MAREKANI: Polisi watano wauawa huko Dallas

MAREKANI: Polisi watano wauawa huko Dallas

Wanatudanganya na Bible hawa watu kavu sana wao hawafuati lolote kwenye Maandiko kwanza mi naonaga ni mashetani wao
 
Wewe umeelewa..alouliza swali kauliza ili aanzishe ligi ya kipumbavu wakati ukweli unajulikana.
Ungejibu swali acha lugha za kuudhi,sana sana unajionyesha tu kua huna uwezo wa kupambanua mambo, matusi ni dalili za kutokua na knowledge ya kitu,hujatukanwa unakimbilia kumtukana mwenzio! Wa wapi wewe?!!
 
Black life's matter is overrated. These guys are just arrogant and will do anything to portray police in bad way. American blacks are aggressive when it comes to violence and will do anything to shout how segregated they are in terms economic and social justices.

Its this reason i commend our great grandfathers for kidnapping some (of the unproductive in society) and selling them off as slaves to states!!
Sasa unatupiga kidhungu nani atakujibu?
 
hawa wazungu tayari wametaka kufanya dunia kuwa ngumu sasa kwa maana hapa tulipofikia
 
Kuna kipindi niliwahi kuwaza, kuwa nchi za africa zitenge kila nchi eneo la ukubwa wa kati ya Kata ya Idifu (Dodoma) na ile ya Majengo mkoani Kilimanjaro kwa ajiri ya kuwapa makazi ya kudumu ndugu zetu hawa wenye asili ya Africa wanonyanyaswa huko nchi za nje. Kama wanataka kurudi kufanya kazi huko wakishapata makazi ya kudumu waende kwa 'hiyari' yao lakini wajue kuwa wanasehemu ya kuishi kwa amani nyumbani kwao. Dharau wanazofanyiwa zitakoma. Ila mpago huu ili ufanikiwe ni lazima kudhibiti hujuma kama zilizofanywa kwenye uendeshaji wa KORA Africa, mpago uliokuwa unakaribia kufanikisha 're-union' hii.
=====================
Mauaji hayakubaliki.
 
Baada ya police wa kizungu huko Louisiana na Minnesota kuwaua waafrika 2 ulipizaji kisasi umetokea huko Dallas baada ya maofisa 4 wa polisi kuuawa na snipers wakati wananchi wakifanya maandamano ya kupinga mauaji ya watu weusi. Polisi wengine 11 wamejeruhiwa , watatu wakiwa katika hali mbaya

Viongozi wa Marekani wamekuwa wakishindwa kukemea kwa nguvu na kutoa adhabu kali kwa polisi wazungu ambao wamekuwa wakiwaua watu weusi na matokeo yake watu weusi wameanza kuchukua sheria mkononi.
Polisi walioua wamepewa likizo na mmoja atashtakiwa kwa kosa la uvunjifu wa haki za binadamu na siyo la kuua.
Huu ubaguzi unatakiwa ukemewe kila kona

Waliouawa na polisi sio waafrika ni wamarekeni weusi (wenye asili ya Afrika)
 
Imeruhusiwa kulipa kisasi ili kuleta nidhamu na heshima katika Jamii japo tunakumbushwa kuwa ikiwa tutasamehe itakuwa bora zaid na Mola wetu ni mwingi wa huruma mwingi wa kusamehe.
Nipe hiyo aya..
Na imeruhusiwa na nani.?
kama ni mungu wa Al-shababy na boko haram na wafananao na hao si shangai.
 
Baada ya police wa kizungu huko Louisiana na Minnesota kuwaua waafrika 2 ulipizaji kisasi umetokea huko Dallas baada ya maofisa 4 wa polisi kuuawa na snipers wakati wananchi wakifanya maandamano ya kupinga mauaji ya watu weusi. Polisi wengine 11 wamejeruhiwa , watatu wakiwa katika hali mbaya

Viongozi wa Marekani wamekuwa wakishindwa kukemea kwa nguvu na kutoa adhabu kali kwa polisi wazungu ambao wamekuwa wakiwaua watu weusi na matokeo yake watu weusi wameanza kuchukua sheria mkononi.
Polisi walioua wamepewa likizo na mmoja atashtakiwa kwa kosa la uvunjifu wa haki za binadamu na siyo la kuua.
Huu ubaguzi unatakiwa ukemewe kila kona
Daah uvunjifu wa haki za binadam tena?
 
Warudi kwao, kwani ni lazima wakafia ugenini?
Wewe usiwe na akili finyu.
Wengne ni weusi na wamezaliwa hapohapo,ndio kwao hapo..
Sasa watu kama hao waende kwao, wapi kwingne?

Jifikirishe kidgo bana..acha uzembe wa akili.
 
Back
Top Bottom