Marhaba..... Looking butiful!

Marhaba..... Looking butiful!

article-2579347-1C3B3C0100000578-997_634x903.jpg

Wakubwa wanafaidi...
 
Amuangaliaye mwanamke kwa kumtamani amekwisha kuzini nae
Hapo una dhambi ya uzinzi hata kabla hujatenda kitendo chenyewe
Ukitekeleza yaani ndo kabisa babzazi full
Angalia tuu wakati unamuwangalia toyo isikatishe maana unaweza kujikuta Muhimbili mihuu imening'inizwa vyuma

afadhali umfundishe
 
hutaki nini mamii jamani?

mbona ushakuwa mkubwa! hebu kua bana!

kwani una miaka 12 bana mpaka ujibane kwa baba yako hivyo?

nina 12*3 jibu lake ndio miaka yangu lakini baba aliniambia mimi hata nikiwa bibi bado ni mtotot tu kwake na nideke kawake
 
nina 12*3 jibu lake ndio miaka yangu lakini baba aliniambia mimi hata nikiwa bibi bado ni mtotot tu kwake na nideke kawake

achana na babako bana, mzee mwenyewe yule mbona tunagongana nae mitaa nyeti tu kila siku!

hebu kuja pembeni nikuoneshe dunia inavyojizungusha kwenye mhimili wake!!

kuja uone jua linavyozama kwa mbwembwe!!
 
Back
Top Bottom