My dear,jaribu kusoma upya point yangu utaelewa nilikuwa na maana gani.huoni kitendo cha kutangaza kuwa cm imefunguliwa na watu wengine apart from apple ndo kitaishushia soko mana inaonekana kuwa ecycription yao sio strong kama walivyodai ndo mana imefunguka? au unabase kwe point gan kuwa kufunguliwa kwa smu hiyo kuna boost market kwa apple?
ni muisrael ndo aliowasaidia kufungua lakini kusema kama myahudi au nan inakuwa ngumu..maana kuna waisrael waarabu na warusi wengi tu,webgbe waisrael wamarekani na vitu kama hvyo
My dear,jaribu kusoma upya point yangu utaelewa nilikuwa na maana gani.
Ila ukikurupuka namna hii huwezi kuelewa nilimaanisha nini.
Ngoja nikufafanulie kidogo,nimesema huu ni mchezo wa FBI na Apple ili kukuza mauzo ya bidhaa za Apple.
Kama ingekuwa imefunguliwa na mtu mwingine kwanini wasimtaje huyo mtu?
Point kuu hapo ni kuongeza mauzo ya hizo bidhaa za Apple ndio maana hajatajwa huyo 'MTU'.
Au lah,huenda sababu za kiusalama zimetumika kutokumtaja huyo mfunguaji.
mkuu unafikiri ntajuaje kama c kusoma kwe media? hii habari iliandikwa kwe wallstreet,usa today,bussiness insider,theverge toka juzi na firm husika ilikiri kuwa inakarinia ku unlock hio simu..hamna sehem yoyote nnayoweza pata habar zaid ya kusoma kwe media mkuuWewe umejuaje kuwa ni Muisrael ndo alowasaidia kuifungua?
Au unasadiki tu kuwa ni Muisrael?
Telegram ina nini cha ziada kuishinda WhatsApp?ni kweli mkuu,ila nafikiri apple lazima wata upgrade Os yao kwasababu moja ya vitu ambavyo vmefanya apple kutumiwa na watu weng hata wakiwemo hao terrorits ni uimara wa encycription yao kama vile magaidi wanavyotumia sana telegram badal ya whatsapp..all in all wenzetu wametuthibitishia kwamba kwao hakuna kinachoshndkana
Tuache ubishi usio na maana mkuu....Hivi kwa akili yako boss kweli FBI with National Security issue wanashindwa kweli kukifungua ki Iphone!? kumbuka wanafungua ili kujua Magaidi wengine walioshirikiana na hiyo mwenye Iphone, Kweli!?Mkuu sasa saivi wamefungua hawaja vunja sheria??
Ina maana muda wote wanahangaika kufungua walikua wanavunja sheria??
Seems haujafwatilia this case tangu ianze na inawezekana hujui ni nini hasa FBI walikuwa wanataka from apple.
mkuu unafikiri ntajuaje kama c kusoma kwe media? hii habari iliandikwa kwe wallstreet,usa today,bussiness insider,theverge toka juzi na firm husika ilikiri kuwa inakarinia ku unlock hio simu..hamna sehem yoyote nnayoweza pata habar zaid ya kusoma kwe media mkuu
ok ingawa cjakurupuka nmesoma vizur comment yako...ila mi nafikiri kama wanatangaza kuwa wamefanikiwa kuifungua cm bila msaada wa apple wenyew nafikir hio ndo itaathiri soko lao kwakuwa watu watafikiri kuwa kumbe kwe Os kuna flaws ambazo znaweza tumika kufungua cm za apple..kama FBI wangeshindwa kuifungua nafikiri hio ndo ingeboost market kwakuwa ingeongeza confidence kwa wateja kwamba apple wana strong encryption...maana unajua moja ya sababu ya watu kupenda sana cm za apple ni kwasababu ya encycription inayoaaminika ndo maana hata magaidi weng sana wanatumia cm zao kama wanavyotumia telegram kuwasiiana insted of whatsapp for the same reason......My dear,jaribu kusoma upya point yangu utaelewa nilikuwa na maana gani.
Ila ukikurupuka namna hii huwezi kuelewa nilimaanisha nini.
Ngoja nikufafanulie kidogo,nimesema huu ni mchezo wa FBI na Apple ili kukuza mauzo ya bidhaa za Apple.
Kama ingekuwa imefunguliwa na mtu mwingine kwanini wasimtaje huyo mtu?
Point kuu hapo ni kuongeza mauzo ya hizo bidhaa za Apple ndio maana hajatajwa huyo 'MTU'.
Au lah,huenda sababu za kiusalama zimetumika kutokumtaja huyo mfunguaji.
Tuache ubishi usio na maana mkuu....Hivi kwa akili yako boss kweli FBI with National Security wanashindwa kweli kukifungua ki Iphone!? Kweli!?
Hatimae FBI wameweza kuingia ndani ya simu ya gaidi bila kuwashirikisha Apple. Ikumbukwe kulikuwa na mtanange mahakamani serikali ikiitaka Apple itengeneze software mpya itakayoiwezesha FBI kuingia na kuacces data za hiyo simu, lakini Apple ilipinga ikidai kuwa itaharibu reputation and privacy ya customers
The top federal prosecutor in California, said investigators had received the help of "a third party"
--may be The Israel company did this
Haya wale wote walionunua hizo iPhone wakidhani not crackable wajifikirie upya.
source:bbc
FBI-Apple case: Investigators break into dead San Bernardino gunman's iPhone - BBC News
ni kwa upande wa encryption mkuu,yaan huwez kutrack mawasiliano ya watu..Telegram ina nini cha ziada kuishinda WhatsApp?
Tuache ubishi usio na maana mkuu....Hivi kwa akili yako boss kweli FBI with National Security issue wanashindwa kweli kukifungua ki Iphone!? kumbuka wanafungua ili kujua Magaidi wengine walioshirikiana na hiyo mwenye Iphone, Kweli!?
Ukisema risk kubwa unazungumzia nini mkuu...na risk kwa Iphone au kwa homeland Security yao!?Mkuu narudia tena, FBI hawashindwi kufungua simu hio. Njia za kufungua hizi simu zinajulikana wazi. Ila hii case ilikuwa na risk kubwa sana and second FBI walikuwa wanataka zaidi kutoka kwa apple.
ni kwa upande wa encryption mkuu,yaan huwez kutrack mawasiliano ya watu..
Ukisema risk kubwa unazungumzia nini mkuu...na risk kwa Iphone au kwa homeland Security yao!?
FBI Unlocks San Bernardino Terrorist's iPhone With Help Of Third PartyNdugu, vipi sasa...utanipa viunganishi vya hivyo vyanzo vinavyosema kuwa Muisrael ndo kaifungua hiyo simu?
Hiyo simu imefunguliwa bila msaada wa Apple japo kuna watu wanataka kutuaminisha kwamba imefunguliwa kwa msaada wa Appleok ingawa cjakurupuka nmesoma vizur comment yako...ila mi nafikiri kama wanatangaza kuwa wamefanikiwa kuifungua cm bila msaada wa apple wenyew nafikir hio ndo itaathiri soko lao kwakuwa watu watafikiri kuwa kumbe kwe Os kuna flaws ambazo znaweza tumika kufungua cm za apple..kama FBI wangeshindwa kuifungua nafikiri hio ndo ingeboost market kwakuwa ingeongeza confidence kwa wateja kwamba apple wana strong encryption...maana unajua moja ya sababu ya watu kupenda sana cm za apple ni kwasababu ya encycription inayoaaminika ndo maana hata magaidi weng sana wanatumia cm zao kama wanavyotumia telegram kuwasiiana insted of whatsapp for the same reason......