Kwaiyo unataka kutuaminisha Nchi nyingine walizotoa misaada wamekuwa matajiri?Nilisikia tetesi miaka mingi kuwa wamechoshwa na hali ya umasikini unaoendelea hapa kwetu pamoja na misaada yote wanayotupatia. Wanaona mengi ni uzembe wa CCM, kama kukiwa na serikali ya chama kingine wataona inavyojizatiti.