mkuu tatizo kuna watu wabishi kinoma pamoja na FBI wenyw kusema still wanabishaHiyo simu imefunguliwa bila msaada wa Apple japo kuna watu wanataka kutuaminisha kwamba imefunguliwa kwa msaada wa Apple
Hakuna siri dunia hii...
Hiyo simu imefunguliwa bila msaada wa Apple japo kuna watu wanataka kutuaminisha kwamba imefunguliwa kwa msaada wa Apple
Hakuna siri dunia hii...
Hao ni wale washamba wanao amini kwamba Apple ni Mungu wa Pili kwamba kwao huwezi fanya chochotemkuu tatizo kuna watu wabishi kinoma pamoja na FBI wenyw kusema still wanabisha
we nae vipi na hao waisrael?Mkuu wala sio mamluki wao ila ni Waisrael ndio inasemekana wanaouwezo huo na tayari fununu zilishaanza kuenea kwamba Waisrael hao wataibutua simu hiyo kiulaini..na walivyoulizwa hawakubisha..walisema wanaweza
Apple walishaomba through their lawyers kuwa FBI wawaeleze jinsi walifungua simu.Mimi siamini kabisa kuwa imefunguliwa kwa msaada wa Apple.
If anything, kufunguliwa kwake kumethibitisha kuwa bidhaa za Apple zinaingilika.
Jambo ambalo lina-debunk dhana ya kwamba bidhaa zao ziko imara kivile.
Sasa ishu ni je, Feds watawaambia Apple ni jinsi gani wameweza kuifungua hiyo simu au watauchuna?
Maana wakiwaambia, basi Apple walau watajua nini cha kufanya ili kuimarisha zaidi security ya bidhaa zake.
Lakini nina mashaka kama Feds watafanya hivyo.
Apple walishaomba through their lawyers kuwa FBI wawaeleze jinsi walifungua simu.
Secondly juzi apple wame fanya update ya iOS 9.3 hivyo inawezekana walishagundua flaw na wamesharekebisha
Regardless, the notion that Apple's products are as secure as advertised, goes out the window.
Which is a knock on their business side of things.
These products aren't made by a single solitary person.
A whole bunch of people are involved in the process of product development.
It's hard to maintain a secret in a situation like that.
And just when you think you are smarter than perhaps everyone else, there is always someone else out there who is probably ten times smarter than you.
Chanzo.Monday's news raises questions about the security of Apple's devices and how the Justice Department was able to break into the phone. The FBI hasn't said what company it's working with or what method it used to access the data.Cellebrite, a privately held Israeli company that specializes in transferring and extracting data from phones, has been named in some reports as the third party helping the FBI unlock the iPhone, but neither the FBI nor Cellebrite has confirmed the reports.
hivi kuna mpumbavu yeyote anaeamini FBI walishindwa kufungua hiyo simu kweli?? jamani hawa watu siwapendi ila mjue kabisa hua hawafanyi kazi za kuchoma cd za bongo movie kariakoo.. hizo kelele zote na apple ilikua danganya toto tuu nao waonekane wanafata sheria
Ila mbona long time njia ya kufungua hizo simu zinajulikana. Ila at a risk of losing data or not getting full data stored in a device
Mshikemshike wa apple na FBI wasn't about apple unlocking the phone. It wAs about FBI wanting apple creating a new operating system that bypasses encryption security.
Walikua na uwezo lakini njia yao waliamini inaweza kupoteza data wanazohitaji, so issue ilikua ni kufanikiwa kufungua simu bila kupoteza data.Hahahaaa unajua hata mimi nasita kabisa kuamini kuwa FBI walishindwa kuifungua hiyo simu.
Jamaa wana resources za kutosha hususan kama ikija kwenye mambo ya homeland security.
Yaani washindwe kabisa kui-hack simu ya ghaidi?
Things that make you go hmm.......
Aisee we kweli ni mwehuWajinga sana hao Apple. Miaka yote walikuwa wanazifungua safari hii wakajifanya kuzingua.
The so thought firm to have helped the FBI had proposed a system of bypassing the code without trying to deduce the number but this doesn't give access to the full data stored in the phone.Yeah...on that I side with Apple's stance.
Feds can't force them [Apple] to create such a system or program or whatever the hell else it's called.
sasa kumbe unajua hawawez kusem hadharan mkuu..nashkuru kwa kujijibu.....Mkuu, nilichokuomba sicho ulichonipa.
Ulichonipa ni yaleyale niliyohisi tokea mwanzo: masadikiko tu kuwa huenda kuna kampuni ya Israel ndo ilikuwa hired ku unlock hiyo simu.
Feds hawajasema ni nani aliyeifungua.
Hivyo, hilo suala linabaki kuwa ni la kukisia tu.
Na naelewa kwa nini Feds hawajasema ni nani kasaidia katika kuifungua.
Hawawezi kuanika siri zao hadharani kijinga kijinga namna hiyo.
Kwann hujaenda shule?...tatizo langu liko hapo...Sasa wewe uliyeenda shule mbona hujanielimisha?
Zaidi umeleta majungu zaidi ya shangingi mstaafu?
Wasomi hawako hivyo,hujibu hoja kwa hoja na ndivyo hudhihirisha usomi wao.
Umekuja kusaidia..ha ha ha....mwanaume kwa udhaifu bna...so unadhani utatunukiwa auUnajiona umefaulu sawasawa.? Kwa kushindwa kuelewa alichokiandika bibie kunatia shaka na walakini huo ufaulu wako.