David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,569
- 8,431
akikuuliza unaonaje na we mwambie unasikiajeAkikupiga ngumi ya jicho nawe mpigie ya sikio..........
akikuuliza unaonaje na we mwambie unasikiajeAkikupiga ngumi ya jicho nawe mpigie ya sikio..........
Hatuwezi kuzima moto kwa kuwasha mwingine, hatuwezi kuondoa baridi kwa kuongeza barafu na kamwe hatuwezi kuondoa kiza kwa kuzima taa hatuwezi kuleta upendo kwa kuzidisha chukiImeruhusiwa kulipa kisasi ili kuleta nidhamu na heshima katika Jamii japo tunakumbushwa kuwa ikiwa tutasamehe itakuwa bora zaid na Mola wetu ni mwingi wa huruma mwingi wa kusamehe.
Surat Baqra kama sijakosea,Imeruhusiwa kulipa kisasi ili kuleta nidhamu na heshima katika Jamii japo tunakumbushwa kuwa ikiwa tutasamehe itakuwa bora zaid na Mola wetu ni mwingi wa huruma mwingi wa kusamehe.
Sio kweli.....acha exaggeration
Nimeishi Uingereza miaka mingi kabla ya kuondoka na niligundua kwamba police brutality towards blacks ni a myth,upbringing ya blacks wengi UK hasa wenye asili ya West indies ni mbaya,hawana family values,broken families,hawataki shule etc etc-hasira yao wanadai walikuja kabla ya Asians hapa UK ,but establishment imewapendelea wahindi mpaka waka progress kuliko wao-in reality most ni single parents family na hawataki shule-na wana always fall foul katika mikono ya sheria. Swali langu ni is it the same in the USA au ni kweli polisi huko ni wabaguzi.Mlivyo wajinga mnachekelea tu bila kujua hata hao polisi wana rangi gani ya ngozi!
Mlivyo wajinga mnadhani Marekani hakuna polisi weusi? Hakuna polisi Walatino?
Ikitokea waliouliwa ni polisi weusi je? Bado mtafurahia?
Nchi yao ipi sasa?Poleni sana black America, ila mnajitakia wenyewe tu..nchi hiyo sio yenu,na bado mnang'ang'ania kukaa!
Nimeishi Uingereza miaka mingi kabla ya kuondoka na niligundua kwamba police brutality towards blacks ni a myth,upbringing ya blacks wengi UK hasa wenye asili ya West indies ni mbaya,hawana family values,broken families,hawataki shule etc etc-hasira yao wanadai walikuja kabla ya Asians hapa UK ,but establishment imewapendelea wahindi mpaka waka progress kuliko wao-in reality most ni single parents family na hawataki shule-na wana always fall foul katika mikono ya sheria. Swali langu ni is it the same in the USA au ni kweli polisi huko ni wabaguzi.
Kwa hiyo to sum up your words,ni kwamba matatizo yako kwa baadhi ya black communities na SIYO policeLook, Marekani ni nchi kubwa sana na hayo uliyoyaelezea yapo hata huku. Lakini, si kila mtu mweusi yuko hivyo.
Kuna weusi wengi tu wasomi, wenye mafanikio, na ambao ni raia wema kabisa. Na wapo weusi wengi ambao ni watu wa kawaida kabisa na ambao ni raia wema.
Kwanza, ukweli wa mambo ni kwamba uhalifu mwingi dhidi ya watu weusi hufanywa na watu weusi.
Polisi walio wengi mimi siamini kuwa ni wabaguzi. Hapa mimi sasa hivi jambo baya likinitokea nitapiga simu polisi kuomba msaada na sijui atakuja polisi wa rangi gani ya ngozi kunisaidia.
Mara nyingi tu nimesaidiwa na polisi wa Kizungu...iwe kunielekeza sehemu, kunifunza sheria za barabarabi, kunipa escort, na kadhalika.
Kama kweli polisi wote wa Kizungu wangekuwa wabaguzi na wanawaua tu watu weusi basi Marekani nzima kusingekuwa na mtu mweusi hata mmoja.
Nawapenda sana polisi na nawashukuru sana kwa kazi yao ngumu waifanyayo kutulinda sisi raia.
Narudia tena, polisi wote siyo wabaguzi. Polisi walio wengi ni watu wazuri sana.
Kwa hiyo to sum up your words,ni kwamba matatizo yako kwa baadhi ya black communities na SIYO police
Watu huwa wanakurupuka tu kulaumu Polisi kuwa wanawabagua watu weusi. Mtu akitaka kuujua ukwei kama ni kweli mtu mweusi anabaguliwa aje huku afrika aone sisi kwa sisi tunavyoishi, namna walioajiliwa kutoa huduma kwa Umma jinsi wanavyokula mishahara ya bure huku wakitoa huduma mbovu kabisa au kuiacha jamii bila ya huduma zozote zile, rushwa, mauaji na mengineyo.Look, Marekani ni nchi kubwa sana na hayo uliyoyaelezea yapo hata huku. Lakini, si kila mtu mweusi yuko hivyo.
Kuna weusi wengi tu wasomi, wenye mafanikio, na ambao ni raia wema kabisa. Na wapo weusi wengi ambao ni watu wa kawaida kabisa na ambao ni raia wema.
Kwanza, ukweli wa mambo ni kwamba uhalifu mwingi dhidi ya watu weusi hufanywa na watu weusi.
Polisi walio wengi mimi siamini kuwa ni wabaguzi. Hapa mimi sasa hivi jambo baya likinitokea nitapiga simu polisi kuomba msaada na sijui atakuja polisi wa rangi gani ya ngozi kunisaidia.
Mara nyingi tu nimesaidiwa na polisi wa Kizungu...iwe kunielekeza sehemu, kunifunza sheria za barabarabi, kunipa escort, na kadhalika.
Kama kweli polisi wote wa Kizungu wangekuwa wabaguzi na wanawaua tu watu weusi basi Marekani nzima kusingekuwa na mtu mweusi hata mmoja.
Nawapenda sana polisi na nawashukuru sana kwa kazi yao ngumu waifanyayo kutulinda sisi raia.
Narudia tena, polisi wote siyo wabaguzi. Polisi walio wengi ni watu wazuri sana.
Mimi naona you are beating around the bush-kwani ukisema openly kwamba sisi blacks are the problem-no one will come and hang youHapana, hata polisi wapo pia wenye matatizo. Wasiwe na matatizo kwani wao siyo watu?
Nimezungumzia tu kiujumla kuwa, kwa imani yangu, polisi walio wengi naamini ni watu wazuri.
Na hii hata kwa Tanzania. Siyo polisi wote wa hao wala vumbi ni wema lakini naamini walio wengi ni wazuri.
Au Tanzania hakuna matatizo ya polisi na Watanzania kwa ujumla wao hawana matatizo?
Marekani sio ulaya..Mi siwezi ishi ulaya
Watu huwa wanakurupuka tu kulaumu Polisi kuwa wanawabagua watu weusi. Mtu akitaka kuujua ukwei kama ni kweli mtu mweusi anabaguliwa aje huku afrika aone sisi kwa sisi tunavyoishi, namna waliajiliwa kutoa huduma kwa Umma jinsi wanavyokula mishahara ya bure huku wakitoa huduma mbovu kabisa au kuiacha jamii bila ya huduma zozote zile, rushwa, mauaji na mengineyo.
Halafu aje nchi za Ulaya na Marekani aangalie namna jamii hiyo ya watu weusi inavyoishi baina ya wao kwa wao ndiyo afanye conlusions. Tukubali tu kwamba watu wetu wanashida sana.
Hoko Dallas kuna masniper balaaa!! hukohuko si ndo JFK alipigwa risasi na sniper Oswald.