MAREKANI: Polisi watano wauawa huko Dallas

MAREKANI: Polisi watano wauawa huko Dallas

Police Brutality vs Guns Control..........Changamoto za Rais Ajaye..
 
Baada ya police wa kizungu huko Louisiana na Minnesota kuwaua waafrika 2 ulipizaji kisasi umetokea huko Dallas baada ya maofisa 4 wa polisi kuuawa na snipers wakati wananchi wakifanya maandamano ya kupinga mauaji ya watu weusi. Polisi wengine 11 wamejeruhiwa , watatu wakiwa katika hali mbaya

Viongozi wa Marekani wamekuwa wakishindwa kukemea kwa nguvu na kutoa adhabu kali kwa polisi wazungu ambao wamekuwa wakiwaua watu weusi na matokeo yake watu weusi wameanza kuchukua sheria mkononi.
Polisi walioua wamepewa likizo na mmoja atashtakiwa kwa kosa la uvunjifu wa haki za binadamu na siyo la kuua.
Huu ubaguzi unatakiwa ukemewe kila kona
 
Ukweli ni kwamba watu weusi wananyanyasika sana kote duniani. Afadhari Marekani wanapiga kelele, lakini kwenye mabara mengine kuna ubaguzi wa kimya kimya. Hakuna kitu kibaya kama ubaguzi kama huo. Kwenye job market au social service na vitu kama hivyo watu weusi wanawekewa ngumu sana. Afadhari mimi nikichoka narudi kwetu, je hawa weusi wazawa wa hapa je?
 
Acha matusi. Ukweli ni kwamba watu weusi wananyanyasika sana kote duniani. Afadhari Marekani wanapiga kelele, lakini kwenye mabara mengine kuna ubaguzi wa kimya kimya. Hakuna kitu kibaya kama ubaguzi kama huo. Kwenye job market au social service na vitu kama hivyo watu weusi wanawekewa ngumu sana. Afadhari mimi nikichoka narudi kwetu, je hawa weusi wazawa wa hapa je?
baadhi ya maTangazo ya kazi kwenye nchi za watu yanaandikwa kabisa black dont apply.
 
Mlivyo wajinga mnachekelea tu bila kujua hata hao polisi wana rangi gani ya ngozi!

Mlivyo wajinga mnadhani Marekani hakuna polisi weusi? Hakuna polisi Walatino?

Ikitokea waliouliwa ni polisi weusi je? Bado mtafurahia?
 
Acha matusi. Ukweli ni kwamba watu weusi wananyanyasika sana kote duniani. Afadhari Marekani wanapiga kelele, lakini kwenye mabara mengine kuna ubaguzi wa kimya kimya. Hakuna kitu kibaya kama ubaguzi kama huo. Kwenye job market au social service na vitu kama hivyo watu weusi wanawekewa ngumu sana. Afadhari mimi nikichoka narudi kwetu, je hawa weusi wazawa wa hapa je?
Wewe umeelewa..alouliza swali kauliza ili aanzishe ligi ya kipumbavu wakati ukweli unajulikana.
 
Back
Top Bottom