MAREKANI: Polisi watano wauawa huko Dallas

MAREKANI: Polisi watano wauawa huko Dallas

Mauaji baby, Mauaji baby, Mauaji baby, Mauaji baby, Mauaji baby, Mauaji baby, Mauaji baby, Mauaji baby, Mauaji baby, Mauaji, Mauaji baby, Mauaji baby, Mauaji baby, Mauaji baby, Mauaji baby, Mauaji baby, Mauaji baby, Mauaji baby, Mauaji baby, Mauaji baby, Mauaji baby, Mauaji baby
 
Dem wa mshkaji alikuwa akichukua picha za video wakati jamaa anakata roho. Imesikitisha sana na yule polisi alikuwa yupo nje ya gari yao ametoa macho kama panzi
 
Ni muda muafaka Kenya wawatangazie RAIA wake kwamba USA si salama kwenda.....Kama wao USA wanavyowatangaziaga RAIA wake kuja Kenya inapotea wagambo wa kisomali wamekinukisha
 
Dem wa mshkaji alikuwa akichukua picha za video wakati jamaa anakata roho. Imesikitisha sana na yule polisi alikuwa yupo nje ya gari yao ametoa macho kama panzi
Dah! Yule demu jasiri, najiuliza kama Mama Chanja angekua Ana nguvu hata ya kurecord, angekua analia Kinyachusa...hafu Kuna kipindi Mwanamke kashikwa na Uchungu then mwanae mdogo anamwambia "It's okay Mom! I'm with you here.....its okay" najiuliza kama yule mtoto alikua akijua Mshua kashazima!
 
Mama Ngumbuisye hapo angepiga za ejooooo ejoooo yule polisi angechanganyikiwa hadi ajishoot mwenyewe...

Ila yule mtoto alitaka kunitoa machozi aisee ndio maana mimi nikiwa na mwanangu sitakagi ukorofi na mtu
 
Hahahaaa! Dah!!! Yule Mimi naona hao Snipers wamefanya sawa sawa, America yenyewe imelipa kisasi Mara nyingi tu!
 
Imeruhusiwa kulipa kisasi ili kuleta nidhamu na heshima katika Jamii japo tunakumbushwa kuwa ikiwa tutasamehe itakuwa bora zaid na Mola wetu ni mwingi wa huruma mwingi wa kusamehe.
Upo vizuri mkuu.. Umedadavua maandiko kiweledi sana
 
Baada ya police wa kizungu huko Louisiana na Minnesota kuwaua waafrika 2 ulipizaji kisasi umetokea huko Dallas baada ya maofisa 4 wa polisi kuuawa na snipers wakati wananchi wakifanya maandamano ya kupinga mauaji ya watu weusi. Polisi wengine 11 wamejeruhiwa , watatu wakiwa katika hali mbaya

Viongozi wa Marekani wamekuwa wakishindwa kukemea kwa nguvu na kutoa adhabu kali kwa polisi wazungu ambao wamekuwa wakiwaua watu weusi na matokeo yake watu weusi wameanza kuchukua sheria mkononi.
Polisi walioua wamepewa likizo na mmoja atashtakiwa kwa kosa la uvunjifu wa haki za binadamu na siyo la kuua.
Huu ubaguzi unatakiwa ukemewe kila kona
Leo nimefurahi kweli kwamba na wao wameonja machungu ya kufanya visasi..kiufupi nimeipenda hiyo style ya hao sniper..tit for tet
 
Be peaceful..Be courteous..Obey the law...Respect every one...But if someone puts his hands on you...SEND HIM TO THE CEMETERY.
Al Hadj Malcom X
 
Umeiona timu ya ufaransa jana ikicheza?? Robo tatu ya wachezaji wake ni weusi.. Ni wapi ulaya na huko Asia mtu mweusi anauliwa bila makosa yoyote na polisi??
Udhalilishajwi ni Zaidi ya kuuwa. Naelewa nachoongea
 
Mungu aingilie kati na amtumie Papa wakawape viapo jamii hizo zote ili atakaetaka kurudia awe chizi fresh kabla hata hajatekeleza uhalifu wake, Maana mweusi akajikata inatoka damu ya rangi nyekundu, hivyo hivyo mweupe yoyote akijikata inatoka damu rangi nyekundu hayo ni makusudi ya mungu kwamba wote sisi ni sawa pamoja na tofauti za rangi nk
 
The gunman killed in a stand-off with Dallas police said he was upset about the police shootings of black people and wanted to kill white officers, the city's police chief has said.
The suspect told police that he was working alone, police chief David Brown told reporters.
Five Dallas police officers were killed and seven wounded by gunmen during protests against the shooting of black men by police, authorities say.
Three people are in custody.
 
Poleni sana black America, ila mnajitakia wenyewe tu..nchi hiyo sio yenu,na bado mnang'ang'ania kukaa!
 
Back
Top Bottom