Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 3,486
- 18,108
Maharage yana shida gani? Mbona ni chakula kizuri sana kiafya? Wewe ulitaka ule nini mtoto wetu?Nimesomea Marian, Ile shule wamenifanya niape nikiingia mtaani nisile maharage . Yani mnakula maharage mchana na jioni mwaka mzima ? Ile shule ni wabahili balaa. Ada haiendani na services za pale . Wali una chuya za kutosha. Yani utafikiri mnalipa milioni Moja. Bado mnachangishwa laki laki Kwa ajili ya kusupport walimu. . But Kwa elimu wako poa.
Unaposema ada haiendani na services unamaanisha nini? Service kuu ya shule ni kukufundisha kielimu na maadili. Ulikuwa huelewi? Tabia yako ni mbovu hata sasa?
Wewe ni Mwanafunzi wa Marian kweli? Ama afisa uhusiano wa shule zingine?