Marhaba..... Looking butiful!

Marhaba..... Looking butiful!

Mr Rocky, utafiti na miss chagga!

kulaleki kuna kitoto cha kichaga street kwangu hapa, nawaambieni kimenona mwili mzima, asalaaale!

hapa yani nimejipanga kukifanya vyovyote qulaleki!

yani my heart jumps like duh! duh! duh! duh! when is see this romantic girl!! wacha niendelee kuandika proposal ya mtongozo wake qulaleki! lile ta.ko lisinipite bure..!

u should start from end dont forrget to write ma name
 
Mr Rocky, utafiti na miss chagga!

kulaleki kuna kitoto cha kichaga street kwangu hapa, nawaambieni kimenona mwili mzima, asalaaale!

hapa yani nimejipanga kukifanya vyovyote qulaleki!

yani my heart jumps like duh! duh! duh! duh! when is see this romantic girl!! wacha niendelee kuandika proposal ya mtongozo wake qulaleki! lile ta.ko lisinipite bure..!

Mpe tender Tyta bana ya kutuma picha wewe unaongea kwa maneno tuuuu biloa evidence bana
Weka picha hapa watu tujudge bana
Halafu kwa mwendo huu Excel utaendelea kuwa babzazi tuu maisha yako yote
utafiti hebu kemea pepo la huyu kijana litoke maana naona kazidi kabisa huyu
 
Last edited by a moderator:

Ukimuona kabanga mitaa hiyo mwambie aje na huku
 
Last edited by a moderator:
Mpe tender Tyta bana ya kutuma picha wewe unaongea kwa maneno tuuuu biloa evidence bana
Weka picha hapa watu tujudge bana
Halafu kwa mwendo huu Excel utaendelea kuwa babzazi tuu maisha yako yote
utafiti hebu kemea pepo la huyu kijana litoke maana naona kazidi kabisa huyu

kwanini tena niwe bazazi aisee?

yani sijaona mtoto mzuri kama huyu..! nyuma kumejaa kama kifuu cha nazi ?

ngozi natural whiteness baba mpaka nikasahau nilikoenda nikabaki kuchunguza wapi anaelekea kulaleki!

naomba tu asiwe miss chagga!
 
Last edited by a moderator:
kwanini tena niwe bazazi aisee?

yani sijaona mtoto mzuri kama huyu..! nyuma kumejaa kama kifuu cha nazi ?

ngozi natural whiteness baba mpaka nikasahau nilikoenda nikabaki kuchunguza wapi anaelekea kulaleki!

naomba tu asiwe miss chagga!
Amuangaliaye mwanamke kwa kumtamani amekwisha kuzini nae
Hapo una dhambi ya uzinzi hata kabla hujatenda kitendo chenyewe
Ukitekeleza yaani ndo kabisa babzazi full
Angalia tuu wakati unamuwangalia toyo isikatishe maana unaweza kujikuta Muhimbili mihuu imening'inizwa vyuma
 
Back
Top Bottom