MAREKANI: Polisi watano wauawa huko Dallas

MAREKANI: Polisi watano wauawa huko Dallas

Mimi naona you are beating around the bush-kwani ukisema openly kwamba sisi blacks are the problem-no one will come and hang you

Siwezi kusema hivyo kwa sababu sio weusi wote tuko hivyo.

Mimi ni mweusi na ni raia mwema kabisa. Sijawahi kukamatwa kwa kosa lolote lile.

Hata nikiwa pulled over na polisi na comply na kila kitu, I don't talk back, I don't cop an attitude, none of that.

Na wapo wengine wengi tu kama mimi.

Lakini kwa wakati huo huo haimaanishi hakuna weusi ambao wana matatizo. Sasa kama tupo weusi ambao hatuna matatizo unataka tu nikubali kuwa wote tuna matatizo?

Siwezi kufanya hivyo.
 
Hii ya kuua hawa wanaserikali italeta shida zaidi sasa, the relationship between the black community and the police will get even worse, as if it's not, yet.
 
Hii ya kuua hawa wanaserikali italeta shida zaidi sasa, the relationship between the black community and the police will get even worse, as if it's not, yet.

Watakosa hata sympathy ya watu!

Maana karibu kila mtu ana condemn kilichotokea huko Dallas.
 
M
Mkuu mbona Taifa stars hua hatuoni mchezaji Mwarabu,Muhindi au msomali? Hakuna wanaocheza Soka?
Hao utawaona kwenye ubunge,ukurugenzi na Udc teh..!! teh..!! Eti Tz nayo ni multiracial country cha ajabu hao minority waliop ndio wana high privilage kwenye jamii na kuna siku raisi wa nchi hii atakuwa mhindi.

.
No offence intended to my fellow black tanzanians i'm just passing by
 
Imeruhusiwa kulipa kisasi ili kuleta nidhamu na heshima katika Jamii japo tunakumbushwa kuwa ikiwa tutasamehe itakuwa bora zaid na Mola wetu ni mwingi wa huruma mwingi wa kusamehe.
Mungu wapo wawili maana wakwangu ananiambia samehe 7×70 na mtu akinipiga shavu la kushoto nimuonyeshe na lakulia anipige, mtu akiniibia koti nimpe na koti.
 
Nchi yenyewe ni ya red indians ambao kimsingi wametengwa,halafu hawa wazungu,wahamiaji kutoka ulaya,eti wanajifanya wao ndio wenye nchi kuliko wahamiaji kutoka afrika
tena wahamiaji kutoka ulaya walikuwa wafungwa, ni kizazi kilichotoka gerezani, vuta picha hapo
 
Mungu wapo wawili maana wakwangu ananiambia samehe 7×70 na mtu akinipiga shavu la kushoto nimuonyeshe na lakulia anipige, mtu akiniibia koti nimpe na koti.
Crusade Wars, First &Second World war, Rwanda Genocide zote hizo zimeshirikisha dini hiyo inayoelekeza hivyo. Theory na Practice ni vitu viwili tofauti kabisa. Zilongwa mbali zitendwa mbali
 
Wazungu nawachukia kweli, hao walioitwa polisi waliouwawa na mduguaji huenda na muvi tu kucheza na akili za watu kupunguza hasira kwa weusi na dunia, lakini pia inawezekana wamewachukua wafungwa waliohukumiwa kifo na kuwavalisha mavazi ya kipolisi na kuwahadaa kisha wakawapeleka eneo la tukio na kuwaua kwa kutumia watu wao wanaowaita wadunguaji ili kutuliza munkari wa blacks.
 
There goes the conspiracy theorists!
 
Theory nzuri[emoji106]
 
Americans sasa wamepotea njia, hili suala la ubaguzi tulitaraji wao kama nchi ya wahamiaji wawe wa mfano kwa kuishi peacefully, hasa ktk karne hii, badala yake ubaguzi , hasa kipindi ambacho Rais ni mweusi umezidi ktk kiwango ambacho ni ajabu sana!!!
 
Siyo kila kitu ni ubaguzi wa rangi.

Kwanza huyo polisi aliyefyatua risasi zilizomuua huyo jamaa wa MN wala siyo mzungu.

Na kutokuwa mzungu haimaanishi kwamba hawezi kuwa mbaguzi lakini kwa wakati huo huo haimaanishi alifyatua hizo risasi kwa sababu ya ubaguzi wa rangi.

Acheni kukimbilia kwenye kisingizio cha ubaguzi wa rangi kwenye kila kitu.
 
Weusi tumevumilia sana tangu waarabu kutuanya bidhaa
Lakini mali zetu zimejenga ulaya! Ukoloni ! lakini hebu ona dada zetu wanavyo buruzwa falme za kiarabu !!
 
Racism must be faced head on. Na wanashindwa nini kudhibiti umiliki wa silaha?
 
Siyo kila kitu ni ubaguzi wa rangi.

Kwanza huyo polisi aliyefyatua risasi zilizomuua huyo jamaa wa MN wala siyo mzungu.

Na kutokuwa mzungu haimaanishi kwamba hawezi kuwa mbaguzi lakini kwa wakati huo huo haimaanishi alifyatua hizo risasi kwa sababu ya ubaguzi wa rangi.

Acheni kukimbilia kwenye kisingizio cha ubaguzi wa rangi kwenye kila kitu.
Mimi nakuhakikishia, nina exposure ya kutosha tu, watu weusi ni wabaguzi kuliko hata ya wazungu, mfano hapa Tanzania tu ukiwa mchaga wewe tayari umezaliwa na dhambi ya asili, hata uwe mzuri vipi utabaguliwa kuanzia kisiasa hadi kijamii.

Katika utafiti usio rasmi nikagunduwa hawa wachaga ni wayahudi wa Tanzania, jamaa wapo smart kichwani.

Haya siku moja niko mitaa ya Johannesburg ati Mzulu ananiambia mimi Mnyama kakuru wakati anajisahau yeye ni black Man

Nimeshawashuhudia hawa washenzi black man Wasouth wakiendesha unyama wao kwa black wenzao kwa kauli mbiu yao shaya umtandaye lakini cha ajabu hawathubutu kuwachokoza makaburu wanawaogopa.

Labda wapiga box wa UK watupe ushaidi hapa wa black wazawa wa UK na wahamiaji wanapeana heshima sawa?
 
Back
Top Bottom