oyayakaranga
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 677
- 397
Ni nchi gani ya Ulaya mweusi anapigwa risasi unarmed??
Simple hakuna na kiukweli USA Sera za umiliki Wa silaha litawamaliza NRA inawaponza Republicans kuprevent arms bill na haya mauaji yataongezeka sana baada ya November 2016 only if Trump wins.