kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,506
- 18,872
hii ngoma imekaa kiafrica zaidi si wajua hizi za kwetu huku...eh! na design hizi ni adimu pia....aisee angalia kwa makini hapa!!!
there is something here...
vere vere flabbergasting!
![]()
hii ngoma imekaa kiafrica zaidi si wajua hizi za kwetu huku...eh! na design hizi ni adimu pia....aisee angalia kwa makini hapa!!!
there is something here...
vere vere flabbergasting!
![]()
huo sasa ni mpango, si waona wingu huko juu...?aisee nivumilieni kama saa moja hivi kulaleki....
ntarudi, wacha nikatapike nyongo mahali fulani!!!!
Bado lita moja
wasemaje....?
Niko poa....niambie!shikamooo kaka unaendeleaje?
Sijui rafiki kama itakuja jaa maana mwendo wenyewe ni wa kusua suaikijaa niambie
oh mama kwa nini sikuwa mwanaume
Mr Rocky, utafiti na miss chagga!
kulaleki kuna kitoto cha kichaga street kwangu hapa, nawaambieni kimenona mwili mzima, asalaaale!
hapa yani nimejipanga kukifanya vyovyote qulaleki!
yani my heart jumps like duh! duh! duh! duh! when is see this romantic girl!! wacha niendelee kuandika proposal ya mtongozo wake qulaleki! lile ta.ko lisinipite bure..!
Mhhh balaa hivi akina utafiti na Tized na Ntuzu na Mndengereko na Excel huwa wanatembelea huku wakaona haya
unatamani ee
Ni kifungo cha maisha jela pamoja na kazi ngumu.Dada kwa hiyo min tahadhari usithubutu kuelekea Kwa mzee m7
Sijui rafiki kama itakuja jaa maana mwendo wenyewe ni wa kusua sua
oh mama kwa nini sikuwa mwanaume
nna mashaka naww!!