DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,309
- 2,726
Africa ndo nchi yao?, unaijua liberia na ulishapitia historia yake? na unafahamu nini kilitokea?
Sijui mkuu nifahamishe kilichotokea
Africa ndo nchi yao?, unaijua liberia na ulishapitia historia yake? na unafahamu nini kilitokea?
Hahahaha unamuelewesha nyani ngabu aliyekunywa damu ya USAbaby[emoji1] [emoji1]
Itategemea na mchano wakeMkuu CHUPI moja unashonesha kwa ngapi?