Marekani wako very "calculated" mwaka huu wa uchaguzi. Serikali ya CCM kuweni makini

Nilisikia tetesi miaka mingi kuwa wamechoshwa na hali ya umasikini unaoendelea hapa kwetu pamoja na misaada yote wanayotupatia. Wanaona mengi ni uzembe wa CCM, kama kukiwa na serikali ya chama kingine wataona inavyojizatiti.
Kwaiyo unataka kutuaminisha Nchi nyingine walizotoa misaada wamekuwa matajiri?
 
Uchaguzi utakuwa huru na wa haki, mheshimiwa Rais kaongea kwa kujiamini.

Mawaziri, makatibu wakuu wote kwa ujumla wao wanashinda mchana kutwa wakiwa site hakuna cha kuogopa.

Rais, makamu na waziri mkuu wote ni wafuatiliaji wakubwa wa maagizo wanayotoa, hakuna sababu ya kuogopa mmarekani na mzungu yoyote yule.
 
Wamarekani wasiwe na wasiwasi , tutawaonesha demokrasia Safi ambayo hata kwao hamnà. Unaitaje uchaguzi wa Marekani wa kidemokrasia ilhali Rais anapendekezwa na watu wachache sana?

Ingekuwa mfumo wa Marekani upo Tanzania nakuhahakishia vyama vya upinzani visingewaza kuitoa CCM lakini kwa kuwa uchaguzi wa Tanzania ni huru na wa haki vyama vinaamini vinaweza kuitoa CCM huku wakijua haiwezekani.

Waambie hao wamarekani watanzania Wameshachagua Rais wao naye ni Dkt. Magufuli mengine ni blabla tu za kusaka umaarufu wa wapinzani
Wamarekani ni takataka tu,tangu aingie trump hakuna Nchi inayoendeshwa kimabavu kama Marekani.Sasa nakutuma kamueleze huyo aliyekutuma watanzania wa sasa sio wale waliokuwa watumwa mwanzotunajitambua sana, watuachie uchaguzi wetu kama na sisi ambavyo atuwaingilii chaguzi zao.
 
Nimeona Zanzibar Maalim Seif kakutana na balozi wa Marekani, kwa hali inavyoonekana CCM hakika wawe makini sana, nakumbuka balozi wa marekani alipotembelea mahakamani kusikiliza kesi ya Kabendera ndio wakaja na lile zuio, na sasa yuko Zanzibar kwa Seif, wizi wa kura mwaka huu utakuwa mgumu sana, na wakilazimisha ole wao...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazungu hawana shida na uchaguzi wenu.tatizo lipo kwenye maslahi yao.watapitia kwenye mgongo wa kuimarisha demokrasia ili kufikia malengo yao.sijui Kama nimeeleweka mada yangu
Uchaguzi utakuwa huru na wa haki, mheshimiwa Rais kaongea kwa kujiamini.

Mawaziri, makatibu wakuu wote kwa ujumla wao wanashinda mchana kutwa wakiwa site hakuna cha kuogopa.

Rais, makamu na waziri mkuu wote ni wafuatiliaji wakubwa wa maagizo wanayotoa, hakuna sababu ya kuogopa mmarekani na mzungu yoyote yule.
 
Na Kuna taarifa "chizi" mwizi maarufu wa kura za CCM kuanzia miaka ya 1990 ameaga dunia mwaka jana.
Nimeona Zanzibar Maalim Seif kakutana na balozi wa Marekani, kwa hali inavyoonekana CCM hakika wawe makini sana, nakumbuka balozi wa marekani alipotembelea mahakamani kusikiliza kesi ya Kabendera ndio wakaja na lile zuio, na sasa yuko Zanzibar kwa Seif, wizi wa kura mwaka huu utakuwa mgumu sana, na wakilazimisha ole wao...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisikia tetesi miaka mingi kuwa wamechoshwa na hali ya umasikini unaoendelea hapa kwetu pamoja na misaada yote wanayotupatia. Wanaona mengi ni uzembe wa CCM, kama kukiwa na serikali ya chama kingine wataona inavyojizatiti.
Wamarekani au wazingu hawajawahi kuwa na nia njema na Tanzania au Africa. Binafsi nitafurahi wakisaidia kuliondoa hili lichama na mwenye kigoda wao lakini haona maana nawaamini kama matafiki wa kweli. Ni wabaya sana hao watu!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tatizo kubwa hapa Tanzania ni viini macho, sasa hao USA wanaweza kupambana na viini macho??

CCM wanaweza kufanya uchaguzi ukawa huru na haki kwa macho ya kawaida ya hao USA n mabeberu, ila huko gizani kusikoonekana wakafanya yao vizuri kabisa.

CCM wanaweza kuleta hata majini kupiga kura, na ukashangaa wagombea wote wa upinzani kuanzia CDM na ACT wakamuunga mkono mgombea wao... Ukweli ni kwamba hata hao USA waje na drones hapa michezo ya kichawi ya CCM hawawezi kuiona..
 
Nimetoka kuongea na rafiki yangu anafanya ubalozi wa marekani hapa nchini ananiambia huu mwaka wa uchaguzi tuombe Mungu maana " mabeberu " wametupania hasa kuhakikisha uchaguzi mkuu wa mwezi oktoba unakuwa huru na uwazi .

Wanataka kuhakikisha vyama vyote vya siasa vinapata uwanja sawa wa kushiriki kampeni za uchaguzi na zoezi zima la upigaji kura na utangazaji wa matokeo.

Sasa nimejiuliza tuu binafsi kwa figisu figisu ambazo chama tawala CCM wamezoea kucheza kwenye uchaguzi kweli tutapona.

Nimeambiwa hata baadhi ya matamko yanayotolewa na serikali ya marekani siyo wanabahatisha ni kwamba tayari "move" imeanza ili kutafuta sababu za kuweza kutunyoosha.

Sasa lengo la mimi kuandika hapa ni kuitahadharisha serikali ya CCM chonde chonde msije mkatuingiza kwenye machafuko.
Msitutishe na Wamarekani bwana! Wamejipanga wamejipanga. Hata sisi tumejipanga!
 
Back
Top Bottom