MAREKANI: Polisi watano wauawa huko Dallas

MAREKANI: Polisi watano wauawa huko Dallas

sasa hivi sniper mmoja yupo katika jengo moja wanarushiana na police na anadai ameweka bomu down street..Sniper watatu na mwanamke mmoja washakamatwa..
 
Nilikuwa naikubali Marekani lakini naona graph inazidi kushuka kila siku.
Ukweli ni kuwa hata mimi ninge-revenge kwa matukio kama haya.
 
Maafisa wanne wa polisi mjini Dallas, Marekani wamepigwa risasi na kuuawa wakati wa maandamano ya kupinga mauaji ya watu weusi.

Maafisa wa polisi katika mji ulio katika jimbo la Texas, wanasema mauaji hayo yametekelezwa na washambuliaji wawili wa kulenga shabaha.

Msako mkali unaendelea kuwasaka washambuliaji hao, mkuu wa polisi wa Dallas David Brown amesema.

Maafisa wengine saba wa polisi wamejeruhiwa, Bw Brown amesema.

Wawili wamefanyiwa upasuaji wa dharura na mmoja yumo katika hali mahututi.

Ufyatuaji risasi ulianza waandamanaji walipokuwa wakipitia barabara za mji na kuwafanya waandamanaji kukimbilia usalama wao.

Maandamano hayo yalitokana na kuuawa kwa wanaume wawili weusi, Philando Castile jimbo la Minnesota na Alton Sterling eneo la Baton Rouge jimbo la Louisiana.
============================

Four Dallas police officers were killed and seven others were wounded by snipers on Thursday night during a demonstration protesting the police shootings in Minnesota and Louisiana this week, according to Chief David O. Brown of the Dallas police.

One suspect was arrested late Thursday after a shootout with the Dallas police, the Police Department said on Twitter.

A second man, whose photo the Police Department had released as a “person of interest,” had turned himself in.

Chief Brown said the shooting was carried out by two snipers who fired down on a demonstration in the city’s downtown area that until then had been peaceful.

“Some were shot in the back,” the chief said. “We believe that these suspects were positioning themselves in a way to triangulate on these officers.”

A civilian in the crowd of almost 1,000 people was also wounded.

The police were also combing downtown Dallas for what they believe was a bomb planted by the snipers as the heart of the country’s ninth-largest city was put on lockdown.


Source: New York Times
wamefikia watano aisee hao jamaa ni noma sana mhhh hatar kw nchi zetu
 
mi nilijua tu hii ndo itakuwa response.haiwezekani polisi wauwe watu deile alafu wanapeea paid leave badala ya kufungwa.wanasahau marekani kuna kila aina ya mafia na maharamia wametulia tu wanafanya yao.sasa wale polisi waouvu watawaponza mpaka wengine wasio na hatia
 
mnayejibishana naye atakuwa hafahamu kabisa mazingira ya udhalilishwaji wa ngozi nyeusi. Binafsi naweza kuona wamarekani wana uafadhali kiasi ukilinganisha na wanajifanya nao wa maana bara la Asia wanavyotreat ngozi nyeusi na hawajitambui. Wamarekani angalau wanatambua ngozi nyingine na wanazipa thamani Fulani.
Ila tuwe wakweli kuna matendo mengi ya ajabu pia yanafanywa na ngozi nyeusi kwenye hiyo nchi, yawezekana pia ikawa ni chanzo cha kuchochea hata tabia zilizojificha awali

Umeiona timu ya ufaransa jana ikicheza?? Robo tatu ya wachezaji wake ni weusi.. Ni wapi ulaya na huko Asia mtu mweusi anauliwa bila makosa yoyote na polisi??
 
Kumbe polisi wakiuliwa nao wanakufa...!!!!!! Nilijua wananchi wa kawaida ndio ufa tu. Mambo ya F.U.C.K the police na NWA ndio yanarudi hivyo.

Polisisiem ndio mjifunze kitu na nyie msione wananchi wajinga
 
Sio hali nzuri wka taifa kama marekani, ijapokuwa historia inaionyesha kwamba weusi wamekuwa wakionewa toka enzi na enzi. wanachosahau ni kwamba kuna siku anayebaguliwa atakuinukia tu , na hki ndicho inaanza kutokea sasa. wale wanaokataa gun control regulations zisifanyiwe marekebisho wanawea kufikiria upya hapa
 
Back
Top Bottom