MAREKANI: Polisi watano wauawa huko Dallas

Marekani inahitaji kupelekewa Jeshi la kulinda Amani kama somalia na Kongo maana wenyewe wameshindwa na ka gun control lazima katapitishwa na kusahau hako ka atiko 50
 
Hapo sasa bio video Ni evidence...Kama itatumika kwenye sheria...is another matter..acha tuone....kutokana na historia tuliopewa anaonekana alikuwa mtu wa kawaida na Sio ghaidi....RIP

Ni kweli kabisa, hata mimi nimefuatilia naona hiyo video inazungumzwa sana, inaweza ikaleta mabadiliko fulani
 
ukiongelea nchi zote zenye amani duniani na zilizo endelea, ni marekani pekee ndipo maisha ya binadamu, hasa mtu mweusi ni bure. sawa na sisimizi. Uingereza, ambao ndo waasisi wa hilo taifa la kihuni bado wanayaeshimu maisha. yakiwemo ya mtu mweusi. Na hayo ni kwa nchi zote za western Europe. The so called civilized countries.
Kweli kabisa western Europe is better than U.S in terms of respecting human rights U.S ni jina tu na ubabe
 
Man, nimefuatuatilia huko kwenye mitandao ya Twitter na Facebook nimekutana na maneno ya kibaguzi kutoka kwa wazungu mpaka imebidi niache tu kujibizana nao. Hawa watu ni wabaguzi, they can't tell you infront of your nose lakini wakiwa behind their computer at home everything comes out. Sasa hivi wanamtukana kila mtu, Beyonce, Jay Z, Obama hata Serena Williams kachikua Wimbledon ya saba anabebeshwa mitusi tu huko. Wanadiriki kuwalaumu watu weusi ndio chanzo cha kila kitu. Wamesahau 400 years history. SMDH.
 
Social media is a fake place.

Una uhakika gani kuwa hao wanaotukana ni Wazungu?
 
Ngabu, Nina uhakika 100%. Nakupa mfano, Scotish newspaper Wako na site kwenye facebook. Most of the followers are from Scotland and few are from England and Ireland. It's like a scotish community in Facebook, Ni wao waliobadilisha topic Serena Williams na Wimbledon kuwa ya #BlackLivesMatter
 
Umewaona sura zao?
 
OAKLAND PROTESTS: More than 1,000 protestors took to the streets in Oakland last night to protest the recent deadly police shootings of black men. Salute to them ALL!

Imeruhusiwa kulipa kisasi ili kuleta nidhamu na heshima katika Jamii japo tunakumbushwa kuwa ikiwa tutasamehe itakuwa bora zaid na Mola wetu ni mwingi wa huruma mwingi wa kusamehe.
umequote mistari kulingana na mazingira ila mm nahis kwa hili swala kisasi kilikua ni bora ili watu watambue kuwa hilo halifai maana imeanza kuwa destur sasa
 
Ngabu, Nina uhakika 100%. Nakupa mfano, Scotish newspaper Wako na site kwenye facebook. Most of the followers are from Scotland and few are from England and Ireland. It's like a scotish community in Facebook, Ni wao waliobadilisha topic Serena Williams na Wimbledon kuwa ya #BlackLivesMatter
Hahahaha unamuelewesha nyani ngabu aliyekunywa damu ya USAbaby[emoji1] [emoji1]
 
Imeruhusiwa kulipa kisasi ili kuleta nidhamu na heshima katika Jamii japo tunakumbushwa kuwa ikiwa tutasamehe itakuwa bora zaid na Mola wetu ni mwingi wa huruma mwingi wa kusamehe.
Sawa kabisa
IPO kwenye sura gani vile mkuu
 
Back
Top Bottom