo maovu yatakayojutiwa kwenye maridhiano ni yale yaliyokwisha fanyika hadi hapa tulipo wakati ahadi zikitolewa, au ni pamoja na yale yatakayo fuata kuwahakikishia wanabaki madarakani kwa nguvu?

Hii ahadi ya maridhiano inatolewa kwa dhati, au ni hadaa na ulaghai kama ilivyo kawaida ya uongozi huu?
WaTanzania wataziamini ahadi hewa za namna hii?

Mtu mwenye nia thabiti ya kujutia yaliyo waumiza waTanzania hasubiri kutenda yaleyale kwa nia ya kubaki madarakani, huku akiahidi kuyajutia baadae akisha fanikisha nia yake mbaya..

Huu ni ulaghai, waTanzania ni lazima wautambue na kuukataa..

Ni hadaa tu ili uchaguzi upite.

Alikuja na 4R zikaishia mdomoni.

Akaja na maridhiano uchwara.

Akaja na kikosi kazi cha kina Zitto bila matokeo.

Tukaambiwa tutaelimishwa elimu ya katiba kwa miaka 3. Sijui kama wamefanya.

Maza sasa ni rasmi, yuko kwenye genge la Wahuni.
 
Samiah ni mhuni aliyekubuhu.
 
In plain language, Samia The Killer anasema maridhiano hayawezi kufanyika kabla ya igizo la uchaguzi, kwa sababu yataharibu mpango wake wa kubaki madarakani. Acha critics wauawe tu kwa sasa, atatafuta maridhiano baada ya igizo la uchaguzi!
Yeah!
Na anayasema haya 'plainly' kabisa kwa waTanzania wote wamsikie; wenye akili timamu na ambao akili zao haziwatoshi.

Anapo yasema haya, anajuwa mitutu ya bunduki za waTanzania zipo zinamlinda yeye asidhurike; na kama kukiwa na mbishi juu ya hayo asemayo yeye ziondoe maisha yake.

Kwa nini nchi nzima iwe mateka namna hii kwa watu hawa wachache? Kwa nini hii mitutu yetu, angalau ielekezwe chini iwaachie waTanzania wenye mapenzi na nchi yao wapambane na hawa mashetani?
 
4r zimekufa, anataka kufufua maridhiano sasa.

Na kwanini iwe baada ya uchafuzi na sio kabla.
Atakuwa malikia.wakati huo na kila.kitu itakuwa.yes mom,sasa hivi ni.mgombea anatumia kila nguvu ya kike kupata mtoto Tanzania kwa hila na ulaghai
 
Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan amesikika kwenye hotuba ya ufunguzi wa kampeni zake akiahidi kuwepo kwa mazungumzo ya maridhiano katika siku 100 za utawala wake mpya.

Nataka sasa awaeleze waTanzania maana ya maridhiano hayo ni nini, ikiwa wakati ahadi hiyo ikitolewa hatua za maovu ya utawala wake bado zinaendelea kwa kasi kubwa!

Mtu mwenye kutaka maridhiano ange eleweka endapo wakati huu pangekuwepo na juhudi za kweli za kuachana na maovu ambayo yatajutiwa wakati wa mazungumzo ya maridhiano.

Utaahidi vipi maridhiano wakati nchi inaendelea kuvurugika wakati huu tukielekea kwenye matumizi makubwa ya nguvu na kutenda maovu ili abaki madarakani.
Ina maana matendo maovu yatakayojutiwa kwenye maridhiano ni yale yaliyokwisha fanyika hadi hapa tulipo wakati ahadi zikitolewa, au ni pamoja na yale yatakayo fuata kuwahakikishia wanabaki madarakani kwa nguvu?

Hii ahadi ya maridhiano inatolewa kwa dhati, au ni hadaa na ulaghai kama ilivyo kawaida ya uongozi huu?
WaTanzania wataziamini ahadi hewa za namna hii?

Mtu mwenye nia thabiti ya kujutia yaliyo waumiza waTanzania hasubiri kutenda yaleyale kwa nia ya kubaki madarakani, huku akiahidi kuyajutia baadae akisha fanikisha nia yake mbaya..

Huu ni ulaghai, waTanzania ni lazima wautambue na kuukataa..
Hii ndo inaitwa ngoja nikaibe then nikishafanikisha naenda kuungama.
 
4r zimekufa, anataka kufufua maridhiano sasa.

Na kwanini iwe baada ya uchafuzi na sio kabla.

Kwa Sababu anajua ikiwa itakuwa kabla hawezi kwenye sanduku la kura hatoboi.
 
Kwa nini asingefanya maridhiano kabla ya uchaguzi Mkuu?
Ni dhahiri amegundua kuwa bila maridhiano atakuwa na kipindi kigumu sana cha kutawala na kuongoza nchi

Kwani hajui kwenye sanduku huru la kura hatoboi Mkuu?
 
Kiini macho kama mambo ya muafaka Zanzibar yaliyozaa utapeli wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa na makamo wa Raisi asiyeheshimiwa hata na tarishi.
 
Hii ndo inaitwa ngoja nikaibe then nikishafanikisha naenda kuungama.
Sahihi kabisa!

Sasa sijui kama "Miungu" wetu hawa tunaodiriki kuwadanganya ni "Miungu" kweli; au ni hao tunao watengeneza sisi wenyewe!
 
Back
Top Bottom